polisi

  1. JamiiForums Tanzania Askari Polisi gani mwenye nidhamu, utu na Weledi kama ACP Theopista Mallya?

    Askari Polisi gani mwenye utu na Weredi kama ACP Theopista Mallya? Shikamoo Afande ACP Theopista Mallya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, naamini ni moja ya toleo bora la Askari Polisi tunaojivunia. Aliwahi kuwa Msaidizi wa Mkuu wa Trafiki Tanzania Staff Officer Mnadhimu wa Polisi Makao Makuu...
  2. JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa Polisi; Umewahi kupigwa, kuteswa, kudhulumiwa, kukomolewa au kubambikiwa kesi bila kosa? Weka mkasa wako hapa

    Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja. Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Marekani laandika kwamba USA walidanganya kuhusu Mmarekani aliyemuua Mtanzania na kumtorosha asichukuliwe hatua na Polisi

    Mtakumbuka kisa cha Mmarekani aliekuwa akifanya kazi Peace Corps hapa Tanzania, ambaye akiwa amelewa chakari alisababisha kifo cha mwanamke wa Kitanzania. Mtakumbuka pia kwamba maofisa wa ublozi wa Marekani nchini walimtoa polisi kwa madai kwamba alikuwa ni mwana diplomasia, na kumrudisha kisiri...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Kenya wakiri kumuua kimakosa mwandishi wa Habari wa Pakistan

    Katika taarifa yake Jeshi hilo limeahidi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zinazostahili kwa wahusika waliompiga risasi Arshad Shariff. Mwandishi huyo alipigwa risasi kichwani baada maafisa kumfananisha na majambazi waliokuwa wakiwatafuta kwa madai ya kuiba gari jijini Nairobi. Kifo chake...
  5. JamiiForums Tanzania KWELI Ubalozi wa China wakanusha kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania

    Madai Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya...
  6. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mauaji ya wakulima na wafugaji, IGP Wambura aagiza askari wapishe uchunguzi

    IGP Camillus Wambura ametoa maagizo hayo kutokana na watu wawili kuuawa kwa silaha za moto na wawili kujeruhiwa wakati Polisi wakizuia vurugu Kijiji cha Ikwambi Kata ya Mofu, Wilaya ya Kilombero, Oktoba 23, 2022. IGP Wambura amesema “Nimeunda Tume Huru kuchunguza vurugu zinazotokea, lengo kujua...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia tusaidie, Polisi wanatumaliza, Polisi ilindeni CCM itawale milele ila roho zetu tuachieni

    Najua Polisi wa Tanzania wamejipa jukumu la kuhakikisha rais unatawala Milele. Waambie wakutetee lakini roho zetu watuachie. Watanzania wote ni ndugu uwe Polisi Mgambo au Mpiga debe Soma Ujumbe kaandikiwq baba Askofu ===== POLISI WAFANYA MAUAJI YA KUTISHA KIJIJI CHA IKWAMBI, KATA YA MOFU...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Polisi wa Ukraine wapiga chini drone ya Iran kwa risasi

    Hizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita. Zilitumwa nyingi kama panya washambuliavyo mashamba msimu mbaya ila dawa imepatikana; hata kwa manati...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tunapokenua Polisi kuua watuhumiwa, hayo hayakubaliki Kenya

    Ama kweli atakuwapo aliyeturoga. Kwamba kuna wanaokenua watuhumiwa kuuwawa wakiwa mikononi mwa polisi? Kwa hakika safari yetu kuelekea haki kwa wote ingali bado kuanza.
  10. Q

    JamiiForums Tanzania China kufungua vituo vya Polisi Afrika ikiwemo Tanzania. Ubalozi wa China wakanusha

    BBC. China inadaiwa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya Vanguard imeripoti. Wakiwanukuu watetezi wa Usalama...
  11. JamiiForums Tanzania Watumishi KCMC wahojiwa na Polisi kwa kudai Posho zao mtandaoni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kitengo cha makosa ya kimtandao, linawahoji wafanyakazi kadhaa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC ya mjini Moshi kwa tuhuma za makosa mbalimbali ya kimtandao. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa ambaye yuko safarini kikazi nje ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Polisi Manyara yawadaka sungusungu sita kwa tuhuma za mauaji

    POLISI MANYARA YAWADAKA SUNGUSUNGU SITA KWA TUHUMA ZA MAUAJI. Na John Walter-Babati Mwili wa Mohamedi Musa Said (42) anaedaiwa kuuawa na kikosi cha ulinzi shirikishi (Sungusungu) wa usiku mjini Babati katika mkoa wa Manyara, umezikwa oktoba 17,2022 nyumbani kwao mtaa wa Kwere mjini hapa. Baba...
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asema kulikuwa na kitengo cha Polisi kuua watu na kuwatupa porini, amekifutilia mbali

    Huyu Rais wa Kenya Dr Ruto kwa hakika ana hofu ya Mungu wa mbinguni Ruto amesema amevunja Kitengo cha Polisi kilichokuwa ni maalum kwa kuuwa Watu na kuwatupa maporini, amesema hawezi kuruhusu serikali yake kuuwa raia, kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao siyo kuwauwa, amesisitiza Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi: Ndugu ni chanzo cha kesi za Ukatili wa Kijinsia kufutwa

    Afisa Polisi Jamii kutoka Mkoa wa Kipolisi Ilala Eugene Mwampondele amesema Kesi 949 kati ya 1,271 zilizopelekwa Madawati ya Jinsia katika Mahakama ya Wilaya mwaka 2018/21 zimeondolewa. Ametolea mfano takwimu za matukio ya Ukatili wa Kijinsia katika Kituo cha Stakishari pekee yameongezeka hadi...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi waanza uchunguzi dhidi ya Kalynda E-Commerce

    Uchunguzi huo utafanywa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Uchunguzi na Fedha ili hatua stahiki za kisheria ziweze kuchukuliwa. Msemaji wa Jeshi hilo, David Misime ametoa tahadhari na kusema "Ni lazima kila mmoja wetu atambue kuna...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Jambo Jema kutoka Afisa yoyote wa Polisi..

    Habari za waungwana. Pamoja na kuwa kuna msemo kuwa samaki mmoja akioza basi wote wameoza, inaweza ikawa tofauti. Naomba kuuliza je, kuna wakati umekutana na afisa/askari wa polisi akakutendea kwa utu, heshima na huruma? Kuna mifano mingi, ikiwemo kuwapa chakula mahabusu ambao huwa hawajaletwa...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata Panya Road 14 Unguja, 6 kati yao wametokea Dar es Salaam

    Vijana I4 kati yao 6 wakitokea Dar es Salaam wanaodaiwa kujihusisha na uhalifu kwa kutumia silaha za jadi maarufu kwa jina la Panya Road wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kupora na kujeruhi watu kadhaa Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibu, ACP Richard...
  18. JamiiForums Tanzania Kimara Resort pana mapango ya Panya Road na Polisi hawafanyi kitu

    Tukisema mnashirikiana nao mnabisha na kutoa statement ndefu na waraka, mnataka kusema hamjui kuna mapango ya Panya Road na vibaka hapa Kimara Resort upande wa Theofil Ngowi Sec? Yaani mtu unatoka kazini unaona jamaa wanatoka na mapanga marungu visu bisibisi na wameshajeruhi raia kadhaa na...
  19. JamiiForums Tanzania Kariakoo, Dar: Kumetokea ujambazi wa kutisha mtaa wa Lindi na Livingstone muda huu, Polisi mpo wapi?

    Kuna bodaboda mbili zilipita speed kwenda uelekeo wa mtaa wa Lindi na Livingstone, kumbe bwana walikuwa wanamkimbiza mhindi aliyekuwa kwenye bodaboda nyingine ya mbele akiwa na begi mgongoni, inasemekena ni mauzo ya dukani. Basi nikasikia puuu, kugeuka nikaona ile bodaboda ya Mhindi ipo chini...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya sheria ya haki ya dhamana kupitishwa, Serikali iangalie suala la Polisi kuvizia kukamata mtu Ijumaa ili akae rumande hadi Jumatatu

    Tunashukuru kwamba serikali hatimae imesikiliza kilia cha wananchi cha siku nyingi juu ya kuweka watu mahabusu bila kuwapa haki yao ya dhamana. Udhaifu wa hili ulikuwa pande zote mbili, polisi na mahakama, kwa sababu mahakimu nao pia walikuwa wakiwaendekeza polisi kwa kuachia watu warudishwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…