rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalton elijah

    SI KWELI Dkt. Gwajima amesema Kumusahau Polepole Ni Ngumu Maana Alikuwa Rafiki wa Kweli

  2. D

    Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

    Habari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama. Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba Mawili, sehemu inaitwa Bwawani. Ni mitaa ambayo niliwahi kuishi pia. Baraka alihamia huko tangu...
  3. M

    Hii ndio siku nilipogundua rafiki yangu ni nyoka, wewe ulijuaje rafiki yako ni msalaliti ?

    Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume. Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho. Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei...
  4. nzalendo

    NImemkumbuka sana rafiki yangu Mwl.Chalamila (RIP)

    Huyu Mwalimu alikuwa muungwana sana,,,,ndio maana siku zote naamini mtu mwema huwa anaishi kwenye fikra na mioyo ya watu daima. Kwa kifupi tulifurahia sana maisha ya ujana tofauti na mimi yeye alikuwa siyo mtu wa kinywaji zake gahwa na fegi, Alikuwa ni mwenyeji wangu kila nilipokuwa nafika...
  5. kavulata

    Stendi kuu ya Magufuli sio rafiki, ni laana kwa wasafiri na wasafirishaji jijini

    Inaonekena kuwa ujenzi wa stendi ya mabasi ya magufuli jijini Dar ilijengwa bila kuwashirikisha wadau. Haizingatii desturi, mazoea, utamaduni, uchumi na utaratibu wa wadau. Ninapotaka kusafiri kwenda au kutoka mikoani hofu yangu kuu ni nitafikaje au nitatokaje stendi ya Magufuli, maana hakuna...
  6. P

    Wazo; TRA marathon,jukwaa rafiki la kuwakutanisha tra na walipa kodi!!!

    Someni wazo mtoe maoni yenu!! Maendeleo ya taifa lolote hujengwa juu ya mshikamano na ushirikiano kati ya Serikali na wananchi wake. Ushirikiano huu hujidhihirisha kupitia ushiriki wa wananchi katika kulinda amani, kushiriki katika shughuli za maendeleo, pamoja na kutekeleza wajibu wao wa...
  7. Chizi Maarifa

    Putin je anawatembelea hawa Rafiki zake? Maana naona wanapukutika tu

  8. Seran

    Visit Rwanda - Twende Rwanda rafiki

    🌍 TUNARUDI TENA RWANDA 2026 🇷🇼 Kama ulikosa 2026, basi usipange kukosa tena! Tunakupeleka kwenye safari ya kipekee ya Rwanda kuanzia 📅 Tarehe 4 hadi 7 Mwezi wa 4 (Aprili) 🔔 Fanya booking mapema ili kuepuka kukosa nafasi, kwani nafasi ni chache na mahitaji ni makubwa. 💰 Gharama: Tsh 390,000/=...
  9. X

    Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 40-45

    Fungwa
  10. K

    Magufuli hakuwa rafiki mzuri ndiyo maana familia wapweke

    Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa. mifano miwili 1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye...
  11. Chibike

    Nakutafuta rafiki yangu Changchun yatai

    Mwanangu hata sijui uko wapi kama uko hai ama vipi, na haya masekeseke yaliyotokea , tuliachana ulikua kwenye harakati za uchimbaji madini mgodi wa mwime kahama ulikua unapambana kweli kutafuta wadau wakupe tafu mmalizie muingie zone ya madini chini, ukapotea gafla mwanangu. .. Je uko Salama...
  12. ELI COHEN

    Wale rafiki zangu ambao wapo confused hawajui uhalisia wa dunia, ukweli ni kuwa ulimwengu ni uwanja wa fujo

    Growing up, nilitambua dunia inamtaka mtu alie honest, mnyenyekevu na mchapakazi HAPANA SIKUWA SAHIHI, dunia inataka mtu alie mchapapakazi, ruthless na aggressive. Kwa wale wa asante mkapa Ruthless= hali ya kutokuwa na huruma na aibu za bure bure Aggressive= yani pitia au tafuta fursa kama...
  13. W

    Nahitaji rafiki wa Kiume Umri kuanzia miaka 30-36

    Nahitaji rafiki wa Kiume Umri kuanzia miaka 30-36 Asantee
  14. Genius Man

    Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea

    Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea na watapewa laki mbili na mtu mwengine shetani hana rafiki. Suala la mauaji yanayoendelea na utekaji litakuja kumgharimu na yeye hivi karibuni shetani muuwaji hana rafiki hatukupaswa kupuuzia katiba ya nchi ni...
  15. fimboyaukwaju

    Nimekula pilau kwa rafiki zangu wakristo

    Ndio, nimealikwa kwa rafiki zangu wakristo, nami ni mwislamu. Pilau nimekula, nyama za kuchoma, pilipili, kachumbari, samaki, juisi na pombe juu nimekunywa Tunafurahi na hata uzi huu nauandika nipo hapa kwa wakristo ndugu zangu. Siwezi kuacha, eti kwa kuwa kuna shehe karopoka eti tusile...
  16. Lexus SUV

    Umeshawahi ishi na rafiki au ndugu mlokole mpenda dini ki ghetto ghetto pindi mkijitafuta?

    Heri ya sikukuu za mwisho wananchi wa jamhuri ya muungano wa jamiiforums😳😳😳😳😳😳😳😳😳. Povu ruksa.. Je, umewahi kuishi na rafiki au ndugu mcha Mungu hatari… Wale wa maombi , full package? 😅 Asubuhi anakuamsha kwa maombi, mchana mnapambanaji na maisha, Usiku wakati wa kulala anakulaza na sala...
  17. M

    Baada ya miaka 15 mdogo wangu wa kike ndiyo kaniambia rafiki yake alijua nitamuoa

    Hii ni stori ndefu sana kipindi hicho nilikuwa naishi Mwanza nikifanya biashara ya mavazi nikinunua Dar kwenda kuuza Mwanza,na mdogo wangu wa kike alikuwa anasoma UDSM,mda mwingi nilikuwa nikimsaidia mahitaji madogomadogo si unajua tena mambo yaa chuo,nilikuwa kila nikienda namkuta na rafiki...
  18. Q

    Kuwa makini na UVCCM, ndio wanaochomesha watu

    UVCCM kimekuwa kikundi hatari sana ndicho kinacho tekeleza operation nyingi za utekaji kikishirikiana na task force. Kikundi cha utekaji kikimtaka mtu huwasiliana na UVCCM wa eneo husika, kwa sababu UVCCM ndio wanaowajua viongozi wa upinzani walio mikoani, wengine ni marafiki zao wa karibu...
  19. R

    PostGE2025 Waziri Simbachawene: Tusirudie kuandamana, tushirikiane na Polisi. “NI RAFIKI ZETU”

    Hawa si rafiki zetu, ni WAUAJI WETU. Chawene unaongea kupalilia ulaji wako, lakini from the innermost chamber of your heart unajua kuwa hawa si rafiki. Untill the whole bloodfucken thing is dismantled, true statements of love can never be said to exist betwee civilians and police killers. Au...
  20. Kazanazo

    Je nisipo hudhuria harusi ya rafiki huyu kuna lawama?

    Ni rafiki wa kushibana kwetu kama kwao na kwao kama kwetu, urafiki wetu ni zaidi ya undugu maana tunasaidiana kuliko hata hao ndugu zetu wanavyo tusaidia Urafiki wetu ulianza na kukua kwa kasi tukiwa school na kwa bahati nzuri kila tukivuka level moja kwenda nyingine tunajikuta tumepangiwa...
Back
Top Bottom