professor

Professor (commonly abbreviated as Prof.) is an academic rank at universities and other post-secondary education and research institutions in most countries. Literally, professor derives from Latin as a "person who professes". Professors are usually experts in their field and teachers of the highest rank.In most systems of academic ranks, "professor" as an unqualified title refers only to the most senior academic position, sometimes informally known as "full professor." In some countries and institutions, the word "professor" is also used in titles of lower ranks such as associate professor and assistant professor; this is particularly the case in the United States, where the word professor is sometimes used colloquially to refer to associate and assistant professors as well. This colloquial usage would be considered incorrect among other academic communities. However, the unqualified title "Professor" designated with a capital letter nearly always refers to a full professor.
Professors often conduct original research and commonly teach undergraduate, professional, or postgraduate courses in their fields of expertise. In universities with graduate schools, professors may mentor and supervise graduate students conducting research for a thesis or dissertation. In many universities, full professors take on senior managerial roles such as leading departments, research teams and institutes, and filling roles such as president, principal or vice-chancellor. The role of professor may be more public-facing than that of more junior staff, and professors are expected to be national or international leaders in their field of expertise.

View More On Wikipedia.org
  1. KING MIDAS

    Uzi maalum wa kuwakumbuka Walimu waliotufundisha kuanzia chekechea hadi Chuo Kikuu

    Tukiachana na Mpwayungu Village ambaye usiku na mchana yeye ni kuwasakama walimu, tupo sisi wengine tunaoheshimu na kuthamini mchango wao kwenye maisha yetu ya kila siku. Walimu wangu wa chekechekea kuna Teacher Mary, Umoja Primary School. Mama Stambuli, mama mzazi wa Azza, amenifundisha pia...
  2. vibertz

    Professor Nabi na Morrison hali ni tete CAF CL

    Ikiwa mechi ya pili ya marudiano kati ya Far Rabat na Etoil du Sahel, kocha wa zamani wa Yanga prof Nabi pamoja na mchezaji wa zamani mtukutu Morrison wana kibarua kigumu leo kufuzu michuano ya klabu bingwa hatua ya makundi. Mechi ya awali iliisha kwa Far Rabat kufungwa goli moja na leo wakiwa...
  3. peno hasegawa

    Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma (Geologist) kuiwakilisha Tanzania kwenye Mahakama ya ICSID?

    Tanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa. Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali. Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu...
  4. mtwa mkulu

    Wapi alipo Nurjehan aliyefaulu mtihani wa kitaifa na professor issa shivji 1960?

    NURJEHAN ALIYEOONGOZA MITIHANI AKIWA NA PROF. SHIVJI MIAKA YA 1960s YU WAPI? Jina la Nurjehan Walli limekuwa maarufu sana katika mitandao ya kijamii baada ya picha yake kuonekana akiwa na Issa Shivji wakati wawili hao walipoongoza mitihani adhimu ya Senior Cambridge Examinations (sasa Form...
  5. Doctor Mama Amon

    A Polite question to Professor Kitila Mkumbo and others; Is the Tanzania-Dubai Ports Treaty a closed-end contract or an open-ended contract?

    Dear Professor Kitila Alexander Mkumbo, On 10 June 2023 when the Parliament ratified the contested Tanzania-Dubai IGA, you were the first contributor who supported the ratification (see the video above). Unlike then, you are now a full Minister of Investments, in the President's office...
  6. K

    Professor Kabudi apotosha kuhusu Uraia pacha! aombe msamaha

    Msikilize Emanuel akitoa data za ukweli anzia dakika ya 17:05
  7. Mohammed wa 5

    Mbona Professor Jay hakupewa Uwaziri?

    Hizi nafasi za Uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata kama zali? Mbunge wa zamani Jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe wa Hip-Hop Joseph Haule (professor Jay), alihudumia Bunge kwa miaka mitano ila hakupewa hata Uwaziri. Kama sifa walizotumia kumpa Uwaziri Mwana FA mbona Professor Jay...
  8. Kipenzi Changu

    FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

    ⚽️ US Monastir🆚Young Africans SC 🗓 12 February 2023 ⏱ 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ 🏟 Uwanja wa Rades, Tunis 🏆 CAFCC Kikosi cha Yanga Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku mnene tukifurahi ushindi Timu zinaingia uwanjani Mchezo umeanza 2' Yanga wameanza kwa kasi, Kisinda...
  9. J

    Profesa wa Chuo Kikuu Oxford amshauri Rais Samia kuhusu miradi aliyoianzisha Hayati Magufuli kwa pupa

    Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake Magufuli alipoingia madarakani alianzisha...
  10. BARD AI

    Rais Samia amemuondoa Prof. Kennedy Gastorn Umoja wa Mataifa kwa kashfa za Rushwa na Ufisadi

    Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi. Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa...
  11. Kichuguu

    Ilikuwaje hadi Wachina wakampa Rais Kikwete Uprofesa wa heshima?

    Je Wachina walikuwa wanatafuta kitu gani hapa ? ? ? Maisha yangu yote ya academia sijawahi kusikia kitu kinaitwa honorary professorship!
  12. sinza pazuri

    Napendekeza liandaliwe tamasha la kuchangia matibabu ya Professor Jay

    Napendekeza wadau wa sanaa pamoja na familia ya Professor Jay wakae chini waandae tamasha la kukusanya pesa za kusaidia matibabu ya Professor. Jay sio tu ni msanii mkali lakini pia anaishi vizuri sana na jamii yake...Ni yule brother fulani hanaga noma hana makuu anaishi vizuri na wadau wote...
  13. R

    Professor wa money heist ni zaidi ya Michael Scofield

    Wakuu mpo? Leo nimeona nike kwenye pande za burudani kuna uzi jamaa alianzisha kuwa Michael Scofield ni zaidi ya professor. Nilicheka sana kwa kujua hivi ni vile vitoto viliaminishwa tu havijui whats inside. Michael Scofield alisifika sana ndani ya Prison Break akicheza kama master mind kwa...
  14. MK254

    Kenyan Professor Receives Prestigious British Award

    Professor Robert Mokaya of Nottingham University in the United Kingdom A Kenyan professor has become the latest recipient of a prestigious award in the United Kingdom. Professor Robert Mokaya received the second-highest ranking Order of the British Empire award (OBE) recognising his...
  15. Naipendatz

    Professor and Author will be Speaking at the Education sector symposium this Tuesday

    We are honored to announce,Mr. Richard Mabala , Educator, Professor and Author will be Speaking at the Education sector symposium this Tuesday @UdsmOfficial Library conference hall. My take: Chini ya utawala wa Jiwe hii ilikuwa ni dhambi kubwa sana, Nakumbuka alitaka kumfukuza VC UDOM sababu...
  16. kavulata

    TCU, sio kila Professor anaweza kuwa VC wa chuo

    Vyuo vyetu vikuu vina idadi ndogo ya maprofesa, na wale wachache waliopo sio kweli wote wanazo sifa za kushika nafasi ya u vice chancellor, maNaibu Makamu wakuu wa chuo taaluma na mipango na fedha, au kuwa mkuu wa idara au Mkuu wa kitivo. Nafasi hizi zinahitaji maarifa na sifa ambazo ni zaidi...
  17. S

    Ludovic Utoh aunga mkono hoja ya kukagua deni la Taifa

    Kuna mjadala mzuri ulikua unaendelea kwenye chanel ya UTV ambapo CAG mstaafu Bwana Ludovic Uto ameunga mkono hoja za Wabunge wanaotaka ufanyike ukaguzi kuhusu deni la taifa. Pamoja nae alikua ni Professor Ngowi na Dr Bernie. Ludovic Uto ameenda mbali zaidi na kutaka ifanyike ukaguzi...
  18. S

    TANZIA Professor Frank Chiteji afariki

    Professor Frank Chiteji amefariki dunia. Tumetoka mbali pamoja. Nilifahamiana naye kwa miaka mingi sana tangu mwishoni mwa miaka ya sabini alipokuwa mwanafunzi Michigan State University pamoja na Issa Kaboko Musoke, mwandishi wa habari Daily News na baadaye professor UDSM. Chiteji na Musoke...
  19. Mathanzua

    Ex-Vice President wa Pfizer, Profesa Mike Yeadon: Chanjo za COVID- 19 si salama

    Profesa Mike Yeadon(clip ya mwisho) amekuwa katika biashara za kutengeneza chanjo maisha yake yote, na wakati anastaafu alikuwa ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya Pfizer, moja ya makampuni mashuhuri yanayotengeneza chanjo ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na chanjo za Uviko-19. Kwa hiyo Mwanasayansi...
  20. B

    Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

    26 May 2021 Nairobi, Kenya MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe . Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
Back
Top Bottom