polisi

  1. JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Hatutaki Polisi Jamii ( Shirikishi ) wawe wanashinda Vituo vya Polisi kwani huwa Wanatuharibia sana

    "Kama kuna Kitu ambacho Jeshi la Polisi hatupendi na hatukipendi ni kuona/ kuwaona hawa Polisi Shirikishi (Polisi Jamii) Kutwa wanashinda Vituo vya Polisi. Kisheria na Kiutaratibu wao wanatakiwa wakae tu katika Ofisi za Serikali za Mitaa au za Watendaji na Polisi tukiwahitaji tutawaita ila...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanafunzi wa darasa la 6 adaiwa kubakwa na watu watatu; abeba mimba. Polisi wadaiwa kuhaha kuficha ukweli

    Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na watu watatu katika nyakati tatu tofauti. Hapa ninavyoandika mistari hii huyo binti haendi shule tena...
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dar es Salaam latoa angalizo kwa wanaotaka kufanya uhalifu wakati wa Pasaka

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ya kuzuia matukio ya kihalifu, kwa ujumla hali ya Dar es Salaam ni shwari. Hata hivyo Polisi hawatasita kuendelea kufuatilia na kuwakamata watu wanaopanga njama na kutenda matendo ambayo ni kinyume na sheria...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Majaji wastaafu wataka mahakama ichunguze vifo tata Polisi, Gerezani

    Wakati matukio ya watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi, gerezani yakiibua sintofahamu, Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), kimependekeza kurudishwa kwa utaratibu wa mahakama kuwa ndio chombo kitakachochunguza vifo vyote vyenye utata. Chama hicho kimesema huko nyuma mtu akifariki gerezani, kituo...
  5. JamiiForums Tanzania Walimu na Askari Polisi mnajidharirisha sana

    Zamani nilikuwa najua kuwa walimu ni kioo Cha jamii,kumbe nilikuwa najidanganya huenda ni kwasababu nilikuwa mtoto kipindi hicho au kwasababu walikuwa watu wa karibu yangu kwasababu nilikuwa mwanafunzi na niliwachukulia kama watu waliofanikiwa zaidi katika jamii. Leo nashuhudia mengi kutoka...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mbeya lawataka Bodaboda kushiriki mafunzo ya udereva

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amewataka madereva Bodaboda wa Jijini Mbeya kushiriki mafunzo ya udereva katika vyuo vilivyosajili na kutambulika kisheria na kuhitimu ili waweze kupata leseni ya udereva. Ameyasema hayo Aprili 03, 2023 katika kikao kazi cha uongozi wa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwani polisi wanafeli wapi mpaka tuanze kulipa hela ya sungu sungu

    Nagongewa mlango kufungua wadau wanataka Hela ya ulinzi shirikidhi a.k.a sungusungu,na juzi wakati narudi usiku waliwweka limiti ya mtu kutembea usiku,hii SI sawa ,polisi wafanye majukumu Yao, ninalipa Kodi, haiwezekani kwenye nchi ambayo tunalipa Kodi zetu washindwe kudumisha usalama wetu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuanzia IGP Harun Mahundi aondoke Polisi imekuwa mafia

    Mimi ni mtoto wa Polisi na mzee wangu alikuwa mkubwa sana kwa miaka mingi kwenye jeshi hili. Kuanzia IGP harun mahundi aondoke 1996 Polisi imegeuzwa genge la wahuni na mafia. IGP Mahita ndiye aliye anzisha genge la umafia Polisi na viongozi wa serikali wamekuwa wakifumbia macho makusudi...
  9. JamiiForums Tanzania Simiyu: Polisi yatoa taarifa rasmi juu ya tukio la mwili wa mtu kuokotwa, yasema amenyogwa na waya

  10. JamiiForums Tanzania Kigogo polisi adaiwa kukimbia na Sh4.8 bilioni za ‘mazishi’

    Nani waliochota mabilioni haya. Hili ndilo swali ambalo wengi wanajiuliza baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kubaini ufisadi wa Sh4.8 bilioni za mfuko wa kufa na kuzikana ndani ya Jeshi la Polisi nchini. Awali, ufisadi huu uliibuliwa na gazeti la Mwananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Tarime: Askari Polisi ashikiliwa akidaiwa kumuua dereva bodaboda kwa risasi, RPC asema Askari anastahili kuwajibika

    Jeshi la Polisi linamshikilia askari wake mwenye utambulisho wa H 4489 PC Kululetela, kutokana na kosa la kumfyatulia risasi iliyomjeruhi hadi kumsababishia mauti mwendesha bodaboda, Ng'ondi Marwa (22), mkazi wa mjini Tarime. Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) wa Polisi Tarime Rorya, ACP Geofrey...
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mambo wanaofanya Polisi wa Chato ni ovyo kabisa

    Mambo ya Hovyo Kabisa, hao Polisi wa Chato wana mambo meusi sana. Kuna uyo Mmoja anaitwa anakuaga amelewa mpaka muda wa Kazi, anatesa sanaa mahabusu, anawavuaga nguo wanabaki uchi anawapiga kama Ngoma! Anawamwagia maji baridi na vipigo vya hovyo.
  13. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, weledi wenu hauishii kwenye kubeba Bunduki bali mpaka kwenye Kulinda haki za Watuhumiwa huko Mahabusu kwenu

    Mtu kua Mtuhumiwa, hakumfanyi kupoteza Haki zake za Msingi za Kibinadamu. Ifike Mahali habari za Mtuhumiwa Kufia mikononi mwao Polisi zikome Mara Moja. Hizi porojo porojo za Mara alipoenda kutuonyesha Silaha, ghafla akataka kukimbia, Mara alipoenda kutuonyesha Silaha, mara akampokonya askari...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi watakiwa kujiandaa kwa mikusanyiko ya wafuasi wa Trump

    Polisi wa New York (NYPD) wametakiwa kuwa tayari kwa lolote linaloweza kutokea kutokana na taarifa za Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kushtakiwa. Kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa za wafuasi wa Trump kuingia mtaani kupinga mashtaka atakayofunguliwa. Trump amefunguliwa...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Sitaacha!" Eric Omondi anasema baada ya kuachiwa kutoka kizuizini na polisi

    Mchekeshaji Eric Omondi amesema kwamba kuachiwa kwake kulihakikishwa na mfanyabiashara Gor Semelang'o, ambaye alimdhamini kituo cha polisi. Mchekeshaji Eric Omondi ameachiliwa kutoka Kituo cha Polisi cha Central Nairobi ambapo alikuwa amezuiliwa baada ya kukamatwa Jumatatu alasiri. Omondi...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi yatangaza kuwakamata watuhumiwa 87 Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

    Jeshi la Polisi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Njombe, Mbeya na Iringa, kwa kipindi cha kuanzia Machi 12, 2023 hadi Machi 23, 2023 limefanikiwa kukamata watuhumiwa 87 wa matukio mbalimbali ya uhalifu yakiwemo, unyanganyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, kuvunja ofisi usiku...
  17. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mbeya ACP Kuzaga afunga "Polisi Jamii Interclasses Super Cup"

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamini Kuzaga Machi 25, 2023 huko katika Kata ya Kisiba iliyopo halmashauri ya Busokelo, Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya alifunga mashindano ya mpira wa miguu na ngoma za asili yaliyojulikana kama "POLISI JAMII INTERCLASSES SUPER CUP 2023" Akifunga...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Waislamu wadai ni dhihaka IGP kupiga marufuku maandamano yaliyoruhusiwa na Katiba

    Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na kusema maandamano yaliyopangwa na Azimio yamepigwa marufuku kwa kiburi. MUHURI imemkumbusha IG...
  19. JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Polisi wa Tanzania kama Ulaya. Adai wanaweza kusubiri umalize kazi zako ndio wakukamate

    Mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anasema kuwa polisi wa Tanzania wanapitia kwenye mafunzo ya kufundishwa utu kwa wananchi hata wakitaka kuja kukukamata lazima waombe Kwanza na wakikuta upo na kazi watakusubiri mpaka umalize ndipo wakuchukue. Polisi wa Tanzania ni Kama wa ya Ulaya...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi: Ruksa kumrekodi Trafiki anayechukua Rushwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua rushwa kwa madereva na kisha kumtumia ili awashughulikie. Kamanda Jongo amesema hayo leo wakati akizungumuza na madereva, abiria na mawakala wa vyombo vya usafiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…