pugu

The Pugu Forest Reserve is a forest reserve in Pwani Region, Tanzania. It is located in the Pugu Hills area, near Dar es Salaam, adjacent to the Kazimzumbwi Forest Reserve. Together with Kazimzumbwi, the Pugu Forest (previously known as Mogo Forest) is part of what is considered to be one of the oldest forests in the world. The area is characterized by a large number of endemic species of animals and plants.

View More On Wikipedia.org
  1. Manka R

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA VYUMBA VINNE - PUGU KIGOGO FRESH 150,000x4 -0684223374

    Gari inafika sebule, dinning, etc
  2. Manka R

    JamiiForums Tanzania House4Rent Kodi 150,000/=

    Ipo Pugu kigogo fresh, Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo&bafu ndani 0684223374
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukichoka na Mishe za Mjini Dar, Kajipumzishe Pugu “Ushoroba”

    Mambo vipi wazee? Kuna pahala panaitwa Pugu Kazimzumbwi alhamarufu Ushoroba. Ni pazuri sana kwa mkazi wa Dar au Pwani anaetaka kupumzika siku moja au weekend kuzipisha kelele za bodaboda, bajaji, magari, wauza sumu ya mende, etc. Nimeenda mara kadhaa na weekend hii pia nilienda. Utangulizi...
  4. Manka R

    JamiiForums Tanzania Nyumba/vyumba vinapangishwa Pugu Kigogo

    Hakuna dalali: Chumba na master yake na baraza nje - 100,000/= kwa mwezi kodi miezi 6. Nyumba ya vyumba vinne, choo na bafu ndani jiko sebule kubwa, dining baraza kubwa mbili - 250,000/= kwa mwezi. Zote zipo eneo moja, barabara ipo pande zote, maji ya kisima yapo nje pia choo cha public kipo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi, Mikongeni iliyopo Pugu ni mfano mzuri wa shule zote za msingi za serikali zinavyopaswa kuwepo zama hizi

    Video inaonesha na kueleza vizuri shule ya msingi Mikongeni, ambayo ni Shule ya Msingi ya Umma (Inamilikiwa na Serikali) yenye Mchepuo wa Kiingereza. Shule ni nzuri kwa miundombinu yote. Hata hizi shule za binafsi tunazowapeleka watoto wetu wa kisasa kina Juniour na kulipishwa ada milioni...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi yachunguza tukio la Watu watatu kuuawa baada ya kudaiwa kuiba Bodaboda eneo la Pugu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya watu watatu lililotokea tarehe 7 Februari, 2024 majira ya saa 9 (tisa) usiku huko eneo la Pugu Kisumo Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam. Watu hao waliouwawa na kundi la watu kwa kuwashambulia na silaha za jadi, wanadaiwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni Kipi Chanzo cha Moto Bweni la Watoto Shule ya Msingi Green Hill Pugu Kajiunge Dar es Salaam?

    Moja ya Bweni la shule ya Msingi ya green hill iliyoko Pugu Kajiungeni,Ilala Dar es Salaam liliungua moto tarehe 9.01.2024 (Siku moja naada ya kufungua shule) na baadhi ya wtoto kujeruhiwa vibaya, Hatujasikia vifo. Ila hakuna taarifa ya chanzo cha moto huo na pia taarifa kamili ya athari...
  8. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Hotel au Lodge nzuri maeno ya Ukonga, Gongo la Mboto hadi Pugu

    Habari za humu Jumba la Melo! Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo. Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au Pugu, anahitaji hotel au lodge kwenye eneo mojawapo ya hayo lkn kuwe na utulivu kiasi cha kuweza...
  9. Joannah

    JamiiForums Tanzania Serikali hamisheni dampo la Pugu Kinyamwezi

    Viongozi wenye dhamana katika hili,nawasalimu! Jana jioni mida ya saa moja nilipita mitaa ya PUGU KINYAMWEZI, nilistushwa na moshi uliotanda kwenye mazingira Yale nyumba zote zimezingirwa na moshi mithili ya ukungu wa usubuhi kwenye safu za milima ya Uluguru. Kiukweli, mimi tu mpita njia Tena...
  10. Concoo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town

    Natafuta kiwanja kuanzia pugu kuelekea town kama ukonga ivi kwa ajili ga ujenz wa nyumba ....niinbox au tunawez aelekezana hapa
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anafikia uamuzi wa kuishi Pugu Dampo na harufu mbaya kiasi kile?

    Habari! Harufu mbaya inapiga maeneo ya Dampo la Pugu almaarufu kama Pugu Dampo. Ukipita barabarani maeneo hayo unapokelewa na harufu mbaya kali sana. Najiuliza hivi Kati ya Dampo na makazi ya watu nini kilitangulia? Je, kama Dampo lilitangulia ilikuwaje mtu na akili zake timamu ajenge makazi...
  12. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Pugu ni mji wa zamani lakini haukui?

    Pugu ni maarufu tokea uhuru na hata kipindi cha ukoloni ilikuwepo. Lakini huu mji au hilo eneo halikui kabisa au kuendelea kama maeneo mengine ya Dar Es Sallam Yaani Pugu ni ile ile ya siku zote hadi leo bado viwanja vipo Pugu nashindwa kuelewa ni kwanini Pugu haikui Watu wako radhi waende...
  13. Bensoy

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika kuanzisha learning center eneo la Pugu, Dar es salaam

    Salamu wapendwa. Ninatafuta partner ambaye yupo tayari kuwekeza pamoja nami kuanzisha learning center eneo la Pugu Kajiungeni Dar es salaam. Jengo ninalo na liko centre nzuri Pia nina waalimu wa somo la kiingereza kifaransa. Waalimu wa nursery na baby care sio shida kuwapata. Nimeshaanza...
  14. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Pwani: Utupaji maiti katika msitu wa Pugu Kazimzumbwi, umekithiri

    Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wameiomba kamati ya ulinzi na usalama kukomesha matukio ya utupaji maiti katika msitu wa Pugu Kazimzumbwi, ambapo Julai hadi Agosti maiti sita zimekutwa kwenye msitu huo. Chanzo: East Africa TV
  15. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Pugu Station

    Nyumba inauzwa ina vyumba vitano,gharama ni Tsh.19,000,000/= , ipo Pugu Kigogo Fresh/Pugu Station . Ina Sebule ,master moja, choo cha ndani ,vyumba vitatu vya kawaida.Karibuni maongezi ya bei yapo. Eneo ni 215 sq m. Mawasiliano 0744992266 au 0789581889
  16. imbegete

    JamiiForums Tanzania Pugu Kajiungeni eneo la mpakani hatuna umeme tangu jana

    Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye nini?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Waliojenga katika maeneo ya viwanda Pugu Road na maeneo mengine ya nchi wajiandae

    Kuna clip iko kwenye mitandao ikimuonyesha Waziri wa Ardhi, Bwana Lukuvi akitaka maeno ya yaliyotengwa kwa akili ya viwanda huko barabara ya Pugu na sasa yanatumika kwa shughuli nyingine yachunguzwe na hatua zichukuliwe. Ameagiza vibali vichunguzwe na waliobadili matumizi ya viwanja hivyo kwa...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kipande cha Dar - Pugu chasababisha kuchelewa SGR Dar - Morogoro kuanza kutumika

    Kwa mujibu wa gazeti la The East African ni kuwa mfumo mzima wa umeme utakaotumika kuendesha treni kwenye awamu hii ya kwanza toka Dar mpaka Morogoro umekamilika. Na ulikuwa ufanyiwe majaribio mwezi mwishoni mwa mwezi April. Mpaka sasa vituo vinne vikubwa vya kupoza umeme vimeshaunganishwa na...
  19. Kisoda James

    JamiiForums Tanzania Nina 300,000 nataka TV Samsung inchi 32, nipo Pugu Dar

    Nina 300,000 nataka TV Samsung inchi 32 nipo Pugu Dar
  20. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ng'ombe kuleta mnadani Pugu

    Habari wana janvi? Naomba kupata ABC za kuuza ng'ombe pale mnadani Pugu. Naomba kujua mtaji wake, upatikanaji wake, usafirishaji wake, vibali, jinsi ya kuuza, changamoto zake na faida. Natanguliza shukrani zangu.
Back
Top Bottom