Mabadiliko ya Uwanja sio kigezo ila Quality ndio changamoto

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
228
Reaction score
933
Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata mguu wa kucheza fainal waliupatia pale?

Hakuna haja ya kupagawa ukiwa na Quality popote kambi,Amani pia ni nyumbani msiingie ubaridi kikapigwe tu.
Wachezaji bora wakuleta matokeo simba wapo mf. Mpenzu na kibu wenye magori 5 ligi kuu. Uwanja wa amani sehemu ya kupigia penalty ipo tena ni bora kuliko hata viwanja vya nbc premier league
Au kama vipi tusicheze kama game ya tarehe 8 tuone CUF watatufanya nini.
 
"KWA-MKAPA HATOKI MTU - Hii slogan iliyoanzishwa na Simba SC ndiyo hasa inawaumiza kichwa CAF, RS BERKANE na VIBARAKA wao. Wanahofia kombe litabakia Tanzania, kama hali hii ya kiwanja ipo hivi leo, WHY mechi isichezwe ikachezwe Zanzibar?

CAF waliwapa mashabiki wa Simba SC tunzo ya mashabiki bora Afrika wakiwa hata hawajacheza Nusu Fainali, lakini ile turn out yao kila game na namna wanavyohanikiza ushindi ilikuwa balaa, leo timu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa. CAF ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya CAF inatafuta ahueni ikacheze Zenji kwenye mashabiki 15,000 wanaogopa mashabiki 60,000/ watashusha gharika.

Nafahamu jitihada kubwa zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa na Serikali, TFF na Simba SC juu ya kutumia uwanja wa Mkapa., nafahamu namna msimamizi/mkaguzi wa Viwanja wa CAF wa mwanza (Moustafa) ambaye alikuwa Mmorocco alivyokuwa anataka mechi ikachezwe Zanzbar akiogopa Kwa-Mkapa, nafahamu aliyeletwa pia anatoka Morocco 🇲🇦.

Hapa kuna vita ya Morocco 🇲🇦 Vs Tanzania 🇹🇿, kama una kichwa maji pekee ndio huwezi kujua hii kitu. Ila Morocco mpaka sasa wanasaidiwa na CAF kitu ambacho ni hatari sana."

BİN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
 
Msnge wewe,unafikiri Simba ni tawi la muungano hivi huu muungano faida yake nini
 
uwanja ni uwanja tu muradi ukidhi viwango, hata tukimuomba elon tutumie kiwanja chake huko mars bado tutarudi duniani na kombe.

#simba guvu moyaaaa
 
"KWA-MKAPA HATOKI MTU - Hii slogan iliyoanzishwa na Simba SC ndiyo hasa inawaumiza kichwa CAF, RS BERKANE na VIBARAKA wao. Wanahofia kombe litabakia Tanzania, kama hali hii ya kiwanja ipo hivi leo, WHY mechi isichezwe ikachezwe Zanzibar?

CAF waliwapa mashabiki wa Simba SC tunzo ya mashabiki bora Afrika wakiwa hata hawajacheza Nusu Fainali, lakini ile turn out yao kila game na namna wanavyohanikiza ushindi ilikuwa balaa, leo timu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa. CAF ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya CAF inatafuta ahueni ikacheze Zenji kwenye mashabiki 15,000 wanaogopa mashabiki 60,000/ watashusha gharika.

Nafahamu jitihada kubwa zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa na Serikali, TFF na Simba SC juu ya kutumia uwanja wa Mkapa., nafahamu namna msimamizi/mkaguzi wa Viwanja wa CAF wa mwanza (Moustafa) ambaye alikuwa Mmorocco alivyokuwa anataka mechi ikachezwe Zanzbar akiogopa Kwa-Mkapa, nafahamu aliyeletwa pia anatoka Morocco 🇲🇦.

Hapa kuna vita ya Morocco 🇲🇦 Vs Tanzania 🇹🇿, kama una kichwa maji pekee ndio huwezi kujua hii kitu. Ila Morocco mpaka sasa wanasaidiwa na CAF kitu ambacho ni hatari sana."

BİN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Mushazowea kuzika mbuzi na watu Sasa kule hampati ndio mukapaniki na kukasirika
 
Kazumari hana akili kichwani, Yanga kwenye final imepigwa kwa Mkapa na yenyewe ikaenda kuwapiga Algeria kwao matokeo aggregate yakawa 2-2 Yanga walipoteza kwa margin ya goli la ugenini.

Kuna muda mnadhani kila mtu hamnazo kwa vitu ambavyo viko wazi hapo kwa Mkapa mbwle ya mama Samia Simba imepigwa 3 kwa sufuri na Wydad Cansablanca.

Kunachowasumbuwa ni ushirikina tu na siyo uwezo wa timu.

Arsenal amempiga Real Madrid nje ndani licha kelele zote za Madrid, mpira unaamuliwa kwenye ndio maana pitch kama haipo kwwnye viwango lazima uwanja ufungiwe hata TFF imefungia viwanja vingi tu timu kibao hazichezi kwenye viwanja vyao.

Asec Abdijan mechi zao walikuwa hawachezei Ivory coast haya Simba walipokwenda kucheza na Asec mechi haikuchezwa Ivory Coast kwa sababu ya viwanja vilifungiwa.

Hivi Simba mnajionaga ni nani hasa?
 
Wewe unazungumzia exception. Ukilinganisha timu Africa record zao za mechi 50 za mashindano zikiwa home(viwanja walivyovizoea) na wakiwa away data zitaonesha kuwa timu nyingi kama sio zote zinashinda 'nyumbani' zaidi kuliko 'ugenini'. Hayo matukio machache ya timu kushinda ugenini yasiwe kigezo kufikia hitimisho.

Timu nyingi duniani zinastrago zinapokuwa viwanja wasivyovizoea.

Halafu KWA Mkapa Simba walipigwa tatu bila na Raja sio Wydad,umechanganya kidogo,kosa la kibinadamu.
 
"KWA-MKAPA HATOKI MTU - Hii slogan iliyoanzishwa na Simba SC ndiyo hasa inawaumiza kichwa CAF, RS BERKANE na VIBARAKA wao. Wanahofia kombe litabakia Tanzania, kama hali hii ya kiwanja ipo hivi leo, WHY mechi isichezwe ikachezwe Zanzibar?

CAF waliwapa mashabiki wa Simba SC tunzo ya mashabiki bora Afrika wakiwa hata hawajacheza Nusu Fainali, lakini ile turn out yao kila game na namna wanavyohanikiza ushindi ilikuwa balaa, leo timu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa. CAF ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya CAF inatafuta ahueni ikacheze Zenji kwenye mashabiki 15,000 wanaogopa mashabiki 60,000/ watashusha gharika.

Nafahamu jitihada kubwa zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa na Serikali, TFF na Simba SC juu ya kutumia uwanja wa Mkapa., nafahamu namna msimamizi/mkaguzi wa Viwanja wa CAF wa mwanza (Moustafa) ambaye alikuwa Mmorocco alivyokuwa anataka mechi ikachezwe Zanzbar akiogopa Kwa-Mkapa, nafahamu aliyeletwa pia anatoka Morocco 🇲🇦.

Hapa kuna vita ya Morocco 🇲🇦 Vs Tanzania 🇹🇿, kama una kichwa maji pekee ndio huwezi kujua hii kitu. Ila Morocco mpaka sasa wanasaidiwa na CAF kitu ambacho ni hatari sana."

BİN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Nyinyi mseme tu mlifukia mbuzi zenu za kutosha hapo uwanjani kwa msaada wa wale "wazee wenu". Na hata sasa hamuelewi kilichotokea, baada ya kutakiwa kuhamishia mechi yenu Zanzibar. Ila mwisho wa siku, hii ndiyo maana halisi ya ubaya ubwela.

Na kama mnaona haiwezekani kwenda kucheza Amani Stadium Zanzibar! Toeni tamko la kususia hiyo mechi, kama mlivyofanya ile tarehe 8 March.
 
"KWA-MKAPA HATOKI MTU - Hii slogan iliyoanzishwa na Simba SC ndiyo hasa inawaumiza kichwa CAF, RS BERKANE na VIBARAKA wao. Wanahofia kombe litabakia Tanzania, kama hali hii ya kiwanja ipo hivi leo, WHY mechi isichezwe ikachezwe Zanzibar?

CAF waliwapa mashabiki wa Simba SC tunzo ya mashabiki bora Afrika wakiwa hata hawajacheza Nusu Fainali, lakini ile turn out yao kila game na namna wanavyohanikiza ushindi ilikuwa balaa, leo timu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa. CAF ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya CAF inatafuta ahueni ikacheze Zenji kwenye mashabiki 15,000 wanaogopa mashabiki 60,000/ watashusha gharika.

Nafahamu jitihada kubwa zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa na Serikali, TFF na Simba SC juu ya kutumia uwanja wa Mkapa., nafahamu namna msimamizi/mkaguzi wa Viwanja wa CAF wa mwanza (Moustafa) ambaye alikuwa Mmorocco alivyokuwa anataka mechi ikachezwe Zanzbar akiogopa Kwa-Mkapa, nafahamu aliyeletwa pia anatoka Morocco 🇲🇦.

Hapa kuna vita ya Morocco 🇲🇦 Vs Tanzania 🇹🇿, kama una kichwa maji pekee ndio huwezi kujua hii kitu. Ila Morocco mpaka sasa wanasaidiwa na CAF kitu ambacho ni hatari sana."

BİN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Baso huja chema mpaka u cheme bin kazumari a.k.a wa chawi mbuzi
 
Mbona kama swala la mabadaliko ya uwanja limewatoa mchezoni wana Simba wakati Amani complex ni uwanja mzuri tu na pia hata Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na Mashabiki wa Simba wapi pia na hata mguu wa kucheza fainal waliupatia pale?

Hakuna haja ya kupagawa ukiwa na Quality popote kambi,Amani pia ni nyumbani msiingie ubaridi kikapigwe tu.
Wachezaji bora wakuleta matokeo simba wapo mf. Mpenzu na kibu wenye magori 5 ligi kuu. Uwanja wa amani sehemu ya kupigia penalty ipo tena ni bora kuliko hata viwanja vya nbc premier league
Au kama vipi tusicheze kama game ya tarehe 8 tuone CUF watatufanya nini.
Tatizo ni kamati ya ufundi, tushachinja mbuzi sana pale
 
Back
Top Bottom