polisi

  1. econonist

    JamiiForums Tanzania Polisi 10 wauawa Iran baada ya shambulio huko Sistan, Iran.

    Washambuliaji wenye silaha waliwavamia na kubadilishana risasi na vikosi viwili vya doria ya polisi katika jimbo la Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran, siku ya Jumamosi, na kuua maafisa wa polisi wasiopungua 10. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran, Eskandar Momeni, ameagiza uchunguzi...
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Kituo cha Polisi na Polisi kuwa Chombo cha Usuluhishi wa migogoro ya kijamii?

    Kum-radhi kama bandiko langu litakuwa na maana/maudhui ya tofauti na kuhitaji kufahamishwa na kuelimishwa. Ni mimi wako UWESUTANZANIA. Katika jamii nyingi na maeneo tofauti tofauti hapa nchini kwetu kumekuwa na desturi ya watu kukimbilia polisi na polisi kupokea na kusikiliza kesi hata...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Ndoo sio choo, tusubirie utekelezaji wake

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Magereza kuchukua hatua zinazowezekana kwa kutumia rasiliamli zilizopo, kuondoa dhana ya kudhalilisha utu na kukiuka haki za binadamu kwa wafungwa. https://youtu.be/u-0S0jmUsuQ?si=lWVDbgKVZmI5KlP6...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi yakiri changamoto za Mikopo Mtandaoni, TCRA yajiweka kando yasema "haituhusu"

    UCHUNGUZI wa Nipashe umebaini baadhi ya namba za simu zinazotumika kudhalilisha wakopaji hazina utambulisho wa Tanzania, yaani ZIP CODE +255. Katika ufuatiliaji wake, mwandishi alibaini kuwa kwa siku mtu mmoja anaweza kupigiwa simu na watu 10 tofauti wakizungumza jambo tofauti juu ya mkopo...
  5. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Haya magari yote ya polisi yanatafuta Nini uwanjani

    Leo kulikuwa na mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba katika dimba la Sokoine. Kitu Cha tofauti katika uwanja huo na viwanja vingine ni kuwa utaratibu wa Sokoine stadium magari yanaruhusiwa kuingia ndani ya uwanja Tazama magari hayo ya polisi yalivyo mengi. Hivi hawawezi...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Adai kuvunjwa na Mkuu wa Kituo cha Polisi Makeke kisa Mwanamke

    Levis Gervas Mahenge mkazi wa Ngiu Halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe ameiomba serikali kuingilia kati ili kupata matibabu kutokana na majeraha pamoja na kuvunjika kwa mkono baada ya kudaiwa kupigwa na mkuu wa kituo cha Polisi Makete Mjini kilichopo wilaya ya Makete kwa madai ya kutoa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa RC Makonda kuboresha makao makuu ya polisi Arusha

    Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe. Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC) Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha. Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Uhalifu Kawe na Mbezi Beach Mamlaka za Usalama chukueni hatua

    Jeshi la Polisi Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu. Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
  9. bjhjhj

    JamiiForums Tanzania KERO Nimeomba clearence certificate polisi, mwezi wa nne sijapewa

    Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madereva Taksi Mtandao (Bolt) wagoma, wataka ongezeko la nauli, Polisi waingilia kati

    Mgomo mkubwa wa madereva wa taksi mtandao za mtandaoni za kampuni ya Bolt leo Oktoba 15,2024, mpaka yalipo makao makuu ya kampuni hiyo eneo la Morocco Kinondoni, wakishinikiza ongezeko la nauli. Madereva wa Bolt wameandika malalamiko kuhusu ongezeko la makato ya kamisheni kutoka asilimia 15...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi yamshikilia Jaina Mchomvu kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa Miaka 12 kisha kuficha mwili wake uvunguni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa kwa Mrombo katika Halmashauri ya Jijini la Arusha aliyekutwa ameuawa huku mwili wake ukiwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha wataja njia zitakazotumika katika Tamasha la Land Rover, usalama waimarishwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia kikosi cha Usalama Barabarani wametaja barabara zitakazotumika katika tamasha la Landrover litakaloanza kuanzia Oktoba 12, 2024 Mkoani Arusha huku likisema limejipanga vyema kuhakikisha linafanyika kwa amani na utulivu. Akitaja njia hizo Mkuu wa Kikosi cha...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, kosa la mume polisi kumpiga mke ili aonyeshe mumewe alipo?

    Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama anasita kueleza alipo mumewe, Askari wa kike akatoka kwenye gari na kumnasa makofi huyo mke wa...
  14. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Sativa alipia matangazo Instagram kuanika uchafu wa Jeshi la Polisi

    Edgar Mwakabela maarufu kama Sativa ambaye ni muhanga wa matukio ya utekaji, leo hii amelipia matangazo ya Instagram ili kuanika uhalifu unaofanywa baadhi ya askari wa jeshi la polisi. Haya ameyaeleza Sativa katika ukurasa wake wa Twitter (X) leo tarehe 06/10/2024, ambapo ametenga bajeti ya...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Baadhi ya Matendo Polisi hawahusiki. Ulinzi wako sharti ujilinde mwenyewe

    Mheshimiwa waziri mkuu kuna tukio limetokea hapa mwezi uliopita kuna bwana mmoja alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mama mmoja katika kugombana kwao yule bwana kamdanganya yule mama kamchukua akaenda kumchinja na baada ya kuona haitoshi akamcharanga vipande na akaenda kutupa viungo sehemu...
  16. nipo online

    JamiiForums Tanzania Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

    Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa, Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je, nachomokaje katika hili...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Polisi: Msamaha wa kutoshtakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume cha sheria walioanza kusalimisha silaha kuanzia Sept 1 - Okt 31

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa rasmi kuhusu operesheni mbalimbali zilizofanyika katika kipindi cha hivi karibuni. Taarifa hiyo inatoa muhtasari wa hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo katika kudhibiti uhalifu na kuhakikisha usalama wa raia. Katika taarifa hiyo, Jeshi la Polisi...
  18. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Polisi wazuiliwa kuingia na Miili isiyojulikana Mochwari Jijini Nairobi

    Maafisa wa polisi walizuiliwa kuingiza miili isiyojulikana katika Makaburi ya Jiji la Nairobi kufuatia mvutano kati ya serikali ya Kaunti ya Nairobi na Huduma ya Polisi ya Kitaifa (NPS) Kulingana na serikali ya kaunti, hakuna nafasi katika mochuari hiyo wakidai imejaa, na ina uwezo wa kujaza...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wa Afrika huwa wanabeba bunduki kubwa/ mitutu/ rifles badala ya bastola?

    Karibu nchi zote za Africa polisi wanabeba mitutu/ rifles tofauti na nchi nyingi za Magharibi wakoloni wao ambao polisi wao wanatumia bastola zaidi. Hii imesababishwa na gharama za bastola au ufanisi wa mitutu?
  20. L

    JamiiForums Tanzania Tanga: Polisi yawakamata na kuwashikilia Watu Sita kwa tuhuma za mauaji ya Watu Watatu waliokufa kwa kuchomwa Moto Msituni

Back
Top Bottom