polisi

  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Nadharia (Technical): Kilichotokea mpaka akauti nyingi zikadukuliwa

    Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube. 1. Mitandao hii miwili ya X na youtube inarusu third party app kustream. Mfano nataka kuweka tukio...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wabunge, polisi, na mamlaka zote mmekataa haki mmeamuwa kufuata njia yenu mtegemee hivyo vyeo vyenu kupewa ndugu wa raisi kama museven alavyofanya

    Wabunge, polisi, na mamlaka zote mmekataa haki mmeamuwa kufuata njia yenu mtegemee hivyo vyeo mlivyonavyo kupewa ndugu wa raisi kama museven alavyofanya. Hatukupaswa kufanya kosa kubwa sana la kuondoa haki kama hakuna haki hata nyinyi hamtopata haki baadae endapo mtabadirisha nchi kwa kuunga...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi

    Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi 👇👇👇👇👇👇👇👇 Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wa Polisi X (Twitter)

    Hiki ni kituko! Ukisikia mbwa kala mbwa ndio hii sasa🤣🤣 mambo yamekuwa moto taratibu tutaelewana. Sasa wanamsaka nani wakati page yao ndio imesambaza taarifa hizo za upotoshaji?:KEKLaugh::KEKLaugh::BearLaugh: Nataarifa hii imetoka hapo hapo, sa tunajuaje kama na hii sio ya kwao? Ila majirani...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru nchini umepitiliza mipaka mpaka akina Heche wanatukana Polisi na Wanaharakati wakivuka mipaka kuja kuleta uchochezi nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Lema na heche kuwananga polisi wanaolinda mmikutano yao ikemewe!

    Kuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu. Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu

    Kuna ambao hapa wanasema kila siku tunataka nchi ya amani na kufuata sheria sasa je watekaji wanafuata sheria Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu? hiyo ya juzi https://youtu.be/kIxFCHt9t1A?si=bxFkzJxgjLraKtI7
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuelewa ina maana hii kesi ya lissu na polisi wamepata vifaa vyipya.

    Hapa kisutu mpaka askari magereza wamependeza kwa nguo mpya utazani sikukuu ya idd na xmass ilivyo.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwa ulinzi huu, polisi mnamtabiria Nini Tundu Lissu?

    Salaam! Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni! Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa...
  10. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae

    Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae. Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
  11. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania MFANYABIASHARA ALIA NA POLISI ARUSHA KUKATAA KUFUNGUA KESI,ADAI KUDHULUMIWA MAGARI NA MDOGO WA MBUNGE

    MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linapenda kutoa taarifa kuwa leo tarehe 15.05.2025 majira ya saa nne asubuhi huko mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana, limemkamata na linaendelea kumhoji Diana Edward Bundala ambaye pia hujitambulisha kwa jina la Mfalme Zumaridi, miaka 42, mkazi...
  13. Curtiz

    JamiiForums Tanzania Amshambulia ofisa wa polisi ubalozi wa marekani na kutaka kupora silaha

    Wanajamvi kama kichwa kilivo. Nimeitoa huko mtandao wa us embassy hapa Tanzania. Kuna mkulungwa alimshambulia askari polisi anayelinda ubalozi wa US pale msasani na kutaka kupora bunduki. Lakini alishindwa na wakamdhibiti bila madhara yoyote makubwa kuripotiwa. == Tarehe: 15 Mei, 2025 Mahali...
  14. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

    Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana. Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama. Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tu !.Sio kwa ubaya ina maana wastaafu Polisi baada ya kufainikisha 2025 CCM inapita kwa haya mtakuwa na malipo makubwa au nafasi kubwa

    Sina ubaya na polisi wetu ila kuna wengine naona washapewa maziwa na asali. Haya ambayo hata mwano wa milambo tabora waliofukuzwa anaweza kukubari mzazi wake au ni pesa. Yani pesa mnazo zitaka,damu za watu pamoja kulinda wao ina maana juice ya pasheni inatakiwa kuwa na limao sana. Kwa dunia...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kiki za Polisi zinazuia Agenda za CCM

    Polisi ya Tanzania inataka kuonekana kwenye media ikiwaadhibu Chadema wakifikiri wanawasaidia. Kibaya ni kwamba hakuna chochote na agenda yeyote inayosikika maana kila siku ni mashindano sio tena ya CCM na vyama bali vyombo vyote na Chadema. Msajili naye amejiingiza kwenye kiki maana wanajua...
  18. K

    JamiiForums Tanzania No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA

    Tetesi: No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA Hii ni kama ile ya Makonda
  19. R

    JamiiForums Tanzania Polisi tendeni haki, siku moja mkamateni Wasira au Nchimbi na kumweka ndani Ili kubalance mizania!

    Sasa! Imeshakuwa kawaida, polisi wa kawaida tu Cheo Cha chini, utasikia amemkamata na kumweka ndani Makamo mwenyekiti wa chama Cha upinzani CDM,kwa sababu sizoeleweka, Leo imeripotiwa kiongozi mkubwa wa chama CHADEMA ,Amani Golugwa kakamatwa na polisi airport, na imedaiwa kapigwa pia ,ukiuliza...
  20. toriyama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa ya kukamatwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, Mhe. Amani Golugwa, usiku wa kuamkia Jumanne, Mei 13, 2025, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Pia Soma: Jeshi la...
Back
Top Bottom