Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,979
Baada ya miaka mingi ya utafiti nimegundua vitabu vya hawa wanaopenda kula ndizi vinalainika na kufunguka mapema tena bila shida na maandishi husomeka kwa uzuri sana ukilinganisha na hawa wenzao wasiotumia ndizi.
Kuna vitabu unakuta kurasa zake ni kavu kama kaukau inakuwa mtihani sana kufungua na kusoma maandishi yaliyomo huko ndani. inasemekana hawa wa ivi ndo wamekuwa mstari wa mbele kulalama wapewe maandalizi kwanza yaani fikiria wewe umeenda uwanjani ukijua kabisa unaenda kufanya nini hlf unafika uko unaanza kudai mwingine akusaidie warm up😇😏sounds crazy??
Inasemekana yale majimaji yaliyopo ndani ya ndizi ndo "uchawi" wenyewe.
Haya wakuu kazi kwenu.
Msiseme hamjaambiwa.
Kula chuma icho.