Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhakikisha kuwa kura za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 zinahesabiwa na kutangazwa kama zilivyopigwa na wananchi.
Profesa Lipumba ametoa kauli hiyo jana, Oktoba 5, 2025...