rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tambiko rahisi la kujizindika mwili wako unaloweza kuzindika wewe mwenyewe ukiwa nyumbani

    Hii hapa ritual rahisi ya kujisafisha kiroho nyumbani – salama, ya asili, na yenye nguvu ya kiroho: --- VITU UNAVYOHITAJI: 1. Chumvi ya kawaida au ya baharini (chumvi huchukua nishati hasi) 2. Maji safi 3. Mafuta ya mkarafuu, mizeituni, au lavender (kama unayo) 4. Mshumaa mweupe (ishara ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania EPSON INKPAD ERROR Software kwa bei rahisi.

    karibu kwa huduma ya repair , service kwa machine zote ya photocopy na printer , pia huduma ya kureset inkpad error inapatikana mahali popote ulipo huduma inafanyika . +255621205202 karibu sana
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwa rais Afrika, kila kitu chako kinakuwa rais na rahisi

    Ukiwa rais, hata mbwa wako anakuwa rais wa mbwa wote. Ukiwa rais, hata kuku wako anakuwa rais wa kuku wote, ukiwa rais, kila kitu kwa watu wako kinakuwa rahisi. Ukiwa rais, hata gari lako ni rais wa magari yote nchini mwako. Tulizoea kuyasikia haya huko Congo zote, Equatorial Guinea, na Libya...
  4. JamiiForums Tanzania PATA MLANGO MZURI WA PVC KWA BEI RAHISI NI 450,000 TU..

    Hii ofa huwezi kuipata sehemu yeyote..Njoo inbox nikufungie mlango mzuri wa uPVC kwa bei ya ofa Milango ya PVC ni mizuri kwa chooni na kwa ofisi yako na hata nyumban kwako. Ubora wake ni kwamba haupati kutu,hauna kelele,haushuki hata ukiutumia kwa miaka10..gurantee ni miaka10 Husipigwe tena...
  5. JamiiForums Tanzania Kitabu cha The Animals Are Innocent: "The Search for Julie's Killers" kinaonyesha majibu rahisi ya viongozi afrika mfano tukio la Julie's kule kenya.

    Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
  7. JamiiForums Tanzania Kuku Wako Wanakula Mayai na kudonoana? Hii Njia Rahisi Inazuia Hasara Kubwa (De-beaking)

    De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers) De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku. Kwa nini hufanywa? ✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja na kula mayai. ✔ Kupunguza kudonoana (cannibalism) - kuku hushambulia wenzao wakipata msongamano...
  8. JamiiForums Tanzania Faida 10 za Kutumia Canva — Jukwaa Rahisi kwa Kila Mtu Anayetaka Kutengeneza Miundo ya Kuvutia

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, miundo (designs) bora ni silaha ya kwanza ya ushindi katika biashara, ujasiriamali, elimu, au hata content creation ya mitandaoni. Lakini si kila mtu ana muda wala ujuzi wa kutumia programu tata kama Photoshop. Hapo ndipo Canva inapotokea kama mkombozi. Ikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kituko mtu anayeamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili kisha ukajiunga tena kucheka muujiza wa gesi ya kupikia kujazwa kwa mdomo.

    Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
  10. JamiiForums Tanzania Mjihadhari na wanao tengeneza websites kwa bei rahisi

    Kama hana ofisi, hujui anapoishi basi huyo ni tapeli wa mjini. Wapo wakenya, watanzania na wa Nigeria. Wanatumia namba za nje ya nchi, wanatumia namba zisizo na usajili wa majina yao ila wako hapa nchini. Akikusajilia anamiliki acount ya usajili na hapo ndio pagumu anakuwa mmiliki. Hakupi...
  11. JamiiForums Tanzania Kunizungusha sana sio kama ndio nitakuona wewe sio Malaya au sio rahisi

    KUNIZUNGUSHA SANA SIO KAMA NDIO NITAKUONA WEWE SIO MALAYA AU SIO RAHISI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo ambayo yananifanya nimshushe mwanamke nyota zake hasa za kiutambuzi na kumwona ni wale wanawake wa standard za kawaida ni kuwa na mtazamo usemao kuwa kumzungusha mwanaume au...
  12. JamiiForums Tanzania Kupata gpa ya 5.0-3.5 havard na cambridge ni rahisi kuliko UDSM

    Shalom shalom Licha ya kuwa na elimu duni wanayotoa pia kupata GPA kubwa na kali imekua anasa kwa vyuo vya serikali Tanzania kuliko hata HAVARD na vyuo vingine vikubwa duniani na sababu kubwa ikiwa sio kwamba wanafundisha sana la hasha bali kuna miungu watu nasio malecturers. Hata hao...
  13. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumjua mtu mwenye IQ ndogo katika uwanja wa siasa ni pale anapopost Clip za polepole kipindi akiwa mwenezi wa CCM

    Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka . Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati uliopita Kama uzoefu na kujifunza . Nimeona watu badala wachambue hoja za polepole na sehemu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania TANROADS, hii imetokea India lakini kuna siku nimepita maeneo ya Ruaha barabara ya kwenda Iringa nikaona kitu kama hiki ni rahisi sana kutokea pale!

    TANROADS, ni vema mkalidhibiti hili eneo la Ruaha kabla maafa hayajatokea, hasa wakati wa mvua ambazo siku hizi zinzzidi kuwa kubwa kuliko vegezo vilivyotumika ku-design hii barabara. Imetokea India inaweza kutokea pale Ruaha. Msiache mambo kwa kuomba tu rehema za Mungu kwamba haitatokea...
  15. JamiiForums Tanzania Mpango rahisi wa lishe ya kila siku kwa mgonjwa wa Kisukari

    Huu ni mpango bora na rahisi wa lishe kwa mgonjwa wa Kisukari( Type 2) ili kusaidia kudhibiti kiwango Cha sukari kwenye damu. ASUBUHI (SAA 12- 1) Uji wa dona au ulezi (usitie sukari, tumia maziwa kidogo ya mgando). Mayai 1-2 ya kuchemsha au maharage kiasi. Parachichi au kipande kidogo cha...
  16. JamiiForums Tanzania Kipi Rahisi kuongozwa na kipofu au aliyelala? Au kipi kitamu, Kula na kipofu au Kula chakula cha waliolala?

    Ulaji upo! Katika utawala utaulizwa haya maswali Makuu. Na utatakiwa kuyajibu kwa ufasaha; Unaapa kutumikia Jamhuri, tuambie kipi rahisi Kula chakula na vipofu au chakula cha waliolala? Ukijibu hilo litafuata swali la mwisho, kipi kitamu, chakula cha vipofu au chakula cha waliolala? Majibu...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Rahisi Kupoteza Biashara Yako Kama Hautailinda Kisheria

    Jinsi Nilivyomsaidia Mteja Wangu Kumsajilia Jina la Biashara Nilipokutana na mteja wangu kwa mara ya kwanza, alikuwa amechoka na mawazo akijaribu kuanzisha biashara yake. Alikuwa na ndoto, wazo, na hata jina la biashara alilopenda lakini hakuwa na ufahamu kamili wa taratibu rasmi za kulisajili...
  18. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kutoka kwenye utumwa na laana. Simplest

    Utumwa ni kuwa chini ya mtu au kitu fulani kwa 100% . Sasa utumwa wa kiroho mara nyingi hubase kwenye jambo moja mahsusi. Mtumwa wa kiroho anaweza kujua kuwa yuko kwenye kifungo au akahisi tu kuwa ana kifungo lakini asijue wapi hasa kagungwa . Dalili za mtu aliyefungwa kiroho; 1. Kufanya kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Maisha: Biashara haijawahi kuwa Rahisi – Ni Mapambano ya Kitaaluma na Kimtaa

    Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku. Kutafuta si lelemama, na kufanikiwa ndio kabisa si jambo la haraka wala rahisi. Mafanikio ni matokeo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kiasi gani Rais kujinyonga au kujiua?

    Nimekumbuka mwaka 2009 huko Korea ya Kusini Rais wao Roh Moo-hyun alijiua. Wale walinzi huwa ni kwa ajili ya maadui wa nje au hata dhidi yake mwenyewe?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…