rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia kuongoza mjadala wa kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia Nov 1-2, 2022

    Wizara ya Nishati imetangaza kuandaa kongamano la nishati safi ya kupikia yaani ‘Clean Cooking Conference’ ili kuchunguza vikwazo vinavyodumaza matumizi ya nishati za kisasa za kupikia. Kongamano hilo linalenga kupendekeza mikakati ya kufanikisha upatikanaji wa nishati safi, za bei nafuu na...
  2. L

    Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na...
  3. Ditopile awaasa juwakita kumuombea Rais Ramia

    MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka Wanawake nchini kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha kuwa watoto wa kike wanapata elimu iliyo bora ili waweze kushindana kwenye soko la ajira sambamba na kushika uongozi kwenye nafasi mbalimbali. Ditopile ametoa kauli...
  4. Namwombea msamaha Paul Makonda, ni damu changa iliyozikwa mapema

    Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini. Makonda alisaidia sana Jiji la Dar kuwa salama alikimbizana Sana na wauza madawa pamoja na waliotelekeza watoto. Alilimudu Jiji...
  5. Rais Samia anaifanya elimu kuwa bora na nafuu

    Lengo namba nne la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030 ni kuhakikisha watu wote wanapata elimu bora, yenye usawa na kutoa fursa kwa wote kujiendeleza na kufikia vipawa vyao kikamilifu. Ili kufikia lengo hilo, mamlaka zinatakiwa kutoa fursa sana kwa wavulana na wasichana, kuongeza idadi...
  6. R

    Waziri wa Elimu Profesa Mkenda, tunaomba uimulike NACTEVET

    Hawa ni kama hawapo duniani. Bado siku 6 kufungua vyuo, hawajatoa matokeo ya mitihani ya vijana. Ni uzembe mkubwa, wanawaweka watoto katika wakati mgumu na wazazi kujiandaa na malipo yajayo maana huwezi kufanya lolote kabla ya matokeo. Tumelalamika wameziba masikio kwa dharau!
  7. Rais Samia afanya uteuzi mpya wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake, leo Oktoba 10, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali kama ifuatavyo: Amemteua Dkt. Boniphace Christopher Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali. Kabla ya uteuzi huu Dkt. Luhende alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa...
  8. Shaka: Falsafa ya Uchumi kuongoza Uchumi yathibitishwa TANZANIA ndani ya siku 558 za Rais Samia

    SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI SHAKA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa...
  9. Mazungumzo ya Rais Samia na Rais Ruto, Ikulu Dar es Salaam Oktoba 10, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ampokea na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya William Somoei Ruto Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba, 2022. Mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na; Rais Samia Suluhu Hassan Kukuza na kuimairisha uhusiano kati ya...
  10. Rais Samia amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuwa Rais wa Tanzania, amefanikiwa kuimarisha na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. #CCMImara #KaziIendelee
  11. Rais Samia: Maovu ya kuuana, kudhulumiana bado yapo Nchini, tuyakemee

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Baraza la Maulid kitaifa leo tarehe 09 Oktoba, 2022 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam Samia Suluhu Hassan - Rais Sina shaka tutakwepa pamoja, na waziri wa Afya yupo hapa, tutakwenda pamoja kwenye...
  12. B

    Dkt. Samizi atembelea na kukagua miradi ya barabara na madaraja iliyojengwa kwa fedha za Serikali

    DKT. SAMIZI ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA ILIYOJENGWA KWA FEDHA ZA SERIKALI YA RAIS SAMIA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt Florence George Samizi kipindi hiki cha mapumziko ya Bunge ameendelea kufanya ziara Jimboni kwa kufanya shughuli za maendeleo...
  13. N

    Rais Samia amefanikiwa kupambana na adui watatu wa Mtanzania

    Ni maadui watatu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata uhuru – ujinga, umaskini na maradhi. Hadi anazikwa kijijini kwake Butiama Oktoba, 1999, maadui wa Taifa walibaki ni walewale watatu. Na kuna viongozi wengi waliopita walijitahidi kupambana na hawa maadui zetu...
  14. Sukuma gang ni kina nani?

    Wadau Nawasabahi Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI? Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
  15. L

    Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

    Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania...
  16. Kassim Majaliwa kama mapato ya utalii yameongezeka sasa kwanini usimshauri Rais Samia akafuta tozo zinazosumbua raia wa chini wasio hatia?

    Kwa nini mnatusumbua kwa mitozo ya ajabu ajabu wakati kumbe mapato ya utalii yamepaa kwa 81.8%? Acheni kuonea wanyonge.
  17. N

    Mambo 10 yaliyofanywa na Rais Samia yanayowagusa Walimu na Jamii kwa ujumla

    Siku ya jana katika kuadhimisha siku ya walimu Duniani, nimekutana na jumbe nyingi zinazoonyesha uelewa wa Watanzania juu ya kazi ya utekelezaji wa miradi katika Elimu inayofanywa kwa weledi chini ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita, tuangazie baadhi ya mambo; 1.Ujenzi wa Shule mpya za...
  18. Rais Samia kwenye daladala huko Kenya

    Habari wakuu, Leo nineona daladala imewekwa picha ya rais wa Kenya, William Ruto naamini Ruto ana ushawishi/supporters/fans/wannabes hapa Tanzania. Swali langu ni Je vipi Samia huko Kenya? Au Ni mwanasiasa gani wa Tanzania ana ushawishi huko?
  19. Serikali ya Rais Samia Suluhu yaahidi kuimarisha uhusiano wake na Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Ni siku 565 tangu Rais Samia Suluhu aingie madaraki, na Serikali yake imekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano wake na asasi za kiraia nchini katika kutambua mchango wa asasi hizo katika ujenzi wa Taifa. Kupitia Mwenyekiti wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali, Mwantumu Mahiza...
  20. J

    CCM yatia neno mashamba yaliyofutwa na Rais Samia Kilosa

    CCM YATIA NENO. MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS SAMIA KILOSA Shaka asema uamuzi huo ni wa kihistoria, umegusa maslahi ya wananchi Na Mwandishi Wetu Kilosa KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amevunja ukimya baada ya Rais Samia Suluhu Hassan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…