rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viwanda vya Sigara viweke tozo kwaajili ya kusaidia Bima ya Afya kwa wote ili Wanaougua watibiwe

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia Kiwanda cha Kusindika Tumbaku na Kuzalisha Sigara cha Serengeti kitaweka Tozo katika mauzo yake ili Fedha inayopatikana isaidie katika huduma za Afya Rais amesema hayo baada ya kuelezwa na Mwekezaji wa Kiwanda kuwa 5% ya Tumbaku inayozalishwa hapo...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Morogoro imefana sana, CHADEMA njooni mbomoe hii ngome ya CCM

    Nimefuatilia ziara ya Mh Rais Samia katika mkoa wa morogoro kwa umakini hii ziara imefana na hii ni kutokana na hulka ya rais samia kutokuwa mtu wa makeke na kuharas watumishi wa uma ambao kwa hapo morogoro wanamuunga mkono sana. Rai yangu kwa Chadema rais akindoka njooni Morogoro. Lissu aje...
  3. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania CCM acheni utaratibu wa kubeba wanafunzi kwenye mikutano kwa maelekezo wasivae nguo za shule. Mnamdanganya nani?

    Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapopita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani? Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Morogoro

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Morogoro leo tarehe 5 Agosti, 2024.
  5. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

    Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LHRC yamtaka Rais Samia akemee tukio la mwanamke kubakwa

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa tamko kali dhidi ya kitendo cha kikatili cha unyanyasaji wa kijinsia (kubakwa na kulawitiwa) kilichoripotiwa kumuhusu Msichana mmoja kutoka Dar es Salaam, Wilaya ya Temeke, Kata ya Makangarawe, Mitaa ya Msakala na Dovya, karibu na Shule ya...
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani msipotoshe umma wa Watanzania. Rais Samia hafanyi kampeni kwenye ziara zake bali anakagua utekelezaji wa ilani ya CCM.

    Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi. Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia nini? Asifanye ziara kungalia miradi inayotekelezwa na chama chake? Bahati nzuri anagusa kila kona...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewahakikishia wawekezaji uwepo wa umeme wa uhakika Wilayani Kilombero, Malinyi na Ulanga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wawekezaji uwepo wa umeme wa uhakika katika Wilaya za Kilombero, Malinyi na Ulanga na hivyo amewaalika kwenda kuwekeza katika maeneo hayo. Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo Agosti 05, 2024 wakati akihitimisha ziara...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanasiasa mnaowapeleka Watu kwenye Hifadhi ili uchaguzi ukikaribia muwatetee, acheni hizo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na Serikali kutunza na kuyalinda maeneo ya hifadhi kwa faida ya kizazi cha sasa na baadaye huku akiwaonya Madiwani na Wabunge wenye tabia ya kuanzisha Vijiji ndani ya maeneo ya hifadhi hasa kipindi cha kuelekea...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero amuomba Rais Samia kutazama upya bei ya ushuru wa mazao

    Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi. Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
  11. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awaonya wanasiasa wanaoanzisha vijiji ndani ya hifadhi

    Rais Samia Suluhu Hassan ameonya Wanasiasa, hususani wabunge na Madiwani kuanzisha vijiji katika maeneo ya hifadhi pindi wanapoona chaguzi zinakaribia na hawakubaliki. Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara alipozungumza na wananchi wa Ifakara katika...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Ahadi ya Rais samia, Kigoma kuwa lango kuu inatekelezwa kwa vitendo

    AHADI YA RAIS SAMIA KIGOMA KUWA LANGO KUU INATEKELEZWA KWA VITENDO: NCHIMBI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema ahadi ya kuufungua Mkoa wa Kigoma kuwa lango kuu la biashara inaendelea kutekelezwa kwa vitendo. Balozi Nchimbi amesema ahadi hiyo...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sifa anazopewa Rais Samia, katika mikutano ya hadhara, nyingine hazimstahili

    Imekuwa ni mtindo wa kawaida kabisa hivi sasa, katika Kila mkutano wa hadhara anayoifanya Rais Samia, wateule wake wanampa sifa nyingi, ambazo nyingine hazimstahili. Huwa najiuliza, katika miradi mingi ya maendeleo huko mikoani, sifa zote anapewa Rais Samia na kitu ambacho naamini hakiko sawa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuagiza sukari nje ya nchi ni upotevu wa pesa

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameziagiza Wizara ya Kilimo na Wizara ya Biashara kuvipa kazi viwanda vya ndani ya Nchi ikiwemo Kilombero Sugar ili vizalishe sukari ya majumbani na viwandani na ethanol kwa ajili ya nishati ya kupikia huku akisema kuagiza tani 250000 ya sukari nje ya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kapinga: Rais Samia ameridhia ujenzi wa Vituo 75 vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Wiizara ya Nishati kupitia TANESCO kujenga vituo 75 vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme ikiwa ni jitihada zake za kuhakikisha wananchi katika maeneo yote wanapata umeme...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yaanza uchunguzi kufuatia tukio la utekaji wa kijana aliyechoma picha ya Rais

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanza uchunguzi wa kubaini watu wasiojulikana wanaodaiwa kumteka Shadrack Chaula (24), mkazi wa Kijiji cha Ntokela wilayani Rungwe. Chaula anadaiwa kutekwa na watu hao ikiwa ni takribani siku 20 zimepita tangu alipotoka Gereza la Ruanda Mkoa lililoko mkoani...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha. Mama...
  19. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, siyo kupanda kwa bei ya vyakula pekee, ambako kutawafanya Gen Z ya Tanzania waingie barabarani

    Nimemsikia Rais Samia Jana, wakati akihutubia wakazi wa Mtibwa -Morogoro, akiwa katika ziara Mkoani humo, akiwatahadharisha wateule wake, hususani walioko Kwenye wizara ya kilimo kuwa chakula ni jambo nyeti sana, ukitokea upungufu wa chakula nchini, unaweza walazomisha vijana wanaotambulika...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

    Ndugu zangu Watanzania, Katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Morogoro ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo,uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwa ujenzi wa miradi mbalimbali,utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi. Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama...
Back
Top Bottom