rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Rwanda Agosti 11, 2024 kuhudhuria uapisho wa Rais Kagame

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Rwanda kesho asubuhi kushiriki sherehe za uapisho wa Rais Mteule, Paul Kagame ambaye alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo mwezi Julai 2024. Rais Mteule Paul Kagame anatarajiwa kuapishwa Agosti 11, 2024.
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Kikao cha Maafisa Ugani na Wanaushirika, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Agosti 2024

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Kikao cha Maafisa Ugani na Wanaushirika, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Agosti 2024.
  3. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

    Wanabodi Hili sio bandiko la kila mtu, ni bandiko la wale tuu wenye jicho la 3 na sikio la tatu. Leo Rais Samia, akiwahutubia maofisa ugani, Ikulu ya Chamwino, kuna kitu Rais Samia amekisema kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, pale aliposema atarejea lini Kizimkazi. Rais Samia ameuzungumzia uchaguzi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Kikao na Maafisa Ugani, Ikulu ya Chamwino, Agosti 10, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=e_BQv2Q_JjE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kikao na Maafisa Ugani na Wanaushirika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 10 Agosti, 2024. UPDATES ABDULMAJID NSEKELA, M/kiti Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia kushiriki kikao na Maafisa Kilimo

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  8. L

    JamiiForums Tanzania Picha Bora ya Rais Samia Iliyogusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Kuna watu wanapita huku na huko na kusema Serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta!

    Rais Samia amesema kuna watu wanapita huku na huko na kusema serikali hii inafuja fedha Kwa kununua Magari ya kifahari badala ya Matrekta kumbe hawajui serikali ina mipango yake Rais Samia amesema hawazuki Tu na kuanza kununua Magari bali ni mipango iliyopangwa vizuri sana mapema Source: EATV...
  10. sanalii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sikutarajia kama Rais Samia atakuja kuwa namna hii alivyo sasa!

    Nilidhan atakua mtu wa haki na mfata sheria na mkemea maovu ila kawa tofauti sana, ni kama vile hajari kabisa hali za wananchi. Zile 4R zake madhan ni kwa ajiri ya CCM na CDM na si vinginevyo. Tanzania haina taasisi imara, hivyo kauli ya kiongozi wa juu zinahitajika ili baadh ya mambo yaende...
  11. Bila bila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnaorekebisha kauli za Rais na kusema amenukuliwa vibaya safari hii mmechelewa sana, wanaostahili walipwe fidia zao

    Imekuwa kawaida Sasa Mh Rais au viongozi wa chini yake wanapotoa kauli tatanishi, za kukera au zilizo kinyume na sheria au hata katiba ya Nchi, huwa kunajitokeza wapambe kufafanua na kusema Rais kanukuliwa vibaya utadhani wao ndo wana hatimiliki ya uelewa. Pia soma Rais Samia: Mnaotudai fidia...
  12. World light

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kijana toka Kanda ya Ziwa anaandaliwa baada ya Mihula ya Rais Samia kuisha

    Wanasema ili kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi hasa ya kukataa rushwa au ufisadi kutoka Kanda ya ziwa Magharibi lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha. Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa na Magharibi wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aandika ujumbe wa shukurani kwa wana Morogoro, aahidi kurejea tena

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa moyo wa unyenyekevu, upendo na heshima kubwa sana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na...
  14. blogger

    JamiiForums Tanzania Mwananchi apinga kauli ya Rais Samia kuhusu Watu kutopewa fidia zao kabla ya kutekelezwa kwa miradi

    Mwananchi atofa elimu kuhusu fidia kufuatia kauli ya Rais Samia kuomba Wananchi wapishe miradi na fidia zije baaa ya miradi. Amefafanua haki ya fidia kisheria na kikatiba na kukosoa kauli ya Rais Samia kuhusu suala zima la fidia. Pia soma - Rais Samia: Mnaotudai fidia kuweni na subira tumalize...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati ili ikamilike kwa wakati na hivyo kuwawezesha wananchi kupata nishati ya uhakika. Rais Samia ametoa agizo hilo Agosti 06, 2024 wakati akihitimisha...
  16. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Mnaotudai fidia kuweni na subira tumalize miradi ya maendeleo kwanza ndipo tuwalipe

    Nimekutana na Clip ya Mheshimiwa Rais ikielekeza watanzania kutii na kuacha miradi ya serikali ipite kwenye maeneo yao na ikishakamilika ndo wadai fidia. Nimejaribu kujiuliza hivi Rais amewaza nini kutoa agizo lile? Mradi umepita kwenye eneo langu, nyumbani kwangu nyumba inavunjwa mimi niondoke...
  17. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakulima wa korosho kumchangia Rais Samia pesa ya form urais 2025

    Vyama vikuu sita (6) vya wakulima wa mikoa minne (4) inayolima Korosho kwa wingi hapa nchini wamesema wanatarajia kutoa shilingi milioni 11 ili kumchukulia fomu Rais Samia Suluhu Hassan ya kugombea nafasi ya URais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
  18. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Video Watu wamiminika na kufurika kwa Rais Samia mpaka Aamua kujipiga picha kwa furaha

    Ndugu zangu Watanzania, Haya ni mahaba kwa Rais Samia ambayo watanzania wanampatia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii haijawahi kutokea popote pale Barani Afrika kwa Kiongozi kupendwa kiasi hiki mpaka watu wanaishiwa nguvu za kusimama...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale: Rais Samia sema neno kuhusu barabara yetu, kijana wako mdogo hii kazi naipenda, sina pakwenda!

    Daaa ukisikiliza hii clip unaweza ucheke Hadi uvunjike mbavu lakini Wabunge Vituko wa Hivi ambao ni entertainer ndio Watanzania Wanawapanda na Mi 5 watapata.🤣🤣🤣🤣🤣👇👇 Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kukamilisha ujenzi wa barabara na...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Morogoro Kuwa Jiji bado

    Rais wa JMT amekataa ombi la kuipandisha hadhi Manispaa ya Morogoro Kuwa Jiji kama ambavyo mamlaka zimekuwa zikiomba akisema Morogoro Bado sana kufikia hadhi hiyo na kuwataka watimize wajibu wao. --- Mbunge wa viti maalum Christine Ishengoma amewasilisha ombi la kutaka Halmashauri ya mji wa...
Back
Top Bottom