rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaagiza Wizara ya Utamaduni kuwafundisha vijana mila na desturi kupitia michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA

    https://www.youtube.com/live/_FwGHaI_fuI?feature=shared Rais Samia ameilekeza wizara ya utamaduni, sana ana michezo kukamilisha mwongozo wa utambuzi wa machifu na viongozi wa kimila katika wilaya na mikoa utakaoainisha majukumu yao yao ya kimila na kijadi. Rais Samia ametoa maelekzo hay oleo...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzungumza na Machifu wa Tanzania, 20 Julai, 2024

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Machifu wa Tanzania. 🗓️ 20 Julai, 2024. 📍 Ikulu Chamwino.
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asking Aloud: Rais Samia anajua Katiba yetu ni batilifu, na Sheria mpya ya uchaguzi aliyosaini ni Sheria batili kinyume cha Katiba?

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za kwa maslahi ya taifa, ambazo huwa na maswali, hoja, majibu utaweka mwenyewe, swali la leo ni kujiuliza kwa sauti, asking aloud: "Je Rais Samia anajua kuwa Katiba yetu ina ubatili fulani, uliochomekewa kiubatili hivyo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Shedrack Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bwana Shedrack Salmin Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF kuanzia tarehe 03 Julai 2024. Kabla ya uteuzi huu Bwana Mziray alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani (TASAF). Bwana Mziray...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mbona kwenye miradi hii chanzo cha fedha ni wahisani pekee, Kodi zetu zinafanyia nini?

    Mh. Rais hivi sasa ni saa kumi na mbili kamili nina Imani umeisha amka na umeisha swali Dua ya Asubuh! Mh. Rais shikamoo! Mh. Rais nauliza swali dogo na mimi ni Mtanzania na Mkurugenzi wa Taasisi kwa miaka 7 nchini Tanzania na ni mlipa Kodi mzuri kwa mujibu wa sheria zetu na ni MUUMINI wa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta...
  7. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Tunampenda Rais Samia kwasababu ni Mpenda haki, ukitenda haki unabaki mioyoni mwa unaowatendea haki hutasaulika kamwe

    Mh. RAIS SAMIA, ni Rais mpenda haki na mpenda ustawi wa jamii kwa ujumla, ameleta neema nchini ndo maana kila mtu anataka kumlaki pale anapotembelewa na Mh. Rais Samia. Haya hapo chini ni baadhi ya maendeleo ambayo ninayashuhudia hapa kifupi kwasabu nayaona yanafanyika nchini Mimi mwenyewe...
  8. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mapokezi makubwa ya Rais Samia Mkoani Songwe

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mapokezi makubwa, mazito na ya heshima aliyoyapata na kupewa Rais Samia alipokanyaga ardhi ya Mkoa wa Songwe kwa hakika nawashauri CHADEMA wasijaribu wala kusubutu kusimamisha Mgombea Urais uchaguzi ujao maana wakijaribu na kupuuzia ushauri huu watakwenda kuvuna aibu...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Mtoto mwenye ulemavu wa mguu apatiwe Mguu wa Bandia kwa gharama za Ofisi ya Rais

    Rais Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kuhusu mtoto mwenye ulemavu wa mguu kufanyiwa mchakato wa kupewa mguu wa bandia kwa gharama ya Ofisi ya Rais. Ametoa maelekezo hayo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, Mariam Chaurembo wakati aliposimama kuzungumza na Wananchi wa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mmoja alipe kodi anayostahili kulipa

    https://www.youtube.com/watch?v=FnzBLvOFB6w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 18 Julai, 2024.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nawasikiliza wabunge wa Katavi wakiongea na Rais Samia; wanalalamika sana, wanamshukuru sana na wanampongeza sana Rais

    Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na Rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mantiki ya kumtoa IGP Simon Sirro na kumleta IGP Camillius Wambura ilikuwa ni ipi?

    Kwanini nauliza hivyo? 1. Yale yale yaliyokuwa yanatokea wakati wa Siro ndiyo hayo hayo yanatokea wakati wa Wambura eg..kupoteza, kutekwa watu, kubambika kesi etc etc. Ben Saanane, Sativa and, you mention them... 2. Muundo/utendaji wa jeshi la polisi n huo huo, tulitegemea kutakuwa na...
  13. econonist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia mbona umeanza kampeni mapema? Unaogopa nini?

    Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda. Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao; 1. Achana na kampeni kabla ya muda. Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa...
  14. never-ending battle

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Huenda huyu ndie Rais anayependwa zaidi barani Africa

    Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi. Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi, "Rais Samia, People do love You Mama"
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Waacheni wajifunze, muda wao wa kuendesha dola bado

    Rais Samia akizungumza na wananchi wa kata ya Laela ,Wilaya ya Sumbawanga Vijijini Rukwa mesema leo tarehe 17 Julai 2024 ikiwa siku ya mwisho ya kukamlisha kwa ziara yake ya siku tatu "Wengine waacheni waendelee kujifunza bado wachanga, muda wao wakuendesha Dola bado Kabisa" "Lazima tuwe na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aagiza mahindi kununuliwa kwa Tsh 700 kwa kilo

    Ndugu zangu Watanzania, Tuwe tunaeleweka tunaposema ya kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe , Ameinuliwa na mkono wa Mungu Mwenyewe, aliandaliwa na Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu, amefika hapo alipo kwa mpango wa Mungu na kwamba amekuja na kuletwa kwetu kama zawadi kwa...
  17. Bams

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake

    CCM, kiuhalisia, kamwe haiwezi kuheshimu demokrasia wala haki za wananchi kuwachagua watu wanaotaka wawaongoze. CCM inaamini katika kupora kura au kupora maamuzi ya wananchi. Inaamini zaidi katika wizi kwenye kila jambo. Mwizi huwa hachagui cha kuiba. Ndiyo maana wakishaiba kura, au wakaamua...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akamilisha Ujenzi wa Miradi ya Barabara Iliyoasisiwa na JPM

    RAIS SAMIA AKAMILISHA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA ILIYOASISIWA NA JPM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Kaengesa – Chitete (km 6.4) sehemu ya Kaengesa - Seminari (km 3.4) kwa kiwango cha lami Wilayani...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azungumza na wananchi wa Rukwa katika Uwanja wa CCM Mandera Mazwi Manispaa ya Sumbawanga, leo Julai 17, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Rukwa katika Uwanja wa CCM Mandera Mazwi Manispaa ya Sumbawanga ikiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 17 Julai, 2024. https://youtu.be/_yxyR9fkGNg
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
Back
Top Bottom