propaganda

Propaganda is communication that is used primarily to influence an audience and further an agenda, which may not be objective and may be presenting facts selectively to encourage a particular synthesis or perception, or using loaded language to produce an emotional rather than a rational response to the information that is presented. Propaganda is often associated with material prepared by governments, but activist groups, companies, religious organizations, the media, and individuals can also produce propaganda.
In the 20th century, the term propaganda has often been associated with a manipulative approach, but propaganda historically is a neutral descriptive term.A wide range of materials and media are used for conveying propaganda messages, which changed as new technologies were invented, including paintings, cartoons, posters, pamphlets, films, radio shows, TV shows, and websites. More recently, the digital age has given rise to new ways of disseminating propaganda, for example, through the use of bots and algorithms to create computational propaganda and spread fake or biased news using social media.

View More On Wikipedia.org
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyia Kazi masuala serious katika nchi yaliotupelekea vifo vya watu October 29 nyie bado Mnaendekeza propaganda?

    Nilifikiri kama taifa tumejifunza wapi tulipo kosea sasa kama Taifa tutakua serious kufanya reforms kila sehemu ambayo wananchi wamekua wakilalamikia kwamba sasa tunayafanyi kazi malalamiko ya wananchi yaliopelekea mauaji October 29...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 ni nzito imetafutwa propaganda ya Udini kuwahadaa Wajinga

    GT Kama ilivyomkawaida ya maCCM hawa jamaa akili hawna hata mbinu za kukabiliana na matatizo hawana they are not problem solvers. Sasa kutokana na pressure ya maandamano D9 wanepenyeza agenda ya kipumbavu sana engineered from the system maana serikali ipo kimya pamoja na upumbavu unaoendelea...
  3. Logikos

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari - Propaganda, Weapon of Mass Persuasion

    Historia inajirudia na hakuna kipya chini ya jua; Ukiona jambo jipya basi ni Historia ambayo wewe huifahamu. Sasa kuepuka na kuingia mitegoni taweka tu mifano minne ambapo mamlaka ilitumia propaganda kuzima sauti za wadai haki au kuwaondoa wasio na kosa ili kufanikisha malengo yao... Uhuru na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Acheni propaganda za miaka ya 1900

    Polisi Tanzania, kwenye bomu la kurusha kitu muhimu kuliko vyote ni Fuse. CIA wakitaka kuleta mabomu kwa ajili ya kuanzisha vita hawawezi kuleti bomu iliyonganishwa lote, Wataanza kuleta components moja moja, mfano hizo fuse zitakuja kama vyuma chakavu. Wakileta fuse, vijana watamaliza kazi...
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Propaganda Machines - "Tuna-test Mitambo"

    Kila hadithi inahitaji Villain.....; Hata Biblia ina Shetani JPM na Mabeberu Hitler na Jews; n.k. Sasa naona kuna Story zina-test mitambo kuona ipi itastick vizuri ili tukimbie nayo Iwe ya Kidini kwamba ni Imani fulani ndio haitaki au inachochea kitu fulani Iwe ni majirani na vita vya...
  6. Pakome

    JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

    Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

    Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga. Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
  8. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyans who expected Tanzania to fall after the elections have become frustrated - Now they are spreading false propaganda

    Tanzanian security is very complex. Ignorant fools might think that what happened was a surprise. No, it was planned for many years with the aim of destroying Tanzania. National Security was closely monitoring every step that was being taken and all the plans. Security matters are not about...
  9. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali imekuja na propaganda ya kuonyesha Mali zilizohalibika Wananchi na Nyie Endeleeni kuonyesha Maiti za Marehemu

    Propaganda ya kuonyesha mali ni nzuri wananchi nao waendelee kuonyesha Maiti za Marehemu tuone vitu vinarudishwa uhai wa watu Je?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini, CCM wanazidi kueneza propaganda mbaya dhidi ya Gen Z

    Tuweni makini ndugu zangu hawa wahuni wanaweza kugeuza kibao kwetu tukaonekana sisi ndo wenye makosa alafu wao wana haki Wameanza harakati za kueneza propaganda kuwa waandamanaji walikuwa raia kutoka nje hasa hasa wakenya na lengo lao lilikuwa kuchafua cv ya tanzania kimataifa. Tusipokuwa...
  11. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwamba Majeshi ya Nchi nyingine yaje kinyemela kwenye nchi nyingine? Tuache Propaganda za Kitoto haiwezekani

    Hiyo ni propaganda sio rahisi ivyo Majeshi ya Uganda yaje Tanzania kwasababu ya Uchaguzi kwa tishio gani mpaka wachukue jeshi la Uganda kwa Watanzania hawa hawa tusibebe kila propaganda.
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ole sendeka: Kuna watu ndani ya CCM wamenuna na wanaendelea kufadhili kampeni na Propaganda kubomoa heshima ya Mgombea Urais CCM

    Mbunge wa zamani wa Jimbo la Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amewaonya vikali wanaCCM wanaoshiriki kubomoa heshima ya Nchi na heshima ya Mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwasababu ya kutokuteuliwa na Chama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imewezaje kudumisha propaganda ya kisiwa cha amani kwa miaka 60?

    Ukiwasikiliza watu wa CCM wanapoiongolea Tanzania kama kisiwa cha amani kila mara wakati wa uchaguzi unaweza kufikiria ni jambo la kipekee sana linaloitofautisha Tanzania na nchi nyingine au unaweza kufikiri ni kisiwa kumbe pembeni yake tu kuna nchi za Zambia na Malawi ambazo zimekuwa na siasa...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Urusi ni nchi tajiri sana msidanganywe na propaganda

    Ndg wana JF msidanganywe na propaganda za mitandaoni na za magharibi kwamba urusi ni nchi maskini. Ile nchi ni tajiri sana Kwa vipimo vyote vya kiuchumi halafu miji ni mizuri na misafi mno ambayo ni indiketa ya ubora wa maisha. Njoo urusi. Ni sehemu salama sana.
  15. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya vita baridi: kwa nini kgb ilituhumu marekani kuunda na kusambaza VVU

    Katika miaka ya 1980, dunia ilikuwa katikati ya mvutano mkubwa wa kisiasa unaojulikana kama Vita Baridi—mapambano ya kiitikadi, kiuchumi, na kijeshi kati ya Marekani na Umoja wa Kisovyeti. Katika mazingira haya ya mashaka na ushindani wa kimataifa, kila upande ulitumia mbinu mbalimbali za...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum inakuwaje hawa watu mnawapa sana position ya habari za propaganda zao toka CCM

    Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025 Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu kuwa lalamikia mkafuta. leo hii tlaatlaah analeta habari ambazo na mnaziweka kabisa kama ukweli...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Propaganda CCM hakifanyi kazi yake kwa ufasaha

    Chama kinashambuliwa nyie mmetulia tu na posho mnakula. 1. Andaeni matukio ya kuhamisha attention kwa kila tukio la kuchafua Chama. Hususani siku ambayo polepole anafanya mikutano yake uchwara. 2. Tumieni Wasanii kusifia hususani kuandaa matamasha ya bure. 3. Andaeni kampeni kwenye social...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Simba kwa sasa niliyatabiri miaka 3 iliyopita, Simba iliwekeza kwenye propaganda na sio uhalisia wa vitendo!

    Nadhani hiki kinachotokea Simba kwa sasa sio kitu kigeni kwa waliokuwa wanaifatilia kwa ukaribu utendaji wa viongozi wake kuanzia miaka 3 iliyopita! Kwa wanaokumbuka vizuri kuanzia mchakato wa uwekezaji wa bwana Mo dewji,,masuala mazima ya udhamini wa makampuni( rejea mkataba wa Mbet) wa...
  19. MR BINGO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna propaganda iliyofanikiwa kwa miaka ya karibuni kuzidi "Ruto must go"?

    Nchini kenya kumekuwa na maandamano ya kila mara yaliyoibuka kuanzia Rais William Ruto alivyoingia madarakani na yamekuwa yakishinikiza mambo mbalimbali yanayofanywa na Ruto na tukumbuke kuwa Ruto aliingia madarakani September 2022 na maandamano ya kwanza yalikuwa March 2023. Kwa kipindi hicho...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM mbona wanahangaika sana! Propaganda za kipuuzi kama, haziwezi kuimaliza nguvu CHADEMA ya Lissu labda angekuwa Mbowe

    Lissu anakubalika kama shujaa na mkombozi wa kweli acheni siasa za kiduanzi 👇
Back
Top Bottom