rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaonya wateule wake, wasitumie madaraka yao "kupiga" pesa

    Rais Samia amewaonya vikali wateule wake, aliowateua majuzi, kuwa wasitumie madaraka yao kupiga "dili" za pesa, badala yake akawaambia ya kuwa wanatakiwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa na kuwatumikia wananchi Kwa uaminifu mkubwa. Aliyatamka hayo maneno wakati akiwaapisha jana jijini Dar. Rais...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Hakuna Uhuru wa Habari usio mipaka yake

    Rais Samia ameyasema hayo akiwaapisha Mawaziri, amesema kuwa Wizara ya Habari ni muhimu sana katika utekelezaji wa ile falsafa yetu ya R4, uhuru wa habari lazima uendelee kusimamiwa kikamilifu. Hakuna uhuru wa habari usio mipaka yake "Uhuru wa Habari with mipaka ya uhuru huo". Amemtaka Waziri...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Watoto wawili wa familia moja wapotea baada ya kuaga wanakwenda shule Julai 24, 2024

    Watoto wawili wa familia moja wamepotea katika mazingira ya kutatanisha mkoani Arusha, baada ya kuaga wanakwenda shule jana Julai 24, 2024, lakini hawakurudi nyumbani na mpaka leo hawajaonekana popote. Watoto hao wanaosoma Shule ya Msingi Olosiva, wilayani Arumeru, wamedaiwa kupotea baada ya...
  4. Wafuasi wa Rais

    JamiiForums Tanzania Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

    Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais. Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais. Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Polisi (IGP). Mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa Magereza. Mwanamke wa...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Cheo ni sawa na nguo ya kuazima ambayo siku yoyote mmiliki wa nguo anaweza kuichukua!

    Rais Samia amewaonywa Viongozi wote walio pewa dhamana kukumbuka kuwa cheo ni sawa na nguo ya kuazima hivyo wanapaswa kutenda kazi kwa uadilifu na kwa masilahi ya nchi, ameyasema hayo wakati akiwaapisha viongozi walio teuliwa hivi karibuni baada ya utenguzi. Pia soma: Mpango: Kiongozi usifikiri...
  6. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI. Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya online: Rais Samia wachunguze Mkurugenzi Mkuu TCRA, Gavan BOT na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Rais Samia, kwanza nashukuru umemuondoa Nape Nnauye kwasababu TCRA na Tume ya Ulinzi wa Taaifa Binfsi(PDPC), ni taasisi zilikuwa chini yake na mpaka anaondoka, hatuijaona hizi taasisi zikiwa serious katika kuchukua hatua(sijaona wala kusika waliokamatwa kwa kudhalilisha watanzania). Naomba...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia ameshiriki maadhimisho ya siku ya mashujaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2024.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma, leo Julai 25, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2024. https://youtu.be/FMIo8LYGKdk Siku hii ya kuwakumbuka mashujaa huambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo...
  10. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Mpumzisheni Rais Samia, anabebeshwa majukumu ambayo sio yake. Msaidieni kama wasaidizi wake

    Salam JF, Leo kwa mara ya kwanza naomba nimtetee Rais wangu baada ya Tafakari kubwa kiasi. Huyu Mama ana maono mazuri ila shida iko kwa wateuzi wake na Machawa. Kwa siku za hivi karibuni Tumeshuhudia Mh Rais Samia akifanya mapinduzi ya Baraza la mawaziri,wakuu wa mikoa na kada nyingine za...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Panic ya Rais Samia inasabaishwa na nini?

    Rais Samia ameonesha panic ya hali ya juu hivi karibuni. Je ni sababu zipi hasa zimeleta hii hali 1. Je ni ushindani ndani ya chama 2. Je ni mikutano ya wapinzani ambayo imeweka wazi mikataba ya siri hasa kwa nchi za kiarabu. 3. Je ni hali ya ruhswa kuzidi nchini 4. Je ni matatizo ya pesa kwa...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtaji na fursa ya haki kwa Watanzania. Kwanini wasaidizi wake wasiutumie mtaji huu na fursa hii ya haki, badala yake wanamletea batili?

    Wanabodi, Hii ni Mwananchi ya leo Naendelea na zile makala zangu za KMT, (Kwa Maslahi ya Taifa) za uelimishaji umma kuhusu katiba, sheria na haki, leo nikiendelea na ile mada ya wiki iliyopita ya jinsi haki ya Mtanzania kumchagua kiongozi anayemtaka na haki ya Mtanzania kuchaguliwa kuwa...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameichukua jumla jumla slogani ya Ahmed Ally ya "UBAYA UBWELA"?

    Naona mama anapiga katafunua kali kali sana, yaani hii ndio "ubaya ubwela" kwa rangi zake, nadhani amepiga miksa na kurujuani ya Mzee Magoma, yaani hata aliyewaza kama Maharage, aliyeshiriki, anakula za uso. Hakopeshi, unapiga tukio, anakupiga tukio, ukiweka ugoko, anaweka jiwe, n'gadu kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Yusuph Makamba: Nampongeza Rais Samia kwa mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, asema isiwe mshangao wakirudishwa

    Salaam Shalom!! Mzee wetu ameibuka na Kutoa Pongezi kedekede Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan Kwa uamuzi mzuri aliofanya kuwabadili baadhi ya mawaziri, mtoto wake akiwemo. Amemfananisha Rais na Coach jinsi anavyobadili kikosi, Nia ni ushindi. Ameenda mbali na kuwapongeza waliotumbuliwa akidai...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkuu wa Nchi kutoa mkeka nusu nusu unaohusu uteuzi wa nafasi za Uwaziri na Manaibu lipo vipi?

    Habari ndugu zetu! Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu! Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu? Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Samia. Hata kama ni kijana wangu unapoharibu nitakuweka pembeni

    Historia inaeleza jinsi Makamba alipokuwa ofisi ya Makamu wa Rais chini ya Mama miaka hiyo kwamba alikuwa kati ya vijana waliokuwa wanaaminika sana na ndio maana baada ya Mama kuwa Rais ameendelea kumuamini. Pia Nape Nnauye Mama alimkumbuka na kumuamini hadi kumrudisha kwenye baraza la Mawaziri...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimtumbua January Makamba 21/07/2019, na Rais Samia amemtumbua 21/07/2024. Tumbuzi zote mbili ni Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu

    Haya mambo huendaga na Nyota kwahiyo mh January tarehe 21 July inakuwaga na jambo lake Ila natania tu 😃😃 Kwako Mshana Jr kilingeni Miono Pia soma Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe Uteuzi na Utenguzi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nape kwahiyo ulikuwa unasubiria Utumbuliwe jana na Rais Samia ndipo Uufunge ghafla Mtandao wako wa X ( zamani ) Twitter?

    Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza. Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
  19. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwanini unazipuuza Ripoti za Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora? Mnyeti na Makonda wanabaki vipi Serikalini?

    Tume hii ni Idara huru ya kiserikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa Katiba (rejea Ibara ya 129 (1)). Ina wajibu wa kuhakikisha, pamoja na mambo mengine, haki za binaadamu na utawala bora vinatamalaki. Tume hii hupokea malalamiko; huyachunguza na kutoa ripoti zake. Katika siku za hivi karibuni...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

    Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini. Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania.. Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako...
Back
Top Bottom