raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. Planet Data bundles

    Je kuna raia wengine nje na watu wa africa mashariki wanao tumia JF??

    Naona kuna majukwaa ya zambia sijui zimbabwe kwene communities lakini sijawai ona comment au michango ya hoja ya hawa watu nje n tz n kenya?? Je kuna hap member nje na africa mashariki
  2. MK254

    Kiongozi aliyezima maandamano kwa kuua raia Iran naye auawa

    Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana. Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito...
  3. MK254

    Video: Raia wa Iran asababisha polisi watoke nduki baada ya kuchezesha sauti ya drone

    Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani. https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
  4. Yoda

    Ni nini hasa raia wengi wa Tanzania wanakitaka katika siasa?

    Sidhani kama wengi demokrasia na mambo ya haki ni kipaumbele kwao. Inaonekana wengi wanachotaka ni maendeleo tu bila kujali yamepatikanaje au gharama yake. Lakini pia raia wengi wanapenda viongozi wanaume wahafidhina populists na nationalists.
  5. R

    Raia wa Ufaransa ahukumiwa Azerbaijan miaka 10 jela kwa kosa la Ujasusi

    Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti. Mamlaka ya mji mkuu Baku...
  6. Dalton elijah

    SI KWELI Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel

    Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
  7. S

    Us department:'' Raia wamarekani ondokeni mara moja Cyprus sababu ya kiusalama

    Serikali ya marekani imewaambia raia wake wanaoishi Cyprus waondoke mara moja na wahame na mali zao kwasababu za kiusalama. Ina maana jumba bovu wanaachiwa wa Cyprus wenyewe?
  8. M

    Wairan wanafurahia msaada wanaopewa, Wanafurahia viongozi wao kuuawa, Ina maana sisi wengine ndio tunaijua Iran kuliko raia wa Irani ?

    Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe. Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
  9. 6 Pack

    Kimbunga cha moto kinaelekea Israel, raia wa Jordan, Saudia na Israel wamejifungia majumbani.

    Niaje waungwana Habari ndio hii wakuu, dakika 20 from now, Tel Aviv, Jerusalem na miji mingine ya Israel inakwenda kugeuzwa takataka na majivu. Update: Tel Aviv ameanza kuwaka moto. Inasemekana Netanyahu ashatorosha familia yake kabisa. Na bado asuburi wamalize kufuturu, leo hakuna mtu...
  10. G

    Tunapoendelea kupambana na hii regime ya kihuni ya kuteka na kuua raia hutuwezi kumtoa MAGUFULI kwenye hili mazuri yake hayawezi kumuondoa kwenye hii

    Laiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa wazi kabisa Mazuri yaMagufuli ya KUSIMAMIA Rasilimali za nchi Kwa kiasi Fulani hayawezi kumtoa...
  11. A

    DOKEZO Tabora kuna raia wa nchi jirani wanauzia watu Makaa ya mawe feki

    Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe. Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.
  12. G

    Ukweli kama Amiri Jeshi mkuu ameshindwa Jukumu la kulinda raia na kinyume chake raia wanatekwa na kuuawa hivyo ajiuzulu au atukabidhi wauaji

    Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya jamhuri ni waasi wa taifa letu tukufu Serikali ya uasi Ile inashindwa kulinda katiba ya nchi na...
  13. mcTobby

    Kama Security details ya Nicolas Maduro ilikuwa na raia wa Cuba , basi sishangai kilichompata

    Kila nikifikiria hili swala la Maduro kunyakuliwa usiku wa maanane ikulu ,basi bila shaka alikuwa hawaamini "My fellow county men" mpaka akaamua kuwakodisha wa Cuba kama Walinzi wake. Sasa wa Venezuela wenzake wakaamua "kumuuza" kwa bei ya jioni kabisa kwa Baba Baron 😂😂😂.
  14. M

    Tume inayojichunguza itasaidia nini kuliponya taifa? Ushuhuda uliotolewa unaonyesha watu waliuliwa na nguvu kubwa ilitumika.

    Mfano mzuri ni ushahidi wa yule bibi wa Magomeni kota ambae alilazwa na maiti bahati nzuri akazinduka na akapatiwa matibabu Mungu akamsaidia akapona. Kwa ujumla nguvu kubwa ilitumika kulinda watawala wabaki madarakani. Mpaka sasa Tume inayojichunguza itasaidia nini kuliponya taifa?
  15. M

    Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

    Tunakoelekea sasa tunaweza kuja kushuhudia Tanzania ambayo hatujawahi kuvidhania kabisa.
  16. Twilumba

    Silaha inayonyanyuliwa dhidi ya raia asiye na hatia huanzisha laana ya kizazi-Simulizi kuhusu Kijana George Chipeta

    Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake mwenyewe, akaondoka Vingunguti, akavuka daraja kuelekea Tabata kufuata spare ya mteja. Aliipata spare...
  17. funaku

    Raia wa OMAN wenye asili ya Tanzania wamzawadia Rais Samia Gari lililotembea nchi zaidi ya tisa

    Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
  18. Roving Journalist

    Mbeya: Raia 37 wa Ethiopia washikiliwa kwa kuingia nchini bila kibali

    Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 37 wanaume raia wa nchini Ethiopia kwa tuhuma za kuingia nchini bila kibali. Watuhumiwa walikamatwa Januari 16, 2026 saa 10 jioni katika Kijiji cha Kasumulu...
  19. DuaZaMama

    Polisi: John Kohe aliingia benki na kumlazimisha mhudumu ampe fedha bila kufuata utaratibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto. Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15,2026 majira ya saa nane mchana katika...
  20. Mshana Jr

    Urafiki wa polisi na raia umeharibika sana kwa sababu ya matukio kama haya ya watu kufia mikononi mwao kwa mateso na ukweli unageuzwa

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
Back
Top Bottom