Kumbe kuna Smartphone ambazo zinatengenezwa Tanzania

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,367
Reaction score
2,800
Umeshawahi kujiuliza kama Tanzania tuna kampuni ambayo inahusika na kutengeneza bidhaa mbalimbali za Teknolojia ikiwemo smartphone Yani simu janja ๐Ÿ˜ƒ.

images (11).jpeg

Ndiyo Tanzania Kuna kampuni inayohusika na biashara za simu za mkononi inaitwa Raddy Eletronics ni kiwanda kilichopo mkuranga mkoani Pwani.

images (10).jpeg

Kuna simu mbalimbali zinatengenezwa Kuanzia simu janja, smart kitochi , Smart watch, Laptop nk ambazo zima tenengenezwa.


5_20260913_091837_0004.png
6_20260913_091837_0005.png
7_20260913_091837_0006.png
9_20260913_091837_0008.png

Unaweza tembelea website yao kwa kupata taarifa zaidi ๐Ÿ‘‰ raddyelectronics.co.tz/
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom