rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aweka Jiwe la Msingi Shule ya Sekondari Msangani, ampongeza Rais Samia

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ya Msangani Government katika kata ya Msangani iliyopo Halmashauri ya Mji wa kibaha Mkoani Pwani ambapo Serikali imetoa kiasi cha shilingi Milioni 528.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rais Samia na CDF tusaidieni Watumishi Wastaafu wa Umma wa Wizara ya Ulinzi tupate stahiki zetu, tupo tayari kuonana nanyi

    Tunaandika ujumbe huu tukiwa na huzuni ya kiwango cha hali ya juu kutokana na yake tunayopitia, sisi ni wastaafu tuliokuwa Watumishi wa Umma ndani ya Wizara ya Ulinzi, tumefanya kazi kwa vipindi tofauti, baadhi ikiwa ni miaka 35 hadi 40 na kuendelea. Wengi wetu tulikuwa ‘Nursing Assistants’...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Rais Samia Kuzindua Rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024

    RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa hiyo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia tangu aingie madarakani

    Mambo aliyofanya samia tangu aingie madarakani 1. Kuondoa retention fee ya wadaiwa wa HESLB ambyo ilikuwa 6% mama akaifuta. 2. Miradi yote ya awamu ya tano kaimaliza yote na anapambana na mingine. 3. Ameongeza uwekezaji nchini na sasa kqsi ya mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. ukitaka kujua...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: Mch. Msigwa adai CHADEMA hawana uhalali wa kumkosoa Rais Samia

    Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Rais Samia wazidi kumulikwa kimataifa: Deutsche Welle

    Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa. Sasa ni zamu ya DW. Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu. Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja kuu. Hii ni baada ya kutoa matangazo ya kibiashara yaliyomhusisha rais na kurejelea utekaji nyara na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Rais Samia Ametunza Amani, Usalama na Utulivu wa Nchi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kutunza hali ya usalama na amani nchini tangu alipoapishwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Akizungumza na wananchi wa Kata...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia Yarejesha rasmi mikopo ya asilimia 10 baada ya Vigezo kuboreshwa.Mtu Binafsi wa Hadi Miaka 30 Atapewa Mkopo

    Serikali imerejesha rasmi utaratibu wa Mikopo isiyo na riba ambayo ilikuwa inatolewa Kwa makundi maalumu kwa lengo la kuwainua Kiuchumi. Awali mikopo ilisitishwa baada ya maafisa wa Serikali kutumia mwaya huo kukopesha Vikundi hewa na kisha kukwapua pesa za Umma hukunwalengwa wakishindwa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Masaburi ampongeza Rais Samia kwa Uwekezaji wa zaidi ya Tsh. Bilioni 400 Katika bandari ya Mtwara

    Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa), Mhe. Juliana Didas Masaburi amefanya ziara katika Bandari ya Mtwara ambapo aliambatana na Baraza la Vijana la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mtwara. Katika ziara hiyo akiwa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mtwara Komredi Abuu Athumani, Mhe...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watumishi waagizwa kumtafutia kura Rais Samia 2025

    👇
  11. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje? Wewe si ndio Rais

    Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi...
  12. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje ? Wewe si ndio Rais

    Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa. Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  14. S

    JamiiForums Tanzania TBC; walimu Arusha hawatumii nishati chafu bali ni kumuunga mkono Rais Samia. Mtutake radhi.

  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awapa onyo Watendaji wa Serikali wanaoingilia maeneo ya malisho ya Wafugaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kwa watendaji wote wa Serikali kuanzia ngazi ya Mkoa hadi vijiji kutowaingilia wafugaji wote hapa nchini katika maeneo yao ya malisho kama ilivyo elezwa kwenye GN. Aidha Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Walipa Kodi Wanakubali Faini za Makosa Lakini Si Kulipa Kodi Kwani "Ni jambo gumu na sirahisi kukubalika"

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Risiti hazitoki mpaka kauli ya rais?

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na tabia ya baadhi ya Wananchi kutodai au kutoa risiti kisa yeye Rais hajawaambia wafanye hivyo akisema huo ni wajibu ambao hauhitaji hadi Rais aseme. Akiongea leo October 04,2024 Ikulu Jijini Dar es salaam wakati akizindua Tume ya Rais ya...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaolipa kodi Tanzania ni milioni 2 tu

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wanaolipa kodi halisi Nchini ni Watu milioni mbili tu kati ya Watu milioni 65 ambapo amesema idadi hiyo ni ndogo sana hivyo amewataka Watanzania wengi zaidi walipe kodi ili kuchangia uchumi wa Taifa. Rais Samia amesema hayo leo October 04,2024...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: 4R za Rais Samia zinafanya kazi licha ya kuwapo changamoto chache hasa kisiasa

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema bado anayaona mafanikio ya falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan, ya R nne (4R) anazozitumia katika utawala wake na kuifanyia nchi kuwa katika utulivu. Aidha amesema falsafa ya maridhiano (Reconciliation), Mabadiliko (Reforms), Ustahimilivu...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango amuwakilisha Rais Samia katika Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na miaka 200 ya Utawala wa Kifalme wa Lesotho

    1. Lesotho ni nchi inayozungukwa na Afrika Kusini kila upande. 2. Leo tarehe 4 Oktoba 2024 inatimiza miaka 200 toka kuundwa kwake na Mfalme Moshoeshoe I. Tunashukuru Kwa kutuwakilisha. ========== Maseru, Lesotho – 4 October 2024 The Vice President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr...
Back
Top Bottom