online GOVT applications
Senior Member
- Sep 7, 2026
- 185
- 179
Mahakama ya Wilaya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji imemuhukumu kifungo cha miaka 30 Maulid Mohammed Mwingi (27) mkazi wa Mkuranga ambaye alimbaka Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka (12) na kumsababishia maumivu makali ya kimwili na kisaikolojia.
Mahakama imeeleza kuwa mtuhumiwa alifanya kitendo hicho Aprili 10, 2026 huko wilaya Mkuranga.
Kesi ilisikilizwa na upande wa mashtaka ulileta mashahidi 3 pamoja ushahidi wa nyaraka. Shtaka la kubaka lilithibitishwa pasi kuacha shaka na mshtakiwa alikutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani.
Mbele ya Mhe. Mrosso Mahakama imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa wengine.