polisi

  1. KING MIDAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Akamatwa kwa kuanzisha kituo cha polisi bandia

    Polisi nchini Kenya wameanza uchunguzi kufuatia kukamatwa kwa Collins Leitich, anayejulikana pia kama Chepkulei, kwa tuhuma za kuanzisha kituo cha polisi bandia bila idhini ya Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS). Inadaiwa kuwa Leitich alipaka jengo hilo rangi rasmi za polisi, akilifanya lionekane...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Zile pikipiki zilizopo kwenye vituo vya polisi ziwepo na ukomo wa kukaa

    Leo nilikuwa nakimbizana na wapendwa kadhaa kuwasaidia baadhi ya vituon waliivyopelekwa Ktkt pita pita Yangu nimeona vituon vimejaaza pikipik mpaka unashangaa Na zingine zinaozea vituoniiii TUNAOMBA tu kama USHAURI hixipikpik pale OFISIN hazileti picha nzuri LA kufanya muwe na mda kadhaa...
  3. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania IGP tunaomba upige marufuku tabia ya polisi kuvaa mask bila sababu yoyote

    Siku hizi imeibuka tabia ya baadhi ya askari polisi kuvaa kininja na wengine kuvaa mask pasipo sababu ya msingi. Wengine wanavaa shingoni vile vitambaa kama vya masheikh/ waarab (kama alivyopenda kuvaa hayati Yassir Arafat). Askari wengi wanaopenda kuvaa hivyo ni wa kikosi cha kutuliza ghasia...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Wanawake wahamasisha Wananchi kutembelea Vivutio vya Utalii

    Afisa Mnadhimu Namba moja wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Makao Makuu, Mrakibu wa Polisi (SP) Suzan Kidiku akieleza namna ambavyo wamepata fursa ya kujifunza na kufurahia Utalii katika hifadhi za taifa ambapo ameziomba Jamii za kifugaji ambazo zinaishi karibu na hifadhi kulinda na...
  5. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Tuisaidie Polisi kuwabaini mabaunsa walioleta vurugu uwanjani

    Kama unajua jina na anapoishi. Huyu anakiri mwenyewe kuwa alishiriki kuwazuia Simba kuingia uwanjani:
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Njombe limepiga marufuku wananchi kuandamana kupinga mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limepiga marufuku wananchi kuandamana baada ya uwepo wa taarifa ya kuhamasisha maandamano inayotajwa kutolewa na Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo wakati wa mazishi ya Atugafile Mtulo (90) aliyepoteza maisha baada ya kupigwa na...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) watoa msaada kwa Kituo cha Wazee Wasiojiweza Njoro

    Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) mkoani Kilimanjaro leo Machi 6, 2025 wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha wazee wasiojiweza Njoro, kilichopo kata ya Mji mpya mkoani hapa. Vitu vilivyotolewa ni mchele kilo 100, unga wa ugali kilo 50, unga wa ngano kilo 50, mafuta ya kula...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nimemshauri mwanangu akimaliza tu masomo awe polisi

    Acheni masihara jamani, polisi wanaishi kwa raha sana inchi hii, Nimeipenda sana hii kazi, mwanangu nakuusia tena, ukifuzu tu fanya kazi ya upolisi
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa kituo cha polisi kwa milioni 81 wakamilika Nkinga Tabora

    Wananchi wa Kata ya Nkinga, katika Tarafa ya Simbo, wilayani Igunga, mkoani Tabora, ambao awali walikuwa hawana uhakika wa Kituo cha Polisi na kulazimika kupeleka malalamiko ya uhalifu umbali wa zaidi ya kilomita 80 wilayani Igunga, adha hiyo imeisha baada ya kituo kipya cha polisi kilicho...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Gulamali Ahimiza Ushirikiano Kati ya Wananchi na Jeshi la Polisi

    MBUNGE GULAMALI AHIMIZA USHIRIKIANO KATI YA WANANCHI NA JESHI LA POLISI UFUNGUZI WA KITUO CHA POLISI NKINGA, WILAYA YA IGUNGA Tarehe: 28 Februari 2025 📍 Mahali: Nkinga, Wilaya ya Igunga – Mkoa wa Tabora Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mheshimiwa Seif Khamis Gulamali, ameungana na wananchi wa...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kila unapoiona defender ya polisi inakuja usawa wako unaanza kujiwazia hivi kuna issue gani labda umezingua😂

    Unaanza kukumbaka mara ya mwisho kijiweni uliongea nini controversial, JF ulipost nini controversial, kitu gani umenunua kutoka kwa mtu labda ni cha wizi, 😂
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu, ACT, Ado Shaibu: Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi

    Kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tulikamata watu kadhaa wenye kura feki ikiwemo Polisi. Hakuna aliyechuliwa hatua. Hakuna hata faili la uchunguzi lililofunguliwa. Kwa ukimya wake juu ya jambo hili IGP anatuma ujumbe kuwa Polisi wanashiriki wizi wa kura" Ado Shaibu, Katibu Mkuu, ACT Wazalendo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Polisi, Jeshi na usalama tendeni haki kwa manufaa ya taifa!

    Polisi, Jeshi na usalama tendeni haki kwa manufaa ya taifa. Kama kweli mnapenda taifa hili simamieni haki na demokrasia. Waachieni Watanzania wachague watu wao kwa matakwa yao. Msiwaibie kura mafisadi. Jeshi jiulizeni vizuri wenzenu wamekufa huko Congo Je ni lini hao wanasiasa wamewaongelea...
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kama machafuko yatakuja kutokea Venezuela na damu kumwagika wakulaumiwa ni jeshi la polisi ! Polisi haijulikani ni jeshi au kikundi cha kisiasa

    Ninamashaka makubwa na sera za polisi hapa Venezuela hasa kutoka makao makuu ya jeshi Hilo hapa mjini Colombo kama linalinda raia na mali zao ama lipo kupambana na wanasiasa ! Polisi hapa mjini Colombo kwa sasa linapambana na kauli za mapambano ya wanasiasa hasa kipindi hiki ambacho mabondia...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

    Licha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tangazo linaloeleza kuwa haihusiki na jambo lolote linalohusu Kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL) ambayo inavyoonekana kilio chetu ni cha Watu wengi, lakini nimeamua kuandika hapa kwa kuwa najua kuna wenzetu ambao wana msongo wa mawazo...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga vituo vya polisi Ilala kuimarisha usalama

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema serikali itaendelea kusimamia na kutekeleza maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu ujenzi wa vituo vya polisi ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Mpogolo amepongeza hatua za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Wanawake wawili wakimbilia polisi baada ya kutolewa mapepo kwa kuchapwa viboko

    Waumini wawili wanawake, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30) kwa sasa wanauguza majeraha baada ya kutandikwa viboko na mchungaji wao, aliyedai kuwatoa mapepo kwa njia hiyo. Kwa mujibu wa tovuti ya Tuko, tukio hilo limetokea kwenye Kanisa la Betheli katika eneo la Kapkwen, Kaunti ya Bomet...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Nilivyojikuta Kituo cha Polisi baada ya kumsajilia Mtu Line ya simu

    Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala wanaozungukaga mitaani, kipindi hicho niko Arusha yeye akaenda kufanya mishe zake Morogoro Baada ya miezi...
  20. Soul21

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa heshima, Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu, Dar es Salaam. Mpendwa Kiongozi, Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu katika kujadili suala la ulinzi na usalama nchini Tanzania. Kwanza kabisa, napenda kuwapongeza kwa...
Back
Top Bottom