pombe

  1. Mtoa Taarifa

    Tahadhari: Adaiwa kutaka kujichinja baada ya kukamatwa ndani ya Kiwanda Bubu cha kutengeneza Pombe Feki Kigamboni

    Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani. Sasa ile...
  2. JEJUTz

    Msiotumia pombe kuna kitu mna-miss muwapo faragha na wenzi wenu

    Lengo si kuhamasisha ulevi au kutumia pombe no! Ila ipo hivi: Imagine wewe na mpenzi wako mlikaa muda mrefu bila kuonana ile shauku ya kumuona tena mwenzako plus hamu ya ku-do! Kunywa tu juice na maji mtakuwa hamtendeani haki. Ili kunogesha penzi mnatakiwa muwe high mtaenjoy sana. Imagine mtu...
  3. W

    WHO: Hata kwa Viwango vidogo Matumizi ya Pombe yanaweza kuleta madhara ya kiafya

    Kwa mujibu wa Ripoti ya mwaka 2019 ya Shirika la Afya Duniani (WHO), matumizi ya pombe, hata kwa viwango vidogo, yanaweza kuleta madhara ya kiafya, lakini madhara makubwa zaidi yanatokana na unywaji wa kupitiliza, wa mara kwa mara na kwa kiasi kikubwa. Pia, takwimu hizo zinaonyesha kuwa...
  4. M

    Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

    Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni. Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali. Ipi tiba yake?
  5. Bemendazole

    Kutamani Pombe muda wa kazi

    Wakuu, Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha. Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo. Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi hadi jioni. Sasa bana nimepata kazi. Najizuia nisinywe mda wa kazi maana nimeshakuwa addicted napata...
  6. Superbug

    Taja vyakula ambavyo ukivila kabla au baada ya kunywa pombe lazima utapike na ambavyo hutatapika

    Naanza Wali utatapika Ugali maini hutapiki Kitimoto hutapiki Mahindi ya kuchoma utatapika
  7. B

    Wilaya ya Rombo inateketea kwa unywaji wa Pombe

    Naomba serikali iingilie kati suala la unywaji wa pombe uliokithiri katika wilaya ya Rombo, Serikali imeruhusu uanzishaji wa viwanda vya pombe za bei rahisi, "Pombe za Kijani" kwa kuangalia mapato ila kizazi cha Rombo kinateketea. Baada ya miaka kadhaa ijayo Rombo itakuwa na hali mbaya sana...
  8. kinguhj

    Pombe na Kiingereza

    Kuna uhusiano gani kati ya pombe na Kiingereza? Kwanini wanywaji wa pombe walio wengi huzungumza kizungu mara baada ya kulewa? Japo ni broken English lakini najiuliza kwanini isiwe kichina? Au Kiarabu? Na lugha nyingine?
  9. kyagata

    Kumbe kuacha pombe inawezekanika

    Ebana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi. Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya. Siku nikaamua kuchukua maamuzi...
  10. G

    Mnaokesha au kulala sehemu za kunywa pombe huwa mnakunywa tu au kuna mahusiano ya ziada ya kimapenzi na ni ya aina ipi?

    Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani. Iwe ni bar, lounge, pub, kilabuni, n.k. mtu aliezoea kukesha kiasi cha kurudi nyumbani usiku au kulalia huko huko huwa...
  11. D

    This week is international eucharistic ceremony

    This week, ahead of the International Eucharistic Congress in Quito, Ecuador, on September 8th, I invite you to discover the history of Eucharistic miracles on our Vaticano show, from medieval Bolsena to Lanciano’s first miracle, Carlo Acutis’s devotion, and more. Ahead of the next session of...
  12. D

    Kumbe pombe zina madhara kiasi hiki!?

    Nimefikia hatua ambapo chochote ninachoshika natetemeka hata nikishika kikombe cha chai natetemeka tu kisa safari na smart gin
  13. Royal Son

    Kuna dawa ya kuacha Pombe?

    Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe. Shukran
  14. Kaka yake shetani

    Hakuna watu wenye upendo, umoja na kusaidiana kama wanywa pombe

    Ijalishi ni msikitini, kanisani, kwa profesa janabi, serikalini, kazini, mitaani na n.k Ila wanywa pombe ni watu ambao wanaumoja kwenye mambo yao kuliko hawa wasiotumia. Leo jioni mtu anajigamba kuninunulia kahawa elfu moja yani ilivyo chungu halafu hakuna la maana kazi kusema watu na...
  15. Mwanamke wa mithali 31

    Milioni 4 inatosha kufungua biashara ya grocery au duka la pombe kali?

    Hey, wapendwa 4M inatosha kufungua grocery? Kama inatosha je vitu gani muhimu? Na yenyewe inatakiwa kuwa na Vibali au unaweza kufungua kama duka la mangi? Nafikiria kwenda field ili nipate uzoefu Yaani niombe kazi hizo sehemu zinazouza pombe, sijuh ni grocery au ni bar. Ili niweze kufahamu...
  16. Yoda

    Ulanzi umeingia kwenye mfumo, gongo nayo ipate nafasi ya kurasimishwa

    Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine? Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu. Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
  17. Superbug

    Moyo kuuma baada ya kunywa pombe

    Hivi walevi mkinywa pombe nyingi moyo hauwaumi? Hii husababishwa na nini? Madaktari jibuni.
  18. Jack Daniel

    Kuanzia leo naacha pombe na namrudia Mungu

    Hello Jamiiforums Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu. Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na...
  19. GoldDhahabu

    Pombe ina uhusiano gani na kelele?

    Siku moja nilimsikia mtu mmoja akisema kuwa kama angekuwa na redio kubwa kama ya rafiki yake fulani, asingeenda kunywa pombe baa. Angekuwa anazichukua na kwenda kuzinywea nyumbani kwake akiusikiliza muziki mzito kutoka kwa "liredio" lake. Miziki pia inaonekana kama ni kitu cha kawaida baa. Hiyo...
  20. Technophilic Pool

    Sinywi pombe Sinywi soda! Ninywe nini nikiwa bar

    Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya. Lakini soda pia niliQuite tangu 2020. Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho. Hivi ndo nilikuwa natumia lakini naona siyo kabisa 1. Maji Aisee haya...
Back
Top Bottom