rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hamasa kubwa ya wananchi kujiandikisha, pongezi ziende kwa Rais Samia

    HAMASA KUBWA YA WANANCHI KUJIANDIKISHA, PONGEZI ZIENDE KWA RAIS SAMIA Nchi inayoongozwa katika misingi ya kidemokrasia inaamini kuwa kielelezo cha kwanza cha Demokrasia ni haki ya kuamua, yaani kuchagua au kuchaguliwa. Katika kuiishi imani hiyo, serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Afrobarometer zaonesha Tanzania inavyoongoza katika kupambana na umaskini Afrika

    Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51 ya Watanzania wanaamini kuwa Serikali yao inafanya kazi nzuri au nzuri katika kuwaondoa watu kwenye umaskini, na kuiweka Tanzania kuwa miongoni mwa nchi mbili pekee za Afrika...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ikimpendeza Rais Samia amuhamishie RC Makonda Mwanza

    Kumepoa sana , kwa ubunifu wa Makonda ndani ya Muda mfupi Mwanza itaipiku Mama waletee hawa watu Rc Makonda .
  5. J

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa nguzo muhimu katika kujenga Tanzania

    MATUNDA YA 4R ZA RAIS SAMIA, WAKULIMA NA WAFUGAJI MAMBO SHWARI Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa nguzo muhimu katika kujenga Tanzania yenye misingi imara ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. 4R zinawakilisha Maridhiano (Reconciliation), Uthabiti (Resilience), Mageuzi (Reform), na...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?

    Wanabodi, Kwanza anza na hii video https://youtu.be/kg56zhQjTOg?si=WL_ZQz4gr8fX1VV1 angalieni nchi za wenzetu,linganisha na hapa kwetu!。 Mwangalie Dr Tulia wa IPU na umlinganishe na Dr Tulia wa pale mjengoni kwetu Dodoma, ni mbingu na nchi!。 Mtu unaweza kudhani ni watu wawili tofauti! Hili ni...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Marekani yaridhishwa na mageuzi ya kiutendaji ya Serikali ya Rais Samia

    MAREKANI YARIDHISHWA NA MAGEUZI YA KIUTENDAJI YA SERIKALI YA RAIS SAMIA Yaahidi kuendelea kutoa fedha kuisaidia Tanzania kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi. Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) la Serikali ya Marekani limeeleza kuridhishwa kwake na mageuzi ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanu H. Ameir (Mtoto wa Rais Samia) - Kupata Elimu ya Afya ni Jambo Moja, Lakini Muhimu Sana ni Kupima Kujua Afya yako

    WANU H. AMEIR - KUPATA ELIMU YA AFYA NI JAMBO MOJA, LAKINI MUHIMU SANA NI KUPIMA KUJUA AFYA YAKO "Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tunaunga mkono Serikali zote mbili, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika masuala ya Elimu, Afya na Uchumi" -...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanu Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Ajiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Ngara na Diwani Wamlilia Rais Samia kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 114 kutoka Murugarama Rulenge

    Katika mkutano wa hadhara wa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Kawaida, Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba Ruholo ameomba serikali kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilomita 114 kutoka Murugarama Rulenge. Mbunge huyo amesema kuwa kila walipokuja...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete azindua zoezi la kupandisha Mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro kama ilivyoelekezwa na rais Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kilele cha wiki ya vijana mwanza chawaibua maelfu ya vijana wakiapa kusimama na Rais Samia 2025, wapinzani wabaki midomo wazi wasijue cha kufanya

    Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Vijana kilichofanyika jana Mkoani Mwanza kimethibitisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi anayependwa na kukubalika na kundi kubwa la vijana. Shangwe, nyimbo, na hisia za wazi zilizojitokeza zilionyesha jinsi vijana wanavyomuunga mkono kwa dhati...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Video ya LIVE ya Rais Samia kwenye kilele cha mbio za Mwenge yaondolewa YouTube. Je, sababu ni kukohoa kwenye hotuba?

    Leo nilitaka kurudia kutazama tukio la jana la kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbukumbu ya Miaka 25 ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere, Oktoba 14 pale Mwanza, nimejiuliza maswali mengi kuhusu hili, kwanini video hiyo imeondolewa YouTube au kwasababu Rais Samia wakati akihutubia alikohoa mara...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wadau washangazwa na Boda boda Mwanza kumshukuru Rais Samia katika Jambo lisilojulikana

    Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais. Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua...
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Whether you are agree not you are agree Rais Samia ni Rais bora sana kuwahi kutokea kwenye taifa hili ama hakika haya aliyoyafanya na anayo endelea kuyafanya ama rais yoyote yule aliwahi kuyafanya labda Rais Magufuli na yeye alijitahidi ila ndiyo hivyo angetawala miaka zaidi hii nchi ingekuwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nasubiri kuiona siku Rais Samia akipigiwa mizinga Zanzibar kama ilivyo huku bara

    Salaam, Shalom!! Sisi wengine shule zetu ndogo, unakaa unajiuliza ikiwa tuna Nchi Moja Tanzania, na Rais Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iweje akiwa Zanzibar Hana mamlaka kama huku bara? Sasa huu Muungano mbona utata mtupu? Kwanini hawezi kugusa hata kisiwa kimoja kule...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usichukuliwe poa, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu

    Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza, leo 14 Oktoba, 2024. Amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na Wananchi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki kilele cha Mbio za Mwenge na Kumbukizi ya Miaka 25 ya kifo cha Hayati Mwalimu Nyerere

    Fuatilia yanayojiri kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kutoka uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, leo Oktoba 14, 2024. https://www.youtube.com/live/v8nSt4aSfdM?si=xHhzHPZ8Cjbg-3m9
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Misa Takatifu Ya kumbukizi Ya Hayati Baba Wa Taifa Kanisa la Mtakatifu Francis Xaviel Nyakahoja Mkoani Mwanza

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan licha ya jana kushinda kutwa nzima akifanya kazi mbalimbali pasipo kupumzika . lakini leo hii asubuhi na Mapema amewahi sana kuhudhuria misa takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Baba wa...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akagua Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli, Wafikia Asilimia 93

    RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI, WAFIKIA ASILIMIA 93 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66...
Back
Top Bottom