rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Perry

    Hivi ni kwa nini Rais Samia hakupata mafunzo ya jkt kama walivyopata watu wa umri wake?

    Nimekua nikipitia profile ya Rais Samia mara kwa mara lkn hakuna sehemu nimewahi kuona kuwa Rais Samia aliwahi kupitia jkt kama ambavyo watu wa rika lake walifanya mfano Magufuli,Majaliwa na wengine wengi. Ilikuaje huyu mtu yeye akakwepa kwenda jkt halafu leo tumuite ni mzalendo na mpambanaji?
  2. McLaren

    Mwenyekiti Jumuiya Maridhiano Mtwara: Tunaridhishwa na utu wa Samia kutokana na falsafa ya 4R

    Wakuu, Viongozi wa Jumuiya ya Maridhiano na amani Mkoa wa Mtwara, wamesema wanaridhishwa na utu wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na Falsafa ya R4 ambazo ameziasisi. Aidha, wamesisitiza wananchi kushiriki ipasavyo katika Uchaguzi wa mwaka 2025 huku wakitunza amani na utulivu uliopo nchini...
  3. R

    GE2025 Ally Hapi: Rais Samia amejenga Madarasa ambayo yana Vioo na Tiles

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ally Salum Hapi, amesema ukizungumzia yale ambayo yamefanywa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan katika afya ni mengi sana na kwenye elimu ambapo imejenga shule mbalimbali za msingi na Sekondari. Akizungumza...
  4. Chizi Maarifa

    GE2025 Hawa ndo watu ambao hawamkubali Samia. Sisi wengine Mungu atupe nini?

    Ukiona mtu anamchukia Samia ujue hana kazi, anafanya biashara ambazo hazina sehemu ya kupigia mapene, hana njia za kupiga pesa, hajichanganyanyi na biashara za Kinondon, Ilala na Kijitonyama. Mimi kiukweli nisiwe mnafiq. Hakuna kipindi nimepiga madeal makubwa makubwa kama hiki. Yaani...
  5. Mashamba Makubwa Nalima

    Samia rudi darasani bado matumizi ya maneno "UTU" na " Uzalendo" huyajui

    Kwa miaka na miaka umekuwa ukitumia neno "uzalendo" katika muktadha wa kumaanisha mtu aliyetayari kumtetea kiongozi au raisi (hasahasa UOVU wake: wizi, ufisadi, utekaji n.k) na sio nchi yake. Hapa umekuwa ukikosea RUDI DARASANI. Umekuwa pia ukitumia neno "UTU" nalo wakati katika uongozi wako...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Fataki zapigwa Arusha Mjini katika maandalizi ya kumpokea Rais Samia

    Gharama zinatumika kubwa sana! Na ninachokiona na kujiuliza je hizi bwebwe zote hizi Makonda anazozifanya katika kampeni hizi pesa zote anazitoa wapi? Je anahuwakika wa kushinda na baada ya kushinda anauhakika wa kula uteuzi mkubwa wa uwaziri? Na hapo ndipo atakapozirejesha hizo pesa zote...
  7. L

    GE2025 PICHA: Rais Samia ni nuru. Hakuna kiongozi amewahi kupata mapokezi ya aina hii Mtwara tokea kuumbwa kwa Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Kama Nuru na Mwanga Gizani, ni Tumaini la Watanzania, ni kipenzi cha watu. Anakubalika ,kupendwa na kuaminika utafikiri Nabii mwenye Kibali cha Mungu mkononi pake. Upendo anaopewa na kuonyeshwa na watanzania ni upendo wa kipekee,ni zaidi ya...
  8. Mafyangula

    GE2025 Samia: Wale wanaosema hakuna maendeleo, elimu, afya, umeme na maji kwao si maendeleo, ila akini kwa sisi vijijini hayo mambo ni maendeleo

    “Toka nimeingia Mtwara kila jimbo nasikia watu wanashukuru kwa maendeleo. Wale wanaosema hakuna maendeleo, elimu, afya, umeme na maji kwao si maendeleo kwa sababu wameshazoea. Lakini kwa sisi vijijini hayo mambo ni maendeleo tena makubwa. Hatuwezi kuyapuuza,” amesema Dkt. Samia. Amesisitiza...
  9. Mafyangula

    GE2025 Samia: Lengo letu ni kwamba ifikapo miaka mitano ijayo kila Mtanzania awe karibu na maji safi na salama

    Hadi leo bado tunapiga porojo za sera za maji? 🤔 Hii ni aibu kweli! Nchi nyingine wanasonga mbele na teknolojia za kisasa, sisi bado tunajadili kama maji yatamiminika kwenye bomba au kwenye ndoo. Kwa kweli safari yetu ni ndefu kuliko hata msafara wa ngamia jangwani! 🐪 ================= “Lengo...
  10. Just Pray

    GE2025 Samia: Bilioni 726 zimetumika kwaajili ya mbolea, na pembejeo

    Mgombea Urais wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan amesema tangu kuanza kwa mpango wa serikali wa kutoa ruzuku za mbolea pamoja na pembejezo za Kilimo mwaka 2021/22, serikali imetumia takribani Sh. Bilioni 726 kwaajili ya kunufaisha wakulima wa Tanzania. Akiomba kura kwa mamia ya wananchi wa Mtwara...
  11. R

    Barua ya wazi kwa Rais Samia kutoka kwa Jacqueline Mengi kuhusu Haki na Mustakabali wa Mirathi kwa Watoto

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instragram Jacqueline Mengi ambaye ni Mjane wa Reginald Mengi waliofanikiwa kupata watoto wawili ameandika na kueleza namna ambavyo wajane na watoto wa marehemu hupitia changamoto kupata haki ya mirathi hivyo amemuomba Rais Samia kusaidia kutatua adha hiyo...
  12. R

    GE2025 Albert Msando: Ni kweli Ufisadi upo nchini lakini Rais Samia anapambana nao

    Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuhusu kuwepo na mapambano dhidi ya ufisadi nchini “Ni kweli ufisadi upo Nchini lakini Rais Samia anapambana nao, na anakereka na...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Madeleka: Uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika

    Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka...
  14. R

    GE2025 Watawa Katoliki Lindi: Tunamuunga Mkono Rais Samia, Tunamuombea Miaka 5 tena

    Watawa wa Shirika la Masista wa Afrika wa Benedektina Bikra Maria Msaada wa Kristo Ndanda wamesema wanamuunga mkono Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa wana imani na uongozi wake Wameahidi kuendelea kumuombea Dkt. Samia ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Rais Samia aahidi Bima ya Afya kwa wote ndani ya Siku 100 za kwanza

    Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Mtama Mkoani Lindi kujiandaa na ujio wa Bima ya afya kwa wote, ambayo amesema ndani ya siku mia moja za uongozi wake ikiwa atapewa ridhaa na watanzania, zoezi hilo la bima...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Samia: Majaliwa ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewaahidi wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi kwamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo hilo, ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake.
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Majaliwa: Rais Samia ana nia thabiti kwa Watanzania

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanayo sababu ya kumchagua Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwakuwa nia yake ni thabiti kwa Watanzania.
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mgombea ubunge Nachingwea adodosha mistari ya Hip Hop mbele ya Rais Samia, Samia naye aitikia

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Nachingwea mkoani Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Liwaka ameonesha umahiri wake kwa kuchana mistari ya Hip Hop mbele ya Mgombea urais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye kampeni Ruangwa mkoani Lindi.
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wamasai Ngorongoro tuna imani kwa CCM na Rais Samia, tunatarajia Suluhisho la Changamoto za Malisho

    Hivi ni kweli kabisa watu wa Ngorongoro wamesahau mateso walikutana nayo, mh napata mashaka inawezekana hawa wananchi wamepata kulambishwa asali. Lakini si sehemu ambayo CCM inanguvu kiasi cha kupata kura uchaguzi huu ================= Jamii za kifugaji za Kimasai wilayani Ngorongoro...
  20. R

    GE2025 Rais Samia atembelea Kaburi la Hayati Rais William Benjamin Mkapa

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa, Lupaso, Masasi mkoani Mtwara tarehe 24 Septemba, 2025
Back
Top Bottom