polisi

  1. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Polisi mbona mnatoa maswali magumu sana mnapokuwa active suala linalohusu CHADEMA

    Wakuu, Najiuliza mbona polisi wapo active sana linapokuja suala la CHADEMA au suala linalohusu CHADEMA, ila kuhusu utekaji unaoendelea na watu kupotea na mbaya zaidi kuchafuliwa jina lao na taasisi kwa ujumla maana watekaji wanajitambulisha kama polisi hapo wameweka flight mode kabsa. Kwamba...
  2. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Wachokonozi watuma Ujumbe kwa Rais Samia na Jeshi la Polisi

    Rais Samia, Jeshi la polisi pamoja na watekaji kuna ujumbe wenu hapa toka kwa WACHOKONOZI. https://youtu.be/51JvA4Kv3nY?si=-ci71dg-gP5igOcr
  3. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Polisi Wanauza Kamba ya Mtu aliyejinyongea Gharama sana?

    Katika pitapita zangu vijiweni nilikutana na hii mada kwamba, kamba ya mtu aliyejinyongea ni dili sana kwa Polisi. Mara nyingi mtu akijiua kwa kujinyonga huwa hatolewi hadi polisi wafike wao ndio wanamtoa na kuondoka nae pamoja na dhana zake zote. Sasa kijiweni nikiambiwa ile kamba raia uwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muandamanaji wa Kike adakwa na Polisi Magomeni akifanya maombi

    Tukio la mmoja ya waandamanaji wa kike ambaye jina lake halijafahamika, akamatwa na Polisi alipokuwa akifanya maombi, eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam. Septemba 11, 2024 Mwenyekiti wa Chadema, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na kuuawa, akiwemo...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Watanzania hawataki maandamano, na sidhani kama polisi wanaweza kuzuia maandamano yenye tija kwa taifa

    Chanzo cha matatizo yote ni katiba mbovu tuliyonayo haya mengine kwa sasa yanategemea sana busara za kiongozi mkuu wa nchi. Ukiandaa maandamano ndani yake kukawa na Samia Must GO ndani ya kuomba haki tayari kuna dalili za uvunjifu wa katiba hii hii mbovu tunayo itumia ,kwa hapa huwezi walaumu...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA: Lissu kwenda kuripoti Ofisi ya RCO Kinondoni asubuhi hii

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema asubuhi hii (leo, Jumatatu Septemba 23, 2024) amefuatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi nyumbani kwake, na kuelezwa kuwa anahitajika kuripoti kwa RCO wa mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam, ambapo amesema yuko tayari kwenda kuitikia wito huo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Polisi mnateketeza Tanganyika yenu na watoto wenu na wajukuu wenu na uzao wote wa Tanganyika

    Mnakubali kuiingiza Tanganyika kwenye maafa wakati Zanzibar iko shwari? Tafakari mnachokifanya ni kwa manufaa ya ani? Tanganyika au Zanzibar?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Siku nyingine tena, 23/9/2024, Mbowe et al should not be killed. Polisi msiue watu!

    Natoa rai kwa polisi , msiue watu! Msiue watu please! Rais Samia, usiue watu, epusha kumwaga damu ya watu wasio na hatia!
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi wafanya doria Mtwara, wasema ipo salama!

    Leo Tarehe 22 Septemba 2024, Askari Polisi wa Mkoa wa Mtwara walifanya doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo ili kuimarisha usalama na kuhakikisha raia wanaendelea kuishi kwa amani. Picha hiyo imechapishwa katika mtandao wa X (zamani Twitter) wa Jeshi la Polisi Tanzania [@tanpol ]...
  10. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kwanini watawala na CCM wanaogopa Maandamano kama polisi watayasimamia?

    Maandamano ni njia muhimu ya kuonyesha hisia na mawazo ya wananchi kuhusu masuala mbalimbali yanayoathiri maisha yao. Inapotokea hali ya kutokubaliana kati ya wananchi na watawala, maandamano yanaweza kuwa jukwaa la kuwasilisha malalamiko na kudai mabadiliko. Hata hivyo, wapo wanaoshawishi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni aongoza ujumbe kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia. Hiyo ni sehemu ya ziara ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika utendaji kazi wa idara hizo katika masuala ya Usalama ikiwemo...
  12. shamimuodd

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe itisha harambee tuwachangie polisi watakalinda maandamano kesho 23 Septemba 2024

    GTs, Kama tunavyoelewa kesho ni siku kubwa sana hapa Tanzania. Nina wazo; Kwa sababu siku zote serikali imekuwa ikiwanyonya askari polisi wanajikuta wana misongo ya mawazo na kukosa uzalendo. Iko hivi serikalini posho siku hizi ni 150,000 wanavyodai wao kwa watu wasiokuwa na cheo. Naamini hao...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hii nguvu kubwa sana inayotumika na Jeshi la Polisi kuzima maandamano ya CHADEMA, nguvu hiyo hiyo ingetumika, bado tungekuwa hatujawapata akina Soka?

    Watanzania wote tunashuhudia jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga katika kuzima maandamano ya amani yaliyoandaliwa na CHADEMA hapo kesho. Tunashuhudia askari wengi sana wakimwagwa mitaani, huku wakiwa na magari ya washawasha, wakirandaranda na farasi, wengine hata wakiwa wamebeba na silaha za...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

    John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona Polisi wakisindikiza maandamano ya CHADEMA badala ya kuyaingilia

    Moja ya mbinu ya CCM ni kutumia propaganda kuharibu mipango ya CHADEMA na hata kwenye maandamano wamekuwa na hiyo tabia lengo ni kuhakikisha maandamano hayafanikiwi.. Kwa msingi huo, hata hawa Polisi tunaoambiwa wamesambaa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, huenda lengo kuu ni kutisha...
  17. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nimepishana na msafara mkubwa wa magari ya polisi hapa Kibaha, uelekeo wao ni Dar Es Salaam

    Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar. Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
  18. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawawaaminii polisi halafu wanawaomba polisi kulinda maandamano yao?

  19. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania Polisi wanaozunguka na magari hapa mjini wanamtisha nani..!?

    Kuelekea maandamano ya CHADEMA siku ya jumatatu 23.09.2024 kuanzia majira ya saa moja kamili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni. Polisi wanaweweseka kuzurula na magari yao kwenye baadhi ya njia kuu hapa mjini na kumaliza mafuta ambayo wangetumia kusaidia changamoto za utekaji wa watu nchini...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Intelejensia: CHADEMA wamewatega polisi, wamejazana Dar na sasa wanapaswa kulinda maandamano ya amani 23/09

    Barua hii ya tarehe 20 Septemba 2024 inayotajwa kupelekwa polisi mikoa ya Ilala na Kinondoni ni dhahiri imeonesha namna chama hiko wanavyozichanga vyema karata kuelekea maandamano ya 23 Septemba 2024. Tumeshuhudia mrundikano wa polisi kutoka mikoani kuletwa Dar kudhibiti maandamano haya...
Back
Top Bottom