Wakati nakua chumbani kwa baba yangu kulikuwa na mkuki,upinde na mishale yake pamoja na jambia,yale ambayo yanakaa kwenye ala yake,
Inamaana baba alikuwa mzoefu alifundishwa kutumia silaha na baba yake,mimi leo mtu mzima sijui hata kutumia kisu kujilinda maana yake baba yangu hakunifundisha...