Shigongo: Hatuwezi kuwa na taifa la pombe na kubet

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa vijana kutoendekeza ulevi na kubet na kwamba Tanzania haiwezi kuwa taifa la vijana wanaowaza pombe na kubet muda wote.

Amewataka kuelekeza nguvu kwenye shughuli za maendeleo ambazo zitawakwamua wao na familia zao.

bado mjasema nyie CCM.wakisema chadema mnasema wachochezi
 
Hii ni kweli kabisa.
CCM wamewaharibu vijana kwa pombe na kamari kwa sababu ya viongozi hao wa CCM kukosa upeo mzuri wa kutafuta vyanzo vya mapato, ambapo kodi kwenye pombe na kamari ndiyo iliyo rahisi sana kwao kuipata na kuikusanya.
Kodi kwenye pombe na kamari ni kubwa sana, na ndio maana (kwa ushetani wa CCM), wameruhusu matangazo ya pombe na kamari ili watumiaji na matumizi yaongezeke.
 
Kwahiyo Shigongo anapingana na Cpa Amos Makalla? Cpa alisema vijana lazima wabeti kwa juhudi na maarifa wasidanganywe na Heche eti watapiga marufuku betting Chadema ikishika madaraka.
Shigongo ajiangalie atakatwa kwenye kura za maoni. Shauri ake.
 
Anayesema hivyo ni mmiliki wa bar
Hii dunia hii
 
Du JPM hapa aliteleza,
Hivi huyu kwenye beer anajua serikali inavuna pesa kiasi gani,
Hizo nchi zilizoendelea hawanywi beer/pombe.
Taifa lina safari ndefu sana.
Huyo nae ni mbunge
 
Amesema ukweli hali ni mbaya sana,kuna pombe zinauzwa madukani alcohol yake ni 40 ml 200 yaani ni kama bia tano za safari halafu yenyewe hiyo pombe ni sh 2000.Asubuhi mtu amelewa,kubet na kamari ni balaa lingine,baadhi ya vijana wanaibw wapate hela ya kamari na kubet.Halafu anatokea mharibifu mmoja anasema tunapata kodi
 
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa vijana kutoendekeza ulevi na kubet na kwamba Tanzania haiwezi kuwa taifa la vijana wanaowaza pombe na kubet muda wote.

Amewataka kuelekeza nguvu kwenye shughuli za maendeleo ambazo zitawakwamua wao na familia zao.

View attachment 3338835
heche aliliwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti dah 🐒
 
Amesema ukweli hali ni mbaya sana,kuna pombe zinauzwa madukani alcohol yake ni 40 ml 200 yaani ni kama bia tano za safari halafu yenyewe hiyo pombe ni sh 2000.Asubuhi mtu amelewa,kubet na kamari ni balaa lingine,baadhi ya vijana wanaibw wapate hela ya kamari na kubet.Halafu anatokea mharibifu mmoja anasema tunapata kodi
Cuca,diamond ,highlife,yobo,robot,kitoko,rivella .

Ipo sijaitaja?

Kisungura.

Zote zipo Kwa ginn na vodka pamoja na whiskey.

Bei NI elf 2 ukikata moja Saa mbili asubui unazima mpaka Saa 10. Jioni
 
Miaka michache Tanzania tutashuhudia kizazi cha vijana ki umri ila ni wazee, kifikra, kiutendaji, na kiuwezo.
Wamebuni kutengeneza mchanganyiko wao, wana mix Komando au aina nyingine ya spirit na vinywaji vya energy, wakimaliza wanapack ugolo kwenye mashavu.

Kwa ujumla hali ya vijana ni mbaya sana.
 
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa vijana kutoendekeza ulevi na kubet na kwamba Tanzania haiwezi kuwa taifa la vijana wanaowaza pombe na kubet muda wote.

Amewataka kuelekeza nguvu kwenye shughuli za maendeleo ambazo zitawakwamua wao na familia zao.

View attachment 3338835
Wise counsel, my son. True strength comes from clarity of mind and purpose. Alcohol clouds judgment and weakens the spirit. A mortal who masters self-control becomes more powerful than the temptations that seek to diminish him.
 
Cuca,diamond ,highlife,yobo,robot,kitoko,rivella .

Ipo sijaitaja?

Kisungura.

Zote zipo Kwa ginn na vodka pamoja na whiskey.

Bei NI elf 2 ukikata moja Saa mbili asubui unazima mpaka Saa 10. Jioni
Shimha, Ambiance, Farasi mweupe
 
Yaani mtu ambaye alijitengenezea pesa kupitia kuuza umbea na gossip for years anapata wapi nguvu ya kukemea kubet na pombe
 
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa vijana kutoendekeza ulevi na kubet na kwamba Tanzania haiwezi kuwa taifa la vijana wanaowaza pombe na kubet muda wote.

Amewataka kuelekeza nguvu kwenye shughuli za maendeleo ambazo zitawakwamua wao na familia zao.

View attachment 3338835
Hv Huyu Mbunge ni wa chama Gani,kama ni wa CCM basi apelekwe kwenye kamati ya maadili.anakuja kutuambia mambo na mikakatibya chama chao.
 
Back
Top Bottom