Hii in fursa kwako!!! Mwezi wa 11, mwaka 2021, Shirika la Umeme TANESCO liliingia mkataba na kampuni ya INDIA, ili kuanza safari yake ya mageuzi ya teknolojia (Digital Transformation). TANESCO ipo kwenye mIfumo ya kisasa ya Enterprises Resource planning (ERP) na Geographic Information Systems...