Pre GE2025 Joseph Mbilinyi: Rais na Amiri Jeshi Mkuu, tumefikaje huku tena?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
98,103
172,191
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ameandika Ukurasani X " Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?"

Sugu ameandika akiwa Chumba cha Wagonjwa mahututi.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

1723648358404.png
 
We need to stop acting and concentrate on serious matters , prof Jay akisikia Sugu yuko chumba cha wagonjwa mahututi anapata picha nyingine kabisa . Rais Samia akiambiwa Sugu yuko chumba cha wagonjwa mahututi huku anachati anachukulia hawa watu hawako serious.
 
Yaelekea Awadh kaletwa na kupandishwa cheo kwa kazi maalumu
Fyeka upinzani wote ndio kauli mbiu😡
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ameandika Ukurasani X " Mh Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?"

Sugu ameandika akiwa Chumba cha Wagonjwa mahututi
Atulie atuachie kazi GEN-Z 2025 tutaimaliza kazi
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ameandika Ukurasani X " Mh Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?"

Sugu ameandika akiwa Chumba cha Wagonjwa mahututi
Dah nimeona kwenye mtandao wa x, hakika inasikitisha sana. Nadhani kutakuwa na watu wanaotaka kuharibu 4 R
 
We need to stop acting and concentrate on serious matters , prof Jay akisikia Sugu yuko chumba cha wagonjwa mahututi anapata picha nyingine kabisa . Rais Samia akiambiwa Sugu yuko chumba cha wagonjwa mahututi huku anachati anachukulia hawa watu hawako serious.
Mkuu 'Nehemia Kilave', mimi nimekuelewa nilivyo elewa ujumbe wako huu; hata kama ni kinyume na ulivyo lenga ueleweke.
Kwanza nakubaliana sana na huo mstari wa kwanza kwenye hiyo lugha ya wenyewe.
Sasa nikuulize: "Who needs to be serious"? Umesema "We need to stop acting and concentrate on serious matters". Who is "we"?

Mimi nimeelewa "Sugu aliyepo chumba cha wagonjwa mahututi"; wakati huo huo aki-'chart' kwenye mitandao..., ninakubaliana na wewe.

Lakini wakati huo huo, ni kama unahoji, endapo "Rais Samia akiambiwa..."; as if the entire episode was a comedy, obscure for her not to know what happened?
Sasa kama hakuwa na taarifa, hadi aambiwe yaliyo mpata Sugu, whether he is in a position to chart or not; who needs to be serious here!
 
" Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?"
Maneno ya namna hii, na yale yanayosemekana Mwenyekiti naye kayasema yanayo shabihiana na haya ndiyo yanayotia shaka sana kuhusu hawa watu.
Hawa watu wameuza roho zao na ni hawa hawa ndio watakaoikiangamiza chama chao CHADEMA. na kuwaumiza waliomo ndani ya chama hicho wasiokubaliana na bei.
 
Hawa jamaa wamepata pakianzia lilikua kosa kubwa sana kuwazuia wasiandamane.
 
Back
Top Bottom