rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Samia. Hata kama ni kijana wangu unapoharibu nitakuweka pembeni

    Historia inaeleza jinsi Makamba alipokuwa ofisi ya Makamu wa Rais chini ya Mama miaka hiyo kwamba alikuwa kati ya vijana waliokuwa wanaaminika sana na ndio maana baada ya Mama kuwa Rais ameendelea kumuamini. Pia Nape Nnauye Mama alimkumbuka na kumuamini hadi kumrudisha kwenye baraza la Mawaziri...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimtumbua January Makamba 21/07/2019, na Rais Samia amemtumbua 21/07/2024. Tumbuzi zote mbili ni Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu

    Haya mambo huendaga na Nyota kwahiyo mh January tarehe 21 July inakuwaga na jambo lake Ila natania tu 😃😃 Kwako Mshana Jr kilingeni Miono Pia soma Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe Uteuzi na Utenguzi...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nape kwahiyo ulikuwa unasubiria Utumbuliwe jana na Rais Samia ndipo Uufunge ghafla Mtandao wako wa X ( zamani ) Twitter?

    Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza. Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
  4. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwanini unazipuuza Ripoti za Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora? Mnyeti na Makonda wanabaki vipi Serikalini?

    Tume hii ni Idara huru ya kiserikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa Katiba (rejea Ibara ya 129 (1)). Ina wajibu wa kuhakikisha, pamoja na mambo mengine, haki za binaadamu na utawala bora vinatamalaki. Tume hii hupokea malalamiko; huyachunguza na kutoa ripoti zake. Katika siku za hivi karibuni...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

    Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini. Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania.. Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania Nape alichoongea ni ukweli mchungu; atabaki kuwa shujaa daima

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mh Nape Mosses Nnauye kasema ukweli usiopingika halafu huyu mama anakuja kumfuta kazi kinafiki wakati ukweli hata yeye mwenyewe Bi Tozo anaujua. Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape, Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Na kibaya...
  7. Technologiest

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa mabadiliko uliyofanya

    Salaam! Kipekee sijawahi kuandika kuhusu Mhe. Rais ila kwa leo naona nimpongeze kwa teuzi na tenguzi alizofanya kipindi hiki. Haya ni moja ya maamuzi bora sana na ya heshima ameyafanya, katika makosa makubwa ambayo yalikuwa yamefanyika ni kuwaweka jikoni watu wenye tamaa ya madaraka hiyo ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

    Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi. Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia. Rais Samia hatoboi 2025. Pia Soma - Breaking News: -...
  9. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Je, Msafara wa Rais wenye Magari 118 ni Uwajibikaji?

    Katika nchi nyingi za Kiafrika, viongozi wa kisiasa wamekuwa wakikabiliwa na maswali na ukosoaji kuhusu matumizi ya rasilimali za umma. Moja ya mambo yanayozua mjadala mkali ni ukubwa wa misafara ya raisi, ambayo mara nyingi inajumuisha idadi kubwa ya magari. Hivi karibuni, suala hili...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali imetoa Bilioni 150 Kujenga Barabara ya Lusahunga - Rusumo

    RAIS SAMIA AMETOA BILIONI 150 KUJENGA BARABARA YA LUSAHUNGA - RUSUMO Mbunge wa Jimbo La Ngara Mhe. Ndaisaba Ruholo Amemupongeza Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa Kutoa Bilioni Mia Moja na Hamsin (150)Katika Mradi Wa Barabara ya Lusahunga Mpaka Rusumo Yenye...
  11. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia najua hautupendi watanganyika ila angalau tufanyie hili

    Una miaka 60+ kwa sasa una nguvu kiasi na una uwezo wa kufanya mambo kadhaa ila baada ya miaka 17 hautakuwa Samia huyu wa Sasa. Pengine Kuna mambo unayafanya kwa ajili ya kizazi chako ila niamini mimi Mkwawe pindi utakapopoteza madaraka, ushawishi na nguvu hakuna chawa yeyote atayekupambania...
  12. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mngependa nani awe Kampeni Meneja wa Rais Samia hapo mwakani?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kuwa Mwakani ni uchaguzi Mkuu wa udiwani ,ubunge na Urais. Na kwa kuwa Fomu ni moja tu ya Urais ndani ya CCM kwa ajili na maalumu kwa Mama yetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,na kwa kuwa ndio chaguo la mamilioni ya...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Machifu Jengeni Mvuto Jamii Iwakimbilie

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka machifu nchini kote kujenga mvuto ili watu wakimbilie kwao wanapokuwa na migogoro badala ya kila kesi kupelekwa polisi na kisha mahakamani. Amesema ili jamii iwakimbilie ni muhimu wajenge mazingira ya uadilifu, uaminifu na kutenda haki na kwamba anaamini jambo...
  14. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa wahandisi kumnunulia rais Samia helicopter na 100,000,000/= je ni kwasababu ya kutowabana wahandisi kwenye miradi ya Umma?

    Kwanza wahandisi hawa wamejuaje nia ya ra rais kugombea urais, nijuavyo hadi sasa rais Samia hajatangaza nia ya kugombea urais 2025. Pili, zawadi hii ina maanisha nini hasa kwa watanzania? Barabara na majengo mengi yanajengwa kwa kiwango cha chini sana na ufuatiliaji wa ubora wa kazi za...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Bila CCM imara Tanzania itayumba

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Machifu kuhamasisha watu waowaongoza kuchagua vongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwaka huu kwani chama hicho kimekuwa kikisimamia serikali vizuri. Akizungumza na Machifu hao leo Jumamosi Julai 20 2024 Ikulu...
  16. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Nashauri Rais Samia asipokee kila kitu anachopewa na makundi mbalimbali

    Leo nimeona wahandisi wamempa Rais helikopta ya kampeni yaani wamemnunulia means ni yake hata akimaliza urais anaweza ondoka nayo, hongereni sana ma engineer. Rais si kila jambo lazima tukufundishe we hapo ulipo upo Kimwili lakini Kiroho pia , umekalia Kiti chenye mamlaka, hivi vitu unavyopokea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je African Chief Act ya mwaka 1969 bado inafanya kazi? Kama inafanya kazi kwa nini Rais Samia ameagiza machifu kufanya kazi?

    Hii sheria ilitungwa na Bunge mwaka 1969 na kifungu cha pili cha sheria hii kilizuia na kukataza Machifu kufanya shughuli zozote za kiutawala. Sasa leo nimesikia mkuu wa nchi akiagiza machifu wakafanye kazi za kiutawala hasa kushughulikia kero za watu kutekwa. Je, hii sheria ilishafutwa? Au...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-

    Heka heka na vimbwanga vinazidi kupamba moto, mpaka uchaguzi ufike tutaona mengi! Eti wanarudisha fadhila kwa yale Rais Samia amefanyia nchi! Kwa hali ngumu ya maisha na wizi unaoendelea serikalini kweli? Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ndio...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob: Habari mbaya kuhusu Kombo Mbwana Twaha

    Kutoka kwenye kinywa chake, siyo mimi 1. Ametembezwa mikoa 10 2. Muda wote alikuwa amefungwa kitambaa cheusi machoni for all 29 days 3. Ameteswa kishenzi 4. Amevunjwa vidole 5. Mlo mmoja per day etc etc etc --- HABARI MBAYA KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA 😭😭😭 Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ina maana Rais hujui kweli kama wanaofanya ukatili uko nao ndani ya Chama na Serikali yako au Unazuga tu?

    “…watu wanauawa hovyo huko…waambieni wanasiasa kwamba vyeo havipatikani kwa kuua watu, kwa kunyofoa viungo…” – Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuguswa na wimbi la utekaji na mauaji ya watoto linalodaiwa kuendelea maeneo mbalimbali hapa nchini…akiwaomba machifu kote nchini kusimama imara na...
Back
Top Bottom