rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Reowned

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hakikisha hawa watu hawarudi bungeni

    1. January Makamba 2. Nape Moses Nnauye 3. Ummy Mwalimu 4. Babu Tale 5. Bashiru Ally Kakurwa 6.Stergomena Tax 7. Liberata Mulamula 8. Stella Manyanya 9. Ole Sendeka 10. Job Ndugai. 11. Vita Kawawa 12. Charles Kimei 13. Anjela Kairuki 14.Paulina gekulu 15.Zungu Note: Dkt bashiru bado anafaa sana...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia kamtumbua Ummy Mwalimu?

    Rais Samia katengua uteuzi wa Ummy Mwalimu kama Waziri wa Afya. Ni mmoja wa mawaziri ambao sikutarajia angetumbuliwa na Samia! Imekuwaje akanyang'anywa tonge mdomoni?
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kwa kiasi gani Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kutokomeza umasikini na kuinua hali bora za maisha ya Watanzani?

    kwa kiasi kibuwa Tanzania imepiga hatu za kimaendeleo chini ya serikika sikivu ya CCM ya awamu ya sita kwa kuinua vipato na hali bora sana za maisha ya waTanzania, kwa kuzingatia uhakika wa hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi, watu na makazi yao, kazi na na biashara zao, Lakini pia...
  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Rais samia kaamua kumstaafisha mstaafu na kupambania legacy yake

    Mstaafu kastaafu wananchi pamoja Rais Samia wamemstaafisha . Rais Samia kaamua kutengeneza kumbukumbu yake kwa vizazi vijavyo Kaamua ku move na watu watakao msaidia kutimiza lengo lake . 2030 hope atastaafu ,Mungu akimjalia kuishi miaka 20-30 mbele afurahie alicho kifanya . Ni jambo zuri...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuitetemesha nchi leo, nenda hata kwa jirani Mwenye TV

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mubashara au live au waweza kusema ataonekana moja kwa moja kutokea Ikulu katika uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hapo siku ya jana usiku. Ambapo katika uapisho huo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Rais na Amiri Jeshi Mkuu, tumefikaje huku tena?

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ameandika Ukurasani X " Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?" Sugu ameandika akiwa Chumba cha Wagonjwa mahututi. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba: Je Wajua Kila Kura Iliyomchagua JPM Pia Ilimchagua Samia?. Is it Right Kusema Rais Samia Hakuchaguliwa?, Basi 2025 Tumchague?.

    Wanabodi Kama kawa, kila nipatapo fursa hushuka na kwa maslahi ya taifa ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe. Swali la leo ni kuhusu kuijua katiba yetu. Je wajua kuwa kila kura Iliyomchagua Rais Magufuli kwenye ule uchaguzi mkuu wa 2020, pia Ilimchagua Samia?. It's not right kusema Rais...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnaolia leo katika Awamu ya Hayati Magufuli mlimsema sana kuwa anawapiga na kuwatesa na kumtetea wa sasa, ila naye leo kawageuka!

    Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa wanampamba kwa gharama za Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Magufuli. Pia soma: Thread 'CHADEMA: Tutafungua...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, chini ya utawala wa Rais Samia ndio imevunjwa rekodi ya kukamatwa wapinzani wengi wa kisiasa zaidi ya 500 kwa siku moja?

    Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho. Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Chadema inabagaza sera ya Rais Samia ya 4R

    Hii si sawa na lazima isemwe. Mhe.Rais samia ameendelea kuwa mwenye nia njema sana ya kuondosha malalmiko ya jamii hususani katika muktadha wa kisiasa. Baada ya tuhuma za uongo na zilizosukwa na kupambwa na vyama vya upinzani nchini Tanzania na hususani wafuasi wa chadema dhidi ya hayati...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Rais Samia Suluhu Hassan yawanusuru vigogo wa kisiasa kusota lupango

    Licha ya tuhuma nzito kuhusu kuhatarisha amani na utulivu nchini, Muungwa, Kiongozi wa Taifa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kupitia wasaidizi wake, ameelekeza Jeshi la polisi nchini kuwaachia huru viongozi na wanasiasa waliotiwa nguvuni huko Mbeya bila masharti yoyote.. Soma Pia...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akimuita Mbowe na uongozi wake kufanya mazungumzo ya masaibu yaliyowapata utamshauri vipi Mbowe?

    Swali ili limetokana na lawama ambazo watu wamekuwa wakizitoa kwa Freeman Mbowe kuwa kwanini alikwenda kwenye maridhiano na kwanini alipotoka jela alikubali kwenda Ikulu kwa Rais Samia. Kila mmoja ametoa mawazo yake na walio wengi bila sababu (reason). Sasa kwa hili la kuwaweka jela/mahabusu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapanda mbegu za anguko lake 2025

    Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka". Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake. Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam Hapa Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo Jumatatu ikulu ya Dar amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam Hapa Nchini. Hii ni baada ya hapo jana kushiriki vyema katika sherehe za uapisho wa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Balozi Nchimbi: Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia ni moja ya kumuenzi na kumheshimisha Hayati Magufuli

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kazi kubwa anayoifanya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya kumuenzi na kumheshimisha Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli. Balozi Nchimbi amezitaja mojawapo ya...
  16. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mnaomponda Magufuli na kumsifia Rais Samia hamjielewi! Magufuli na Rais Samia ni Magufuli yuleyule?

    Aliyemuweka SSH madarakani nani kama sio Magufuli? Magu aliona mbali akamuweka mtu ambaye ataendeleza legacy yake. Ni mradi hupi aliouanzisha Magu umesimama? Miradi mingi imekamilishwa na mingine bado inaendelea kukamilishwa! Akili kubwa ya Magufuli itaendelea kuendeleza taifa hili vizazi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, amerejea nyumbani akitokea Rwanda

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa ziarani nchini Rwanda na sasa amerejea rasmi nyumbani kuendelea kuteketeza majukumu yake ya kila siku! Aksanteni sana
  18. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba: Ni ushamba kugombana kisa uchaguzi, tuendelee kumuombea Rais Samia

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amewaasa wananchi kuacha kugombana kwa sababu za siasa kwani kitendo hicho kinasababisha maafa, yatima, wajane na kukosekana kwa amani. Dkt. Nchemba ameyasema hayo kwenye kilele cha Makambi alipokuwa akizungumza na waumini wa Kanisa la...
  19. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Nikweli Rais Samia yuko kwenye viganja vya GSM? Msikilize Mzee Magoma

    Huyu mzee anaweza kuwa msaada mkubwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kwakutaja hao watu waliomwambia kuwa Rais Samia hafurukuti mbele ya GSM vinginevyo ukimya utathibitisha kuwa maneno yake ni yakweli. https://youtu.be/X4hGFQt829g?si=TJtK14gEvE_EUMyD
  20. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunashuhudia Mapinduzi ya Kilimo ya kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Sidhani kama kuna mtu atabisha kwamba, kwenye nchi hii hakuna wakati sekta ya kilimo imepata mazingatio makubwa sana kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya nchi yetu. Ushahidi wa kwanza wa hoja yangu ni Rais Samia Suluhu kuongeza bajeti ya kilimo kwa zaidi ya asilimia 200, kutoka TZS...
Back
Top Bottom