prof. lipumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba amdai IGP Sirro saa yake

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGPSimon Sirro kuitafuta saa yake ya mkononi aliyonyang'anywana askari wake wakati wa mvutano ulioibuka karibuni. Akizungumza na wanachama wa chama hicho na wananchi mkoani Tabora, Lipumba...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ni vema wagombea wa vyama vyote wakajitangaza mapema ili tuwapime

    Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima. Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao. Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia. Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu...
  3. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania CUF Zanzibar yamtaka Prof. Lipumba kujiondoa ili kukinusuru chama hicho

    WANACHAMA na viongozi wa chama cha Wananchi CUF Zanzibar wamemtaka kiongozi wa chama hicho Prof. IBRAHIM LIPUMBA kuwaachia chama Chao ili kukinusuru na hali mbaya inayokikabili kutokana na kile walichokiita 'Usaliti wa Lipumba kwa chama hicho'. Wamesema kutokana na mwenendo wa vitendo vyake...
  4. BAK

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Haingii akilini gaidi na mhaini akapelekewa salamu za rambirambi tarehe 8 Julai 2021 na Rais ambaye ana taarifa zote za usalama wa nchi

    Prof. Ibrahim Haruna Lipumba asema Haingii akilini gaidi na mhaini akapelekewa salamu za rambirambi tarehe 8 Julai 2021 na Rais ambaye ni amiri jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, halafu tarehe 23 Julai 2021 Freeman Mbowe akakamatwe kwa ugaidi wa mwaka 2020. Maana rais kila siku...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia hawezi kukwepa lawama kuhusu kukamatwa kwa Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe. "Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
  6. Usher-smith MD

    JamiiForums Tanzania CUF ya Prof. Lipumba ipo kweli?

    Kila siku naziona ACT Wazalendo, CCM na CHADEMA zinafanya shughuli za kisiasa. Ila CUF kimya toka mwendazake aende. Ndio tuseme Prof Lipumba amefanikiwa kuiua CUF kama alivyotumwa? [emoji849]
Back
Top Bottom