rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Huko Marekani ni rahisi sana kuwatimua watumishi wa umma kazini!

    Musk, DOGE yake na Trump wanatimua kazi wafanyakazi wa umma mpaka wanasahau wanapitiliza inabidi wawatafute kurudi kazini tena🤣!
  2. Tlaatlaah

    Ipi rahisi, nafuu na salama zaidi kati ya kununua gari showrooms na kuagiza kutoka ng'ambo?

    Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya kuagiza kutoka ng'ambo na kwenda kuchagua tu sehemu mbalimbali yanapuuzwa magari nchini? Kwa niaba ya...
  3. The redemeer

    Kazi ambazo ni rahisi kupata kwa wakuja ukifika USA

    Kwa manew comers wabongo wapya wapambanaji. Kazi rahisi kupata nchini Marekani mara nyingi ni kazi za kuingizio (entry-level) ambazo hazihitaji ujuzi maalum au uzoefu mrefu. Hapa ni baadhi ya kazi rahisi kupata: 1. Mhudumu wa Meza (Waiter/Waitress): Kazi ya kuhudumia wateja kwenye migahawa na...
  4. T

    Mwenzetu kagundua njia rahisi ya kuwatofautisha Pacha wake

  5. Amba Samedi

    Fuata Hatua Hizi 7 Rahisi Kuwa Huru Kiuchumi

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nimejibanza sehemu fulani hapa Morogoro ili kuandika maneno haya. Jua linawaka dane, feni inazunguka juu yangu, na hamna usumbufu wowote. Natumaini na wewe unaendelea vizuri. (Na endapo kuna mambo hayaendi, komaa tu. Haya ni mapito. Punde msimu utageuza, na...
  6. ashomile

    Kuna mke wa mtu nilianza kama utani ila nimemkaribisha kwa siku moja nyumbani kwangu siku hiyo hiyo nimemtamkia ndo nikaanza nakumtafuna

    Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu. Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia anakuja ile alivyokuja nikamtamkia nampenda ila alichonisihi akaomba iwe siri yangu mimi na yeye...
  7. Knock life

    Serikali kwakuwa hamna ajira za kutupatia , basi tunaomba mtuwekee mazingira rahisi ya sisi kwenda nje

    Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
  8. L

    Si rahisi kwa Marekani kujijengea jina kwa kujiingiza kwenye ushindani na China kwenye ujenzi wa miundombinu barani Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni Marekani imekuwa ikitekeleza kile inachokiita kurudi Afrika, sera ambayo hapo awali ilitajwa kuwa ni kurekebisha makosa ya kisera na kutambua umuhimu wa kimkakati wa bara la Afrika, sio tu kwa siasa za ndani za Marekani, bali pia kwa uchumi wa Marekani na nafasi...
  9. comrade_kipepe

    NIi kweli umeme Zanzibar ni rahisi kuliko Tanganyika?

    Nimeona Habari ya kushuka kwa bei za umeme Zanzibar, ndio nikashtuka kua kumbe tokea siku nyingi umeme Zanzibar NI Rahisi kuliko Tz bara. Je umeme si unatoka huku kwetu? Nini shida mpaka Sisi tunyonywe Unit inauzwa ghali ?
  10. F35-Bomber

    DISCOVER 4 2015 BEI RAHISI

    2015 LAND ROVER DISCOVERY 4 SDV6 SE, 139,850 KM, U$ 20,000 Long range fuel tank, spare wheel carrier, 7 seater, navigation bar, Bluetooth, reverse camera, side steps, tow bar, high and low range, off road terrain responce, central locking Sun Roof,No mechanical issues,sold to the public as...
  11. DELETED ACCOUNT

    Ibenge hawezi kuiachia Yanga kirahisi rahisi

    Kuna hii dhana ipo vichwani mwa mashabiki wa Yanga kudhani Kocha wa Al Hilal Florent Ibenge anaenda kuilegezea Yanga ili ipate walau sare katika mechi ya Jumapili. Ngoja nikwambie kwa nini hilo ni gumu kutokea. 1. Al Hilal wanataka kumaliza group stage kwa alama nyingi inavyowezekana na bila...
  12. Manyanza

    Maisha yakiwa rahisi sana hugeuka kero

    Mtu ambaye hafanyi kazi yoyote,hafanyi usafi, lakini anapata mahitaji yake yote bure lazima ataanza kulala sana,kukesha kwenye tv,kuanza kunywa pombe,kucheza kamari,kutumia dawa za kulevya,kufanya starehe sana muda wote kwa sababu anakuwa anaishi maisha rahisi sana hivyo atalazimika kuishia...
  13. Immortal Techniques

    Ni Rahisi kuwaza MWISHO WA DUNIA ni Lini kuliko kuwaza Chadema bila Tundu Lissu nini hatima yake.

    with Due respect, Mbowe kubali kukaa pembeni ni kweli wewe ni mpambanaji hutakatai, muda wako umetosha,
  14. Li ngunda ngali

    Huyo Rahisi wenu kila siku yupo Zanzibar?!

    Muda mwingi rahisi atafanya hivi na vile akiwa Zanzibar. Mara, rahisi yupo na Dotto magari Zanzibar. Aisee, mbona hakauki huko Zanzibar?! Dodoma ambapo ndipo Ofisi yake ilipo anakaa muda gani huyo rahisi?! Inachosha bwana! Bora hata ya Hayati aisee.
  15. G

    Njia rahisi ya kumtambua mwanamke mwenye UTI wakati wa kufanya tendo la ndoa.

    Wakuu habari. Leo nawelatea njia ya kutufanya tusiwe watumiaji wa AZUMA. Kabla ya kufanya mapenzi mkiwa kwenye maandaandalizi pitisha kidole kwenye uke then kinuse. Ukikuta kinatoa harufu kali hio manzi usipige au tumia kondom. Binafsi natumia hii njia Sasa hivi nimesahau habari za UTI...
  16. J Mbungi

    Kitanda kizuri Cha chuma 5X6 kwa Bei rahisi 120,000/- Madale Mwisho - DSM

    Nauza kitanda chuma 5X6 kwa Bei rahisi kabisa 120,000/ bad kipya kimetumika miezi4 tu!( Kimsingi hiyo elf20 itakuwa nauli ya kukuletea ulipo,hivyo (naamini kwa maeneo ya mbeZi,tegeta,goba au bunju hiyo nauli itosha kukifikisha ,ili adhima ya kupata laki1 nayohitaji itimie)!. Kipo Madale Mwisho...
  17. R

    Ni Rahisi sana kuhimili mashambulizi ya Shetani kuliko kutandikwa na Mungu

    Salaam, Shalom!! Ni Rahisi sana kutolewa ugonjwa au LAANA iliyosababishwa na Hila za shetani na mapepo yake, lakini ugonjwa au LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi huna namna ya kuiondoa. Ukipatwa na LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi waliokulea, huwezi pata msaada kwingine kokote, hayupo wa kukuombea...
  18. THE BIG SHOW

    Ni rahisi sana kwa CHADEMA kumpa Tundu Lissu nafasi awe Rais wa nchi kuliko kumpa uenyekiti wa chama

    Friends and Our Enemies, Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao. Sisi hatuna shida na kuwa chama hiko waasisi wao ni KASKAZINI...Ni cham ambacho kimepitia mawimbi mengi makubwa...
  19. Samia atosha tukutane2030

    Kipimo rahisi cha nyota yako

    Kila mwanadamu ana nyota , ndani yake kuna talanta, na hiyo talanta ndiyo Mungu hutaka mtu aitumie ili asiwe maskini na mhitaji. Lakini kama ilivyo ada duniani kuna wachawi ambao huchafua nyota za watu au kuibiwa. Ukiibiwa nyota utateseka mpaka kifo chako. Hakuna litakalostawi mikononi mwako...
Back
Top Bottom