pro

  1. JamiiForums Tanzania iPhone 18 Pro Max na Ultra Yaja! Kaa tayari kwa sept 9.

    Kampuni ya apple imeamua kuja na iphone 18 promax. iPhonee 18 Pro Maxx ndiyo simu ya kisasa zaidi ya Apple, naam ya kisasa haswa inayotarajiwa kutangazwa rasmi kwenye Apple Event mnamo Tarehe 8 au 9 Septemba, 2026, na kuanza kuuzwa madukani katikati au mwishoni mwa mwezi huo wa Septemba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Urgently; Infinix hot 60 pro inauzwa 220k

    Wakuu habari Mkuu habari!! Nina changamoto ya kifedha kodi yangu ya nyumba imeisha mwenye nyumba wangu anatishia kunifungia nyumba Usiku huu, nina simu yangu naiuza nilinunua mwezi wa pili mwaka huu infinix hot 60 pro. Bei kama 220k. Location Banana mawasiliano 0750607844
  3. JamiiForums Tanzania Napata wapi cover la redmi note 13 pro

    Vipi wakuu Natafuta cover la redmi note 13 pro Nimetafuta k/koo kwa jitihada zangu nimekosa, napata wapi? Nani mwenye nalo
  4. JamiiForums Tanzania DJI wameinzdua OSMO Pocket 4 Pro yenye Camera Mbili!

    Baada ya kuzindua DJI OSMO Pocket 4 mwezi April, DJI pia walidokeza kidogo Pocket 4 Pro, ambayo ilionekana inakuja na lens mbili. Finnaly wamefanya officially launch. Hii pocket gimbal camera imekuja na 1-inch sensor, f/2.0 aperture and 20mm focal length. Sensor ya pili ni telephoto camera...
  5. JamiiForums Tanzania C-C Digital Pro ya anzishwa na Civilian-Coin kuokoa Sanaa Kimataifa

    Civilian-Coin introduces new production branch, "C-C Digital Pro", is a comprehensive digital media agency. They specialize in high-quality motion graphics for video, still picture production, and serve as a fully equipped recording studio for music and films. Core Services: C-C Digital Pro...
  6. JamiiForums Tanzania Quality Assurance Pro, tukutane kwenye huu uzi

    I hope this thread finds you well. Mimi ni mzima wa afya kabisa sijui ninyi huko Leo nimekutana na kijana mwenzangu anauza vitu kama mafuta, sabuni, perfumes etc. makolo kolo mengi mengi wazungu wanaita cosmetics products sijui ni hivyo au nachanganya mafile. Tumekutana tumesalimiana vizuri...
  7. JamiiForums Tanzania Nissan wazindua Navara Pro Hybrid, itapambana na BYD Shark 6 Sokoni!

    Nissan kazindua Plugin Hybrid ya Pickup yake pendwa Navara, inayoenda kwa Navara Pro PHEV. Inakuja na engine ya 1.5L Turbo Petrol, 4 gears Dedicated Hybrid Transmission, AWD, na inatoa total ya 400 hp. Inakuja na motor moja na 33 kWh battery, linauwezo wa kutembea kilometa 130 kwa umeme tu na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dini Pro - Kurani app ya Kiswahili

    Nimetengeneza app ya Kurani ya Kiswahili inaitwa Dini Pro Unaweza kufanya yafuatayo kwenye app yangu Kurani Tukufu (Soma na Usikilize): Soma Surah zote kwa urahisi na usikilize sauti popote ulipo. Mwelekeo Sahihi wa Qibla: Pata mwelekeo wa Qibla kwa haraka na usahihi mkubwa haijalishi uko...
  9. JamiiForums Tanzania Marketing Officers Job Opportunity ( 3 opportunities) for Max Pro Cleaners and Fumigation Company

    We are seeking creative, driven and energetic Marketing Officers to become part of our growing marketing team for our Cleaning and Fumigation Company by acquiring new residential/commercial clients, managing digital campaigns, and creating brand awareness. Candidates should have previous...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Binafsi niwapongeze Pro Iran wanafanya kazi ngumu sana kutetea Iran ambayo hata intelligence inashindwa kulinda mkuu wa Intelligence

    Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
  11. JamiiForums Tanzania iPhone 17 Pro Max tusiichukulie poa likija swala la camera!

    Christina Koch akipiga selfie na Dunia kutoka space. Nasa wameconfirm iPhone 17 Pro Max imehusika.
  12. JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu 10 wa mauzo na masoko kwaajili ya usambazaji wa bidhaa za Usafi (Tiles Cleaner) katika kampuni ya Max Pro Limietd

    Max Pro Limited ni Kampuni inayojihusisha na utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Usafi kama vile Tiles Cleaner,Hand Wash Soap,Window Cleaner,Shower gel,Air Fresh,Car Shampoo,Hair Shampoo,Sofa Cleaner,Skin Care Products n.k.ambayo ipo Kigamboni Dar es Salaam. Max Pro Ltd...
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

    Moja kwa moja . Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano . Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo. Lengo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Redmi Note 14 Pro 5G - Inauzwa (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, nauza simu yangu binafsi ikiwa katika hali nzuri kabisa. Sababu ya kuuza ni kupata changamoto ya kifedha inayohitaji utatuzi wa haraka. Sifa za Simu: Model: Redmi Note 14 Pro 5G RAM: 8GB Storage: 256GB Battery: 5500mAh (Inakaa na chaji vizuri sana) Hali: Haina mchubuko wala tatizo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Redmi Note 14 Pro 5G - Inauzwa (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, nauza simu yangu binafsi ikiwa katika hali nzuri kabisa. Sababu ya kuuza ni kupata changamoto ya kifedha inayohitaji utatuzi wa haraka. Sifa za Simu: Model: Redmi Note 14 Pro 5G RAM: 8GB Storage: 256GB Battery: 5500mAh (Inakaa na chaji vizuri sana) Hali: Haina mchubuko wala tatizo...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa Xiaomi 12T Pro nikanunua Google Pixel 7A

    Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha maana walichooba kinachoniuma zaidi ni hiyo Xiaomi 12T Pro Lakini nimeitumia for 3 years straight...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Iphone 17 pro max vs Samsung S25 ultra. Ipi ninunue?

    Maoni yenu wakuu. Zote ziwe 512GB. ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia. Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja. Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia. Asanteni.
  18. JamiiForums Tanzania Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

    Maisha yako speed. iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6. Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava. Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya...
  20. JamiiForums Tanzania nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…