quality

Quality management ensures that an organization, product or service is consistent. It has four main components: quality planning, quality assurance, quality control and quality improvement. Quality management is focused not only on product and service quality, but also on the means to achieve it. Quality management, therefore, uses quality assurance and control of processes as well as products to achieve more consistent quality.
What a customer wants and is willing to pay for it determines quality. It is a written or unwritten commitment to a known or unknown consumer in the market. Thus, quality can be defined as fitness for intended use or, in other words, how well the product performs its intended function.

View More On Wikipedia.org
  1. Natafuta kazi ya quality control(mkemia) au lab technician

    Habarini wakuu. Mimi ni quality control lab technician nina bsc chemistry pia Nina uzoefu wa mwaka na miezi minne katika steel industry. Natafuta kazi viwandani,migodini kote nafit. Ukinisaidia kuna pesa ya maji. Asanteni
  2. M

    If resources are the price to pay for improving the quality of life and ending the dictatorship, the oppressed will gladly welcome Foreign powers

    As of recent to what happened in Venezuella, People are concerned with Uncle Sam preying on Venezuela's oil but we all know that the alternative to that is NOT better Greedy politicians cry "they are jealous of OUR resources" when they face opposition, but in reality the country's resources are...
  3. Tunauza Water Quality Tester

    Kagua Ubora wa Maji Yako Leo! Je, unajua maji unayokunywa ni safi kiasi gani? Tumia TDS Meter kupima kiwango cha usafi wa maji kwa sekunde chache tu. Maana ya matokeo (TDS value): 0–20 ppm → Maji safi kabisa, salama kwa kunywa 21–50 ppm → Maji ya kawaida, yachemshe kabla ya kutumia 51–100 ppm →...
  4. Mafeh Motors: Your Trusted Partner for Quality Imported Vehicles.

    We specialize in sourcing premium used and New cars directly from Japan, Dubai, the UK, and South Africa, ensuring quality and reliability for our clients in Tanzania. 📍 Visit Us: CCM Building, 2nd Floor, Office No. 215, Lumumba Street, Kariakoo - Ilala, Dar es Salaam. 💳 Flexible Payment Plans...
  5. Women with good quality

    WOMEN with good Quality. A beautiful woman is a woman who puts her home in order and makes her family proud. ● In the morning she makes sure everything is OK. ● In times of trouble and crisis, she stands in prayer and brings strength to her family ● She knows her duty in a home as a helper...
  6. Mkemia natafuta kazi nina experience ya miezi 10 kama quality controller

    Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada...
  7. Wanapouza taulo za high quality mtumba au special mkoani Mwanza

    Kwa wenyeji wa jiji la Mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili? Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau
  8. V

    Wauzaji balo za mtumba grade 1 quality

    WHATAPP GROUP LA MITUMBA Vunjabei balo za mtumba grade1 group 3 Karibuni sana jaman mjipatie balo za mtumba grade1 kutoka china uk Canada Dubai Korea Tuna balo za nguo aina mbalimbali na Kila balo Lina nguo yake na bei yake mfano balo la shati ni shati tu t-shirt ni t-shirt tu Jean's...
  9. M

    Shida kubwa ya kikosi cha Simba ni quality ndogo ya wachezaji na siyo uchovu wa mechi. Ratiba kama yao Yanga aliipitia 2023/2024!

    Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata kidogo! Maana ya kikosi kipana sio kuwa na rundo la wachezaji tu ni kuwa na wachezaji wanaolingana ubora...
  10. S

    Mabadiliko ya Uwanja sio kigezo ila Quality ndio changamoto

    Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata mguu wa kucheza fainal waliupatia pale? Hakuna haja ya kupagawa ukiwa na Quality popote kambi,Amani...
  11. Filamu zangu 10 pendwa ambazo nimezihifadhi kwa quality ya 4K

    Salamu wakuu kwenye jukwaa la burudani. Maisha ya mwanadamu ni mafupi, hivyo hata kama hatuna kipato kikubwa hatuna budi kujitafutia furaha sisi wenyewe maana muda hausimami na umri unaenda. Si bora kukosa vyote mafanikio na furaha. Moja ya vitu vinavyonipa raha ni filamu, najua kila mtu ana...
  12. Transforming Ideas into Reality – Quality Construction You Can Trust

    call us +255624004650
  13. House of wines & spirits. High quality

    Zambi zinarembwa sana.. Lakini kwani pombe ni zambi!?😂 hapana pombe sio zambi bali matendo yatokanayo nayo...
  14. R

    wataalam wa kushusha mizigo, ni wapi nitaipata muvi ya Lucky Seven quality nzuri

    Jumapili ya leo nataka niangalie hii muvi pamoja na watoto nimeshindwa kuipata, nakuja kwenu wataalam wa kuyajua machimbo ya links na torrents nawaomba mnisaidie
  15. Senior Specialist Shariah Quality Assurance at CRDB Bank

    Reporting Line SENIOR MANAGER SHARIA COMPLIANCE AND PRODUCTS Location Tanzania Head Office Department DEPARTMENT OF RETAIL BANKING Job Purpose To monitor all Islamic Banking Unit operations and transactions, especially financing transactions end to end, ensuring they adhere to laid down...
  16. Natafuta kazi, Vipimo na viwango wa viwandani, pia Quality assurance na calibration of Measuring instruments

    Habari Member wa Jf Kwa Majina naitwa Deo Mariwa (24 years) nina degree ya vipimo na viwango ( Metrology and Standardization) Ninaomba mwenye connection ya kazi au mwenye kutoa ajira katika category ya manufacturing; Pia nina uzoefu katika field zifuatazo -Calibration of measuring...
  17. "Vision X Tint Studio" walikua ndio Authorized Dealer wa 3M Tint kwa Tanzania. Jamaa walikua wanaweka tint kali na quality sana.

    Gari kua na tinted ni jambo la msingi sana. Inaongeza privacy na usalama, inapunguza joto (heat na UV rays) na kuongeza "muonekano" mzuri. Sasa hawa wawekaji wa Instagram wanatuwekea sawa tint ila quality mbovu sana na ndio maana nyingi baada ya miaka 2 zinabadirika rangi kama sio kubanduka...
  18. Mliowahi kushonewa seat covers na Safari au Azam Upholstery: Vipi Quality ya seat baada ya miaka 3-5 ipoje?

    Safari na Azam Upholstery ni moja kati ya malegendary wachache hapa Bongo kwenye issue ya seat covers na car's interior decorations. Kazi zao zinavutia sana zikiwa mpya. Sasa nataka mtu mwenye shuhuda baada ya miaka mitatu hadi mitano ya matumizi quality yake inasimamaje? Ukichukulia gharama...
  19. M

    Quality Unsex Rain Coat kipindi hiki cha mvua kwa Bei ya 8000/= tu!!

  20. Guys au kunamahali sijaseti sawa hii monitor mbona inazidiwa quality na TV

    Nilijua computer shoga yake ni monitor mwanzo nilikua na tumia TV kama monitor nikawa nahisi siitendei haki hii mashine inabidi niitafutie chakula yake ili viwe sawa leo nimepata muda nikaenda kununua monitor ya nch 20 nafika home nimeconnect ili nione je ni kweli monitor ina picha kali kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…