rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaojitolea na kufanya kazi kwa mkataba wapewe kipaumbele kwenye ajira

    My Take: Naunga mkono hoja na jambo Hilo lisiishie kwenye kada ya Afya na Elimu tuu Bali lifike na kwenye kada zingine. Faida zake 1. Utapunguza uhaba wa Watumishi 2. Utapata Watumishi ambao tayari Wana uzoefu na kazi 3. Ni njia ya Mazoezi Kwa vitendo Kwa Watumishi Tarajali 4. Ni njia ya...
  2. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia anahujumiwa kwenye treni ya mwendokasi, hatua zichukuliwe mapema

    Kwa yanayoendelea kuhusu mradi wa SGR kuanza kwa kusuasua hatua za awali kabisa hii ni hujuma kwa Rais kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Figisu zimeanza mapema mno na hii yote ni kutaka ionekane mama amefail, kitu ambacho kinawaumiza watanzania wengi Rais chukua hatua mapema, bado...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Agosti 1, 2024 yasimamisha shuguli za kiuchumi jijini Dar es Salaam

    Tarehe 01 Agosti, 2024 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amesafiri kwa Treni ya kisasa ya SGR kutoka Darisama kuelekea Dodoma kwenye uzinduzi wa safari kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma Dhiara hiyo ya rais samia ilianza asubuhi ya tarehe 1 Agosti akitokea Ikulu ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuwe na Mioyo Ya Shukurani kwa utumishi Uliotukuka wa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekaa nikawaza ,kufikiria na kurudisha kumbukumbu nyuma mahali tulikotoka ,tulipo na tunakokwenda na kufikia hatua kusema kuwa kwa hakika Watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu, makabila yetu,Dini zetu,jinsia zetu,ukanda na rika. Tuna kila sababu ya kusema...
  5. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

    Rais Samia ameandika kupitia X Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika. Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro. Ikumbukwe...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Majina ya vituo vya treni: Dar Magufuli, Moro Kikwete, Dom Samia, Tabora Mwinyi, Shinyanga Karume na Mwanza Nyerere

    Mheshimiwa rais wa nchi amevipa majina vituo vya train ya sgr kama kichwa cha habari kinavyojieleza. --- Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa majina ya vituo vya stesheni za treni ya umeme (SGR) kuanzia Dar es Salaam hadi Kigoma. Majina ya vituo hivyo ni ya marais wastaafu ambao...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Mwinyi tunaomba mjenge barabara ya kuuunganisha Unguja na Bara

    Ili kupunguza makali kwa wanzazibari Rais Samia kwa kushirikiana na Mwinyi jengeni bara ya lami kuunganisha Unguja na Bara. Hii itasaidia maroli na vyakula kutoka bara kwenda kuingia kwa urahisi visiwani. Aidha ni ukweli usiopingika kwamba gharama ya vyakula ipo juu. Na pia itapunguza kero...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa Kilombero wamtaka Rais akifika Kilombero aitishe mkutano wamueleze malalamiko yao

    Wakulima wa Miwa wa Bonde la Kilombero wamemng'ata sikio Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa katika ziara yake Kilombero asikubali kuongea na viongozi wa Amcos kwani kwa sehemu kubwa wanatumiwa na Waziri Bashe kuficha aibu ya kutunga sheria ya kuua kilimo cha miwa na viwanda vya sukari...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kwa kukamilisha miradi yote ya kimkakati, Rais Samia amethibitisha kwamba yeye ni kiongozi na uongozi hauna jinsia

    Maana kulizuka mambo ya ooh sijui ataweza mara mwanamke mara sijui nini na ujinga mwingine mwingi kama huo. Lakini Samia alilijua Hilo mapema na aliwahi kuongea hususani wakati anatoa mada kule Ghana kwamba atalazimika sio tuu kukamilisha iliyoanzihwa na kuonekana mikubwa sana lakini na...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo Agosti 1, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akizindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo tarehe 1 Agosti, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=Y8AnFX67QZU Rais Samia amewapongeza watanzania wote kwa kukamilisha mradi huu na...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Samia kutembelea Mkoa wa Morogoro atembelee wilaya ya Kiteto (Kibaya) na Simanjiro - Orkesmet

    Tunaomba Rais atembelee maeneo yaliyotajwa hapo juu. Maeneo hayo wananchi Wana umri wa miaka 60, hawajawahi kuona sura ya lami. Maswali ni mengi kuliko majibu.
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kuunda kamati ya kupitia kodi

    Pamoja na kuwa mimi sio mtaalam wa uchumi ila natamani pia waangalie yafuatayo; 1. Biashara moja/Bidhaa moja kuwa na kodi nyingi zenye majina tofauti tofauti, hii huchangia ukwepaji 2. Kuwa na taasisi nyingi zinazo fuatilia bidhaa moja mfano Petrol na kila taasisi inataka kodi kwa hiyo bidhaa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi Huu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya uteuzi huu...
  15. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunazaliana wengi mno, mahitaji makubwa mno ndio maana kila tukiajiri Watumishi hawatoshi

    DAR: Rais Samia Suluhu Hassan amesema kila anapozunguka Mikoani changamoto ya kwanza anayokutana nayo ni upungufu wa Watumishi wa Afya na Elimu lakini hali hiyo inasababishwa na Sekta hizo kuhudumia Watu wengi na zina mambo mengi. Akizungumza katika Kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kilele cha kumbukizi ya 3 ya urithi wa Benjamin William Mkapa katika ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, Julai 31, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akishiri Kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Benjamin William Mkapa katika Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, leo tarehe 31 Julai, 2024. https://youtu.be/StqQg5kUHDA Rais Samia amesema Hayati Mkapa anakumbukwa sana kama baba wa...
  17. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi sasa Rais Samia kaamua kuwa bora zaidi. Je, atamuunga mkono Mpina?

    Ni dhahiri sasa mama kaamua kufanya na kudhihirisha ubora wake, japo kuwa baadhi ya watendaji wake hawaendi kama anavyotaka yeye, na wao bila ya mijeredi na kushurutishwa, hawafanyi kazi kabisaa zaidi ya mapambio tu Ukiachia mbali mapungufu machache kwake, Ndani ya sakafu ya moyo wa SSH, kuna...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Moshi Wagoma

    Maduka yote ya Stendi Kuu ya Moshi mkoani Kilimanjaro yamefungwa leo kutokana na mgomo wa wafanyabiashara hao ambao wanadai Kodi inayotozwa stendi hapo ni kubwa isiyo rafiki. EATV imeshuhudia uongozi wa Manispaa ya Moshi ukipachika kipeperushi kwenye kila duka kilichoandikwa, "PAMEFUNGWA NA...
  19. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mizengo Pinda anaweza kumsaidia vyema Sana Rais Samia Umakamu Mwenyekiti

    Mizengo Pinda Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Mheshimiwa Abdulahman Kinana kuomba kujiuzulu Umakamu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Hatimaye kukubaliwa ombi lake na Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa nimechekecha kwa haraka haraka sana mtu...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Mkuu wa Jeshi la Magereza

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Magereza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka, Kamishna wa Magereza CP. Jeremiah Yoram Katungu...
Back
Top Bottom