Wanapouza taulo za high quality mtumba au special mkoani Mwanza

Wanapouza taulo za high quality mtumba au special mkoani Mwanza

jangoma

Senior Member
Joined
Sep 24, 2023
Posts
149
Reaction score
326
Kwa wenyeji wa jiji la Mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili?

Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau
 
Kwa wenyeji wa jiji la mwanza ,ni wapi wanauza taulo zenye quality ya juu kabisa ,zisizo toa manyuzi nyuzi wakati wa kujifuta mwili?
Iwe mtumba au special ili mradi iwe very high quality/fabric.msaada wadau
Nenda hapo sokoni mlango mmoja karibu na mabatini au gulio la Nyasaka kila siku jioni
 
Back
Top Bottom