rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awapongeza Azam Fc kwa Ushindi dhidi Ya Yanga.

  2. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  4. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna mwana CCM yeyote zaidi ya Rais Samia atakayechukua fomu ya Urais wala kutia nia 2025 kwasababu ya utamaduni wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwaelezeni na kuwapeni Elimu ndogo tu ya kuwa kwa utamaduni wetu CCM na wana CCM.ni kuwa hapo Mwakani hakutakuwa na Mwana CCM atakaye chukua fomu ya kugombea Urais .wala hakutakuwa na mtu yeyote yule mwanachama wa CCM atakaye tia nia wala kuonyesha kutia nia...
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Je, Ziara ya Rais Samia nchini Marekani inaweza kuinfluence uchaguzi utaofanyika novemba 5?

    Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao. Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais. Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Shadrack Chaula (aliyechoma picha ya Rais) aiomba serikali kutoa taarifa za mwanaye kama wemeshikilia ili wawe na amani

    Wakuu, Ni zaidi ya miezi miwili sasa toka Chaula achukuliwe na watu wasiyojulikana, ambapo baba mzazi ameiomba serikali kama inamshikilia mtoto wake basi watoe taarifa wanamshikilia kwa kosa gani na yuko gereza gani ili wawe na amani kuwa mtotobwao ni mzima na wafanye taratibu nyingine za...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation nchini Marekani

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright . Ambapo mazungumzo hayo yalijikita katika kukuza na kuimarisha mahusiano...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kwanza la kiswahili kimataifa litakalofanyika Havana Nchini Cuba kuanzia Tarehe 7 November hadi 10 November. Ambapo kongamano hilo...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Dkt. Leonard Akwilapo ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)

    Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo: (i) Dkt. Leonard Douglas Akwilapo ameteuliwa kuwa...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuwa Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Nchini Cuba

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kwanza la Kiswahili la Kimataifa litakalofanyika jijini Havana, nchini Cuba, kuanzia Novemba 7 hadi 10, 2024. Kongamano hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na washiriki takriban 600...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Ujenzi wa Machinga Complex

    WAFANYABIASHARA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA UJENZI WA MACHINGA COMPLEX ▪️Jiji kujenga sakafu kupunguza nguvu ▪️Mbunge Mavunde awachangia 10m kutunisha mfuko wa Soko ▪️Awataka Mgambo wa Jiji kuacha kutumia mabavu ▪️Aahidi kuwaunganisha na Taasisi za fedha kwa ajili ya mitaji ▪️DC...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuondoka leo Oktoba 29 kuelekea Marekani kuhudhuria mjadala wa Norman E. Borlaug

    Ndugu zangu Watanzania, kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Shoo: Mungu amepanga Rais Samia kuwa Rais wetu

    "Rais tuliyenaye mama Samia (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) haitaji kupigiwa debe kwa njia zisizofaa kwa sababu Mungu ameshamuweka ni Rais wetu sio tu wa kipindi hiki kimoja (mtanishangaa na kusema Askofu Shoo kapiga siasa, aah mimi nilionyeshwa na niliyasema...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii ni katika kuweka historia...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la AICT

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi. Dkt. Biteko amesema...
  16. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

    Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia. Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake. Hana uwezo hata chembe. That says a lot ueledi wa civil services, It’s a shitty county (ndio uhalisia).
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Samia

    Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  18. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ina maana Rais Samia amekwenda Kizimkazi badala ya kwenda kwenye mkutano wa Commonwealth.

    Kwa nini hakwenda Samia na Waziri Kombo kama alivyokwenda Indonesia na Januari.? Mi nadhani nchi yetu ina special relationship na UK,rais alipaswa kwenda kwenye ule mkutano. After all Malkia ndiye aliyeamua ugomvi na Maalim Seif katika Uchaguzi uliopita. Magufuli alikuwa poised kumuondoa...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 27 wa Wakuu wa...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lami itawasaidia nini wakazi wa Dar?

    Nilitarajia wajengewe mazingira ya kuwaokoa kiuchumi na kuwapaisha kimaisha. Lami bila hela?
Back
Top Bottom