rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha za matukio: Ziara ya Rais Samia Nchini Malawi akiwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. Chakwera

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni View Point pamoja na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Maeneo yaliyoathirika na Kimbunga Freddy, Blantyre nchini Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Malawi, leo Julai 6, 2023

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Miaka 59 ya Uhuru wa Malawi, leo Julai 6, 2023. ==== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Malawi kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Nchi hiyo kwenye Sherehe zilizofanyika...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Malawi hayati Kamuzu Banda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amezuru na kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Malawi, Hayati Kamuzu Banda Nchini Malawi.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Lilongwe kwa ziara ya siku 3

    5 July 2023 Lilongwe, Malawi RAIS SAMIA HASSAN AWASILI NCHINI MALAWI KWA ZIARA YA SIKU 3 Alipowasili amepokelewa uwanja wa ndege wa Kamuzu International Airport (KIA) na mwenyeji wake Rais Lazarus Chakwera wa Malawi na viongozi wengine wa juu wa serikali ya Malawi. Rais Samia anatazamiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi mbona upo kimya? Alipoingia madarakani Rais Samia ulimsihi afuate na kuendeleza mazuri ya hayati

    Nakumbuka ulienda Ikulu na moja ya kauli yako kubwa ilikuwa mazuri yenye tija na taifa hili yaendelezwe. Leo hii kuna mkataba tata wa bandari za Tanganyika. Upo kimya. Wewe ndio mzee wa taifa hili.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mkataba na DP World Rais Samia ametukosea sana!

    Huu ndiyo ulio ukweli: "Hatupoi!" Alipo sasa Rais Samia anayo namna moja pekee: "Kuufuta tu, mkataba huu ambao ni wa hovyo mno, usiorekebishika!"
  8. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia atoa kauli kuhusu Mkataba wa DP World. Asema baadhi ya vifungu kwenye Mkataba huo havikupaswa kuwepo

    Mtumiaji wa Mtandao wa TikTok anayetumia jina la Leonard Clasic (User4692412178624), Julai 3, 2023 mchana, aliweka video moja kwenye ukurasa wake pasipo kufafanua chochote. Video hiyo inamuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akikemea baadhi ya watendaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Hafla ya Kupokea Fedha za Msaada wa Bajeti ya Serikali kutoka EU, leo Julai 4, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya Kupokea Fedha za Msaada wa Bajeti ya Serikali kutoka Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Karambarage Hazina (Treasury Square) jini Dodoma. === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi wana imani na Rais Samia, hii inaonekana kwa jinsi wanavyohudhuria kwa wingi mikutano yake

    Wanaosema wananchi wana mashaka na Rais hawasemi kweli. Rais Samia alikwenda Mwanza juzi,watu wengi wamehudhuria mikutano yake. Na CCM wanatazama yote hii. Wanaona jinsi watu walivyokuwa na imani na Samia. Ile mikutano wanakuwepo watu wa CCM wengi,lakini wapo wengi ambao wanaongozana nao ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa UWT, UVCCM, Jumuiya ya Wazazi: Namna bora ya kumsafisha Rais Samia dhidi ya vumbi la mkataba wa Dubai hii hapa

    Mary Chatanda, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (Taifa) Leo mchana wa tarehe 03 Julai 2023, Mwenyekiti wa Taifa wa UWT (CCM), Mary Chatanda, amehutubua Taifa kupitia TBC, akiwa mkoani Njombe. Ameonyesha dhamira ya kupangusa “uchafu” unaotishia kuzima nyota ya Rais Samia. Lakini mbinu aliyoitumia ni...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kumteua Mkuu wa Zamani wa Kudhibiti Dawa za Kulevya, Kuwa DC Tanga, Kunatoa Taswira Gani

    Usiku wa jana Jumapili tarehe 2 Julai 2023, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ilitoa habari ya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya. Moja kati ya mabadiliko yaliyozua gumzo mitaani na mitandaoni ni Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua James Wilbert...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za SADC, leo Julai 3, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa Gran Melia jijini Arusha leo tarehe 3 Julai, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya kama ifuatavyo: 1) Ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mwanahamisi Athumani Munkunda na kumteua Mobhare Holmes Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wapambe siku zijazo: Rais Samia ni jembe ameukataa mkataba wa bandari

    NAPE: "Tukiwaambia Rais yupo kwa ajili ya maslahi ya umma muwe mnaelewa. Rasmi amekaa upande wa Wananchi na ameamrisha huo mkataba usimamishwe kwanza. Samia, oyeee!" GERSON MSIGWA: "Niliwaambia tokea mwanzo Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan ni msikivu na katika hili nalo kawasikia Wananchi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usiwasikilize sana washauri wako kuhusu Mkataba wa Bandari

    Mama, usiwasikilize sana washauri wako hasa kuhusu Mkataba wa DP World. Tumia akili yako wewe mwenyewe kutoa maamuzi ya mwisho kuhusu Mkataba wa DP World. Kwa ufupi kabisa, na kwa maoni yangu, kuna kila sababu kuusitisha kwanza mkataba huu mpaka pale utakapokuwa umeeleweka vizuri kabisa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wilbroad Slaa kusema Rais Samia amejificha kana kwamba nchi haina kiongozi, ungethubutu kusema hivyo kwa Hayati Magufuli?

    Friends and Enemies, Kwa tuliomsikiliza Wilbroad Slaa juzi pindi akihojiwa na kituo kimoja Cha redio amesikika akitoa kaul nyingi sana za dhihaka na kejeli Kwa serikali,Slaa akafikia hadi hatua ya kusema kwamba Rais AMEJIFICHA,hatoi kaul kana kwamba nchi hii haina Kiongoz. Slaa lazima atambue...
  18. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri ya Gado katika katuni Rais Samia

    Godfrey Mwampembwa ni mchoraji wa katuni kutoka nchini Tanzania anayeishi Kenya. Katuni zake nyingi zinahusu habari za siasa lakini amechora pia Hekaya za Abunuwasi. Gado ni mchoraji anayechapishwa zaidi katika Afrika ya Mashariki.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Ujumbe wa Eid Al Adh'haa, Awakumbuka Wenye Uhitaji

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za heri ya sikukuu ya Eid el Adh’haa kwa dua maalum akiwataka Watanzania kusherehekea kwa amani, umoja na upendo. Ametuma salamu hizo leo Alhamisi Juni 29, 2023 kupitia kurasa za mitandao yake ya kijamii huku akiwahimiza Waislamu kutumia siku...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana chaguo, ama kuwa na wanafiki au kuambatana na wakweli wanaopambania taifa lao

    Katikati ya majonzi na masikitiko makubwa kutokana na baadhi ya watu wanafiki, waongo, wenye upeo na uwezo duni, wanaopigania matumbo yao; kuna faraja kubwa. Sote tunajua wazi kuwa baadhi ya watu, ama kwa kusukumwa na tamaa ya kujinufaisha wao binafsi, au kwa kukosa maarifa na weledi, wameamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…