polisi

  1. JanguKamaJangu

    Jeshi la Polisi latoa tamko kuhusu Wahalifu wanaovamia Watu na kuwapora wakiwa wamebaa Baibui

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na kumshambulia mwananchi kwa kutumia silaha. Jeshi la Polisi limewashikilia Vijana 8 kwa tuhuma za...
  2. Waufukweni

    Waliofaulu usaili Jeshi la Polisi kuripoti Moshi Juni 12–14 kwa Mafunzo

    Jeshi la Polisi Tanzania limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga nalo kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kuanzia Juni 12 hadi 14, 2025 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo. Vijana hao, ni wale waliofanya maombi na kufaulu katika usaili uliofanyika katika maeneo mbalimbali nchini. Taarifa ya...
  3. Lyamba lya mfipa

    NAUZA NYUMBA YA KISASA HAPA VIKINDU NYUMA YA MTAA WA POLISI 0673294681

    Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi. Nyumba inavyumba viwili vya kulala vyote master. Ina maji na umeme nimesogeza nguzo na kufanya wiring mwenye uhitaji unipigie/whatsup 0673294681. Ninashida ya pesa nataka niende masomoni nje ya nchi. Bei tsh. 20m mazungumzo yapo
  4. Just Pray

    PreGE2025 Polisi yatoa onyo kali, yasema haitavumilia vurugu uchaguzi mkuu Oktoba

    Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu. Kauli hiyo...
  5. K

    Kuna usalama na Polisi wasiopenda hali hii tunaelekea pazuri

    Ndani ya usalama na Polisi kuna mgawanyiko. Kazi kubwa kwa wazalendo wa ndani ni kuwasomesha wasimamie haki na kuzuia wizi wa kura na waache uchawa. Wakina Gwajima, Lissu na Lema tayari wana watu wao. Kuna wanao weka ukabila hasa wa Gwajima lakini wakiungana wanaweza kuleta jeshi lenye haki.
  6. N

    Jerry Muro tueleze zile pingu ulikamatwa nazo zilikuwa za nini? Je wewe ni polisi?

    Jerry Muro sikupingi wewe kumjibu Gwajima sababu alijitokeza hadharani kuongea aliyoyaongea na kujibiwa ni sawa . Sasa wewe unakuja kumjibu halafu unabagaza hadi viongozi wa nchi hii waliotoa maisha yao kupigania nchi, unasema utekaji ulikuwepo tangu enzi ya mwalimu..Yani unamwingiza baba wa...
  7. Top for B

    Tuone picha ya Chuo alichosoma Mbunge aliwaamuru POLISI kumaliza KENGE

    Sina maneno mengi
  8. Roving Journalist

    Polisi Songwe: Mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki yametokana na wivu wa mapenzi, alituhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
  9. M

    Polisi mpakani Tunduma watia aibu kwa kuwakamata mawakala wa Zambia waliokuwa hawajavaa sare

    Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha...
  10. W

    PreGE2025 Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo

    Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo === "Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi tunashinda nao kila siku yani ambao wamezoea kidogo mambo ya uraia tuna wengine wanafanan na miti na...
  11. GoldDhahabu

    Inawezekana Polisi hawahusiki na utekaji!

    Baada ya kuunganisha nukta, nimepata jibu kuwa huenda Polisi hawahusiki na utekaji nchini 1. Hawahusiki kuteka lakini wanajua utekaji upo! 2. Wanajua mtoa maagizo ya utekaji hivyo hawawezi kuingilia! 3. Wengine wanaumia kwa yanayoendelea lakini hawana la kufanya isipokuwa kuwatii wakubwa!
  12. Vanclassic

    Kuna baadhi ya Polisi wana njaa sana

    Aisee hili taifa Lina polisi njaa sana Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika Nikatoka kwenda kununua duka flan si mbali sana, ile nimepaki piki piki ghafla nikazungukwa na mapolisi wapo 5 huku wawili wameshika bunduki...
  13. Waufukweni

    Hii ni aibu! Gari ya Polisi yanasa kwenye tope msafara wa Waziri wakwama

    Gari ya Polisi iliyokuwa kwenye msafara wa Naibu Waziri wa Mawasiliano na teknolojia ya Habari, Marryprisca Mahundi ikiwa inanasuliwa baada ya kukwama kwenye tope katika kijiji cha Kimala Misale Kata ya Dutumi wilaya ya Kibaha Vijijini, mkoani Pwani kutokana na ubovu wa barabara.
  14. ngara23

    Jeshi la Polisi tokeni hadharani mjisafishe, kuhusu kuteka, kutesa na kutelekeza wanaharakati wa Kenya na Uganda

    Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao. Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda aliteteswa na kutelekezwa mpakani km 30 kutoka border ya Mtukula pia Boniface Mwangi wa Kenya alitelekezwa...
  15. Genius Man

    Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini kama kuku Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?

    Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia. Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
  16. Waufukweni

    Polisi Kenya wakiwa na Silaha wazingira Ubalozi wa Tanzania Nairobi kuzima maandamano ya Wanaharakati kisa Boniface Mwangi kushikiliwa Tanzania

    Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi. Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
  17. Hismastersvoice

    Polisi Trafiki komesheni ajali za wakimbia kwa miguu barabarani

    Polisi Trafiki waelimisheni wanaokimbia au kutembea kwa miguu barabarani watumie upande wa kulia ambao wanatazamana na vyombo vya moto vinavyokuja upande wao. Mara nyingi zimetokea ajali za watembea au wakimbia kwa miguu kugongwa na vyombo vya moto vinavyokuja nyuma yao kutokana na kutoviona.
  18. Replica

    Nadharia (Technical): Kilichotokea mpaka akauti nyingi zikadukuliwa

    Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube. 1. Mitandao hii miwili ya X na youtube inarusu third party app kustream. Mfano nataka kuweka tukio...
  19. Genius Man

    Wabunge, polisi, na mamlaka zote mmekataa haki mmeamuwa kufuata njia yenu mtegemee hivyo vyeo vyenu kupewa ndugu wa raisi kama museven alavyofanya

    Wabunge, polisi, na mamlaka zote mmekataa haki mmeamuwa kufuata njia yenu mtegemee hivyo vyeo mlivyonavyo kupewa ndugu wa raisi kama museven alavyofanya. Hatukupaswa kufanya kosa kubwa sana la kuondoa haki kama hakuna haki hata nyinyi hamtopata haki baadae endapo mtabadirisha nchi kwa kuunga...
  20. Dennis Robert Shughuru

    Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi

    Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi 👇👇👇👇👇👇👇👇 Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...
Back
Top Bottom