Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 16,877
- 18,872
Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini.
Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania..
Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako kuu, waTanzania kwa mamilioni yao, wamekupongeza sana, na kukushukuru mno, kwani dhamira na nia yako njema ya kuwaletea wanainchi maendeleo imedhihirika bayana...
Hamasa ya kukupenda na kukuamini imeongezea mara dufu matarajio yao kwao ni makubwa mno kisiasa kijamii na kiuchumi..
Inafahamika, inaaminika na inaonekana tena mchana kweupeee, kila pembe ya nchi Dr.Samia Suluhu Hassan una pendwa na unakubalika bila kificho kwa maneno na matendo yako, katika kazi za maendeleo..
Hakiwezekani mtu aje aseme hadharani, ati hata kama hamumpendi huyo ndio Rais wenu, hiyo ni dharau kubwa sana japo kwa hekima na busara ulichelewa kuchukua hatu.
Lakini pia, Mh. Rais usiku na mchana uko kazini kuhakikisha taasisi zetu mathalani zinazohusu kusimamia chaguzi zinakua imara na zina aminika kwa wananchi, na kwamba hata chaguzi zetu zote zinaaminika zinakua huru, wazi na za haki na waTanzania wanahamasika kupiga kura.
Halafu mtu mwingine anakuja kudhoofisha jitihada hizi kubwa kirahisi tu, za mh.Rais kurejesha imani za waTanzania kwenye taasisi zao.. eti bao la mkono 🐒
Hapana, Hii si sawa na haipendezi. Kuna aina za matani tunapokua kazini ni hujuma. na dhamira yake ni kubomoa au kuidhoofisha kazi muhimu za Kuwaleta waTanzania pamoja na kuamininiana. madaraka ya kulevya ni ulevi mbaya sana🐒
waTanzania wako pamoja nawe mh.Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.
Mungu Ibariki Tanzania
Pia soma
- Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari