rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Tabasamu na Mwalimu

    Mwalimu ni mwanajamii mwenye thamani kubwa sana katika ujenzi wowote wa jamii yenye mtazamo wa maendeleo endelevu. Kuna walimu rasmi yaaani walimu waliopitia katika mfumo maalumu wa mafunzo fulani ili wapate ujuzi wa kuhaulisha maarifa kwa kizazi fulani. Pia kuna waalimu wasio rasmi, hawa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna maisha ya ajabu Sana. Leo nimetoka na rafiki. Tukala bia, nikaambulia kupigwa na kung'atwa. Bajaji musiwaamini

    Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata. Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari. Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao. Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa rafiki yake wa muda mrefu Bw. Sergey Brin muanzilishi mwenza wa Google

    Kwa mpenzi wako au mke wako kua makini sana na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa mshikaji wake Bwana Sergey Brin ambae pia ni muanzilishi mwenza wa Google. Baada ya Elon Musk kumtafuna mke wa Brin urafiki wao wa muda mrefu ukafa baada ya Brin kujua Elon anamla mke wake tena anampiga...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Muongo, Mnafiki na Mmbea ni rafiki yupi wa Kumuogopa Zaidi?

    Habari nna rafiki zangu watatu ila nimekuja kugundua mmoja ni muongo sana ,mwingine ni mnafiki na wa mwisho ni Mmbea. Kati ya hawa ni yupi niwe nae makini sana?
  5. JamiiForums Tanzania Video: Dogo wa miaka 15 ampeleka rafiki yake kwa mganga ili amtoe kafara ya utajiri

    Tena kafara yenyewe sio kama hizi zenu za kiswahili ya kwenda kwa mganga akwambie umtoe ndugu yako kafara ukikubali ndugu yako anaumwa tumbo anakufa la hasha ila ni kafara kama ile ya kumtoa kondoo wa sadaka yani mtolewa kafara anachinjwa damu yake ina mwagwa kwenye madhabahu ya mganga husika...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoleta wenzenu tukiwa out mjitathmini! ukaribu mnaotujengea nao hutupa majaribu makubwa ya kuanzisha nao mahusiano ya kimapenzi

    Wanawake mjiangalie sana, mjitathmini tafadhali, Unaambiwa jumamosi ujiandae mtoke out, wewe unaleta rafiki zako tena wengine ni pisi kali kuzidi wewe.. Wanamuona mwanaume wako anavyowalipia vinywaji, vyakula, wanaona ana ndinga kali, jinsi anavyoweza kutunza mwanake afurahi, n.k Hivi...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Desperation ya kupata first job ilivyomponza rafiki angu

    Rafiki angu alihangaika kwa takriban miezi 6 tokea amalize chuo kupata kazi yake ya kwanza. Ila alijiharibia kitu kimoja na yote hii ni kwa sababu ya desperation ya kupata kazi yoyote ilimradi imuingizie kipato. Jamaa aliitwa interview na international NGO moja hapa Bongo. Akaulizwa lile swali...
  8. JamiiForums Tanzania Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilitokea baada ya kumtongoza mke au demu wa rafiki yako akakukatalia?

    Hii kitu sitaisahau baada yakumtongoza demu wa rafiki yangu halafu akachomoa Dah! Nilihisi kuvurugwa baada ya kuangalia urafiki wangu na jamaa ulivyo niliishi maisha ya hofu kwa wiki nzima hofu ikaanza kuisha mdogo mdogo baada ya demu kujiongeza na kukaa kimya
  10. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
  11. JamiiForums Tanzania Buriani rafiki yangu wa udogoni, Ibrahim Mussa Panzi

    BURIANI RAFIKI YANGU WA UDOGONI IBRAHIM MUSSA PAZI Nimesoma taarifa ya kifo cha Ibrahim Mussa Pazi nikiwa katikati ya Bahari ya Hindi nikitokea Zanzibar kurejea Dar es Salaam. Ibrahim tumekuwa sote udogoni tukicheza mpira Saigon. Huu ni mwaka wa 1966 umri wetu haujapita Miaka 15. Leo...
  12. JamiiForums Tanzania Rafiki/ Ndugu zenu wanajua Kazi/ Biashara mnazozifanya?

    Jana nilishinda nyumbani siku nzima, sikuwa kazi nilijipea off, Sasa kabla siku haijaisha alikuja beshte yangu katika story nikamuelezea Biashara ambazo nataka kufanya ili anishauri. Alinipa Ushauri wa kutosha lakini ushauri mkubwa aliyoniambia ni huu[emoji1484] nanukuu "Unajua kuna Baraka...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiishi kwa ndugu, rafiki, jirani zingatia haya

    Ndugu zangu, Maisha hayajawahi kuwa fair hata kidogo, coz dunia nayo haipo fair kwetu. Wapo wenzetu kwa tofauti hii ya usawa, wamezaliwa na kukuta mambo yapo vizuri kuanzia kuvaa, kula, kulala na hata mengine ambayo kwa sisi wengine tungesema ni anasa tu lakini wao wanayo na wakikuona wewe huna...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki jamani

    Jamani naitwa shukran nina miaka 19 natafuta rafiki jinsia yakike nataman tuwe marafiki wakuaminiana natulio ivaana asante
  15. JamiiForums Tanzania Aweso: Mama ni noma, vyama rafiki wasiseme wameibiwa kura 2025

    Waziri Juma Aweso amesema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani. Aweso amesema watu wanasema mama anaupiga mwingi lakini yeye anasema mama ni Noma na anawatahadharisha vyama rafiki(Upinzani) wasije wakasema wameibiwa kura 2025 kwani watanzania hawatamuacha. Amewataka wababa wakae kwa kutulia...
  16. JamiiForums Tanzania Uungwana: Rejesha gharama za kufanikisha mkopo uliopatiwa na rafiki, ndugu au jamaa

    Salaam Wakuu, Nataka nizungumzie tu chembe ya uungwana ambayo inaweza kuwa na manufaa makubwa maishani mwetu. Ni vema kuonesha uungwana unapopatiwa mkopo wa fedha na ndugu, jamaa au rafiki. Uungwana wa kwanza ni kuhakikisha una dhamira ya kulipa pindi unapokopa, kisha kupambana juu chini...
  17. JamiiForums Tanzania Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu. Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike wa awe mstaarabu n.k

  19. JamiiForums Tanzania Tuziombe nchi rafiki na taasisi za fedha hususani World Bank na African Development Bank waahirishe au kutusamehe baadhi ya madeni wanayotudai

    Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa Afrika kwamba wanawake wanaweza, tena sana tu kuliko wanaume wengi. Wengi wanapenda kuona rais wetu...
  20. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anakaribia kuoa kimyakimya bila wazazi na ndugu zake kujua

    Baada ya wazazi wake kumkataa binti ambaye alikuwa ana mipango ya kumuoa kwa sababu wazazi wanazozijua wenyewe. Jamaa yangu sasa anakaribia kuoa kimya kimya bila wazazi na wala ndugu zake kuwashirikisha wala hawajui chochote kama anaowa na amefanya hivi sababu wazazi wake wamekuwa kikwazo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…