Sir M.D.Andrew
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 202
- 37
Wakuu habari zenu. Mm ni mtu mzima , 41yrs. Ningekuwa nikifanya diet na mazoezi mara kwa mara lakini sipungui uzito, sasa Nina 126kgs.
Ninaomba ushauri kuhusu bidhaa ya C9 kutoka forever kama inasaidia. Nimekosa uthibitisho wa kisayansi kuhusu namna program hizi za C9 na Fit 15 zinavyoweza kupunguza uzito, ninahitaji dawa ambayo ni salama angalau nipunguze kilo 10 tu kwa awamu ya kwanza. Asante