polisi

  1. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Jeshi la Polisi limetangaza kuuawa kwa watuhumiwa sita wa vitendo vya unyan’ganyi wa kutumia silaha za jadi ikiwemo mapanga, visu na nondo ambao ni maarufu kwa jina la Panya Road, eneo la Makongo Area Four, Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema...
  3. JamiiForums Tanzania JWTZ na Polisi wategua Bomu ndani ya chumba cha NMB Bank Shinyanga

    Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Polisi Mkoa, Janeth Magomi, Kilipuzi hicho kilipatikana kwenye chumba maalum kinachotumiwa na wateja wa Fedha Nyingi (Bulk) na mtuhumiwa mkuu amekamatwa Kamanda Magomi amesema mkoba uliokutwa na kilipuzi hicho ulisafirishwa hadi Kambarage Police Barracks...
  4. JamiiForums Tanzania Raia waendelea kufia mikononi mwa polisi, tukimbilie wapi IGP Wambura?

    Watatu wafia mikononi mwa Polisi K’njaro, Dodoma SATURDAY SEPTEMBER 17 2022 Summary Matukio ya watu kufa wakiwa mikononi mwa Polisi, yameendelea kushika kasi kufuatia vifo vilivyotokea katika mikoa ya Kilimanjaro na Dodoma hivi karibuni, huku jeshi hilo mkoani Kilimanjaro likithibitisha...
  5. JamiiForums Tanzania Tabora: Walioua Polisi wahukumiwa kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu washtakiwa wanne kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuua askari wawili wa Jeshi la Polisi Kituo cha Usoke, wilayani Urambo mkoani Tabora. Hukumu hiyo imetolewa leo Ijumaa Septemba 16, 2022 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Tabora...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia na CCM yake, 'Acheni Jeshi la Polisi lifanye kazi zake'

    Mnyonge mtamnyonga lakini haki yake hupewa. Rais Magufuli kama angeaamua kucheka na nyani, kama angeaamua kutolipa Uhuru Jeshi la Polisi kwenye kudeal na waalifu, basi Tanzania ingeogopwa Duniani. Nani asiyekumbuka Yale ya Kibiti? Nani asiyekumbuka Ujambazi ulokithiri wakati wa Uongozi wa JK...
  7. E

    JamiiForums Tanzania It should be a criminal offense to "kuwazuia polisi waliovalia sare za kazi"

    Tumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia. Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini...
  8. JamiiForums Tanzania Mpwapwa: Askari adaiwa kumpiga risasi mwenzie wakati wa kumkamata bodaboda

    Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
  9. JamiiForums Tanzania Ulinzi Shirikishi/ Polisi Jamii ni kuwasumbua Wananchi

    Katika mambo ya kipuuzi ambayo jeshi letu la polisi linayafanya ni hiki kitu kinaitwa ulinzi shirikikishi. Sote tunajua maisha ya watanzania yalivyo, unakuta kijana anayejishughulisha na shughuli za kilimo jioni anarudi nyumbani hoi halafu unamtaka aingie mtaani eti kufanya doria ili kukomesha...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi Arusha watimua Askari watatu kwa utovu wa nidhamu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya jeshi hilo. Aidha, limewatahadharisha wengine wenye tabia kama hizo kuziacha. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Septemba 15, 2022 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo...
  12. JamiiForums Tanzania Kashfa nyingine kwa Polisi: Askari adaiwa kusababisha kifo cha mtuhumiwa

    Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa nyingine, baada ya askari wake kutuhumiwa kusababisha kifo cha Ulirki Sabas (47), Mkazi wa Kijiji cha Kirongo chini wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro akiwa mikononi mwao. Tukio hilo linadaiwa kutokea katika Kituo cha Polisi Usseri wilayani humo ambapo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Polisi mnataka kutuaminisha Panya Road wamewazidi kete?

    Habari wakuu, Inasikitisha na kutia hasira kuona tumefikia huku na tunasema kila siku jeshi letu ni kiboko. Kweli Panya Road ndiyo wameshindikana kiasi hiki mpaka kufikia mtu anapoteza uhai na nyie mpo?! Ama huu ni mchongo wa mtu unaoibuliwa kila akitaka kupata maslahi yake anayoyajua...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Askari aliyeonekana akichukua rushwa alishafukuzwa

    JESHI la Polisi nchini limesema video fupi inayoonekana ikisambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonesha askari polisi akichukua fedha kwa raia wa kigeni, tayari ilishughulikiwa na askari huyo amefukuzwa kazi. Akitoa ufafanuzi huo leo Septemba 14, 2022, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishina...
  15. JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Vitendo vya Uhalifu. Rais wangu Samia acha polisi wafanye kazi

    Hivi karibuni kumetokea kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu hasa katika jiji la Dar es Salaam. Leo hii kwenye taarifa ya habari imetangazwa kuwa wahalifu hawa wameua mtu mmoja eneo la Kawe. Haya yanatokea kukiwa kumemalizika kikao cha wakuu wa polisi ambapo Rais Samia aliwaeleza mambo mengi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Rushwa Polisi ni mkubwa sana

    Nashukuru Raisi ameunda kamati maalumu ukweli ni kwamba utamaduni wa rushwa ni mkubwa sana Polisi
  17. JamiiForums Tanzania Panya Road 116 wanaotumia silaha za jadi wakamatwa Dar es Salaam katika msako wa siku 3

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na jitihada za kuzuia uhalifu na kufanya misako mikali ya kuwafuatilia wahalifu mbalimbali wa makosa ya jinai. Tarehe 12 Septemba 2022 majira ya saa 22:40 huko maeneo ya Mwasonga limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya rifle iliyokatwa...
  18. JamiiForums Tanzania IGP Wambura afanya mabadiliko mengine ya Makamanda wa Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu ya Polisi Dodoma na nafasi...
  19. JamiiForums Tanzania Mtoto adaiwa kufia mikononi mwa polisi Mwanza

    Yahaya Aboubakar Familia ya kijana Yahaya Aboubakar, aliyeuawa mikononi mwa polisi yaomba haki itendeke kwa waliohusika na mauaji hayo. Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi wabanwa, wakiri madai ya kuhusishwa na Mauaji, waamua Kujichunguza

    Wananchi Walitetea Jeshi,wataka wazazi Kutolinda Wahalifu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…