polisi

  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Je, hii ina maana trafic polisi huwa wanatuonea barabarani?

    Nimeona hii ninayoonyesha ya "CAREFULLY OVERTAKE" mara nyingi traffic polisi wanatutia hatiani kuwa tumeovertake kwenye restricted zone, je hii alama ya carefully overtake kwa Tanzania ina tofauti na mataifa mengine?
  2. M

    JamiiForums Tanzania KWENYE KAZI ZA POLISI MWENYE KUJUA HILI ANISAIDIE

    Hapo nmekwama na sjui lakufanya
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Pwani: Watu wasiojulikana wakidaiwa kuwa ni polisi wabomoa nyumba na kuchoma moto mali za wananchi wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo

    Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo. Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
  4. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira za polisi mwaka huu una shida gan?

    Shalom Nafas za ajira zimetoka mfumo waliouweka ni kama pata potea namba yangu mwenyewe ya form four necta inagomewa. Hapo nimetoka kuhangaika nao sana kufungua akaunt mana password nimeiweka mm mwenyewe mchana kweupe na akili zangu zote kichwani na iligoma. Mpaka muda huu niko kwa mganga simu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

    Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
  6. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini au nizingatie Nini ili kujiepusha na kesi za mahakamani na purukushani za polisi?

    Binafsi ni muoga sana wa masuala ya mahakama najua yanaweza kupoteza muda na fedha pia, lakini pia kupoteza dira ya maisha kwa ujumla. Sasa basi nizingatie mambo gani ili nisije kujikuta kwenye hatia yoyote ya mahakamani au polisi. Ahsante sana.
  7. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maiti ya Polisi wa Kenya yadhalilishwa baada ya kuuawa na gangs wa Haiti

    Chanzo: https://x.com/Darrenvickmell/status/1904837433637695607?t=D_cvUfRD4yeI98DSPU1TtA&s=19 Huku William Ruto akiwa ameficha commission yake aliyopewa baada ya kukubali kupeleka Polisi nchini Haiti, haya ndiyo yanaendelea.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwananchi Amshukuru Mkaguzi wa Polisi kwa Msaada wa matibabu, amuomba tena Msaada huo

    Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Genuine Kimario amepokea shukrani kutoka kwa mwananchi wa kata yake Emmanuel Bhoke Jackson baada ya kufanikisha huduma za awali katika hospitali ya Kanda Bugando iliyopo Jijini Mwanza. kutokana na...
  9. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha hizi za magari ya polisi yana rangi ya kijani

  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wamzuia Heche Kuzungumza na wananchi Mbarali

    Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025, siku ambaye alikuwa na ratiba katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni No Reforms No Election.
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wajitolea kujenga kituo cha polisi ili kudhibiti matukio ya uhalifu

    Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wameonyesha juhudi za kujitolea kujenga kituo cha polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kitakacho saidia kudhibiti matukio ya uhalifu pamoja na kuchukua hatua stahiki kwa wahalifu hao. Kauli hiyo imetolewa na wananchi hao...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Picha: Kamanda wa Polisi Dar, SACP Jumanne Muliro aandaa Iftar kujenga umoja na mshikamano

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo hapa

    Habari Kwa wanaopata changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo tukusaidie kukamilisha maombi Yako 0779448549
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RPC Simiyu tueleze je, PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

    AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!* Na Mzee madiba Simiyu -bariadi. Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu Kuna kitu walichokiita sherehe za miaka minne ya Samia. Hii ni issue iliyoandaliwa na Mkuu wa mkoa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndata (Polisi) SP Awadh Chiko Kifo chake ni cha Kawaida au ni vile vyetu tunavyoviita vya 'Kama Kawaida' ukijaa katika Mifumo ya Watu?

    Kuna moja hiyo Kali nimeisikia tena kutoka kwa 'Mandata' Wenzake wa Kijitonyama alikokuwa akiishi, ila ngoja niuchune.
  16. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kuna Shida Tanesco na Polisi Katika Kuanzisha Maeneo ya Kiutawala ya Kiwilaya na Kimkoa

    Katika muktadha wa utawala wa ndani, kuna masuala kadhaa yanayoibuka hususan kuhusu uundaji wa maeneo ya kiutawala kwa idara kama Tanesco na Jeshi la Polisi. Katika mikoa ya kipolisi, kuna viongozi kama RPC (Kamanda wa Polisi wa Mkoa) na OCD (Kamanda wa Polisi wa Wilaya). Swali muhimu...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Abdurahman Yunusu adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wakiwa na Land Cruiser Geita, majibu ya polisi hayaridhishi

    Familia ya Mariamu Ibrahim Juma, mkazi wa Mtaa wa Uwanja, Kata ya Nyankumbu, Mjini Geita, imeiomba serikali kupitia Jeshi la Polisi kusaidia kumtafuta mtoto wao, Abdurahman Yunusu (24), ambaye ametoweka kwa siku 13 katika mazingira ya kutatanisha. Pia Soma: Mfanyabiashara wa huduma za kifedha...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baada ya Watuhumiwa wawili wa wizi kuuliwa na Wananchi, Polisi Arusha yawaonya wanaojichukulia sheria Mkononi

    Jeshi la Polisi Mkoa watu Arusha limesema kuwa tarehe 13, machi,2025 muda wa saa 12:30 asubuhi huko katika maeneo ya mtaa wa njiro ndogo kata ya sokoni one katika halimashauri ya jiji la Arusha watu wawili wasiofahamika majina wanaume wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 28 walifariki...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba jina la huyu Polisi aliyesema kuwa msizungumze mambo yenu na Wapenzi wenu mkiwa mmelala Mapenzini Kiakili huwa tunakuwa hatupo vizuri

    Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani. Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
  20. KING MIDAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Akamatwa kwa kuanzisha kituo cha polisi bandia

    Polisi nchini Kenya wameanza uchunguzi kufuatia kukamatwa kwa Collins Leitich, anayejulikana pia kama Chepkulei, kwa tuhuma za kuanzisha kituo cha polisi bandia bila idhini ya Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS). Inadaiwa kuwa Leitich alipaka jengo hilo rangi rasmi za polisi, akilifanya lionekane...
Back
Top Bottom