Usiku wa kuamkia Leo,
"Polisi wanaodaiwa kuvaa kiraia, walivamia nyumbani kwa Mlinzi wa Mhe. Lissu, ndugu Charles Hangaya (huyu niliyemuwekea alama) maeneo ya Bunju A kisha wakaondoka nae mpaka sasa haijulikani wamempeleka wapi." - Ameandika Hilda kupitia ukarasa wake wa X
Kama kuanzia huyo “Rais” mwenyewe na Ikulu yake wakichapisha chochote mtandaoni wanafunga comments, maana yake Umma umeshinda.
Jeshi la Polisi, Idara, viongozi binafsi na taasisi zote ambazo zinalalamikiwa kwa dhulma na maovu pia wanafunga comments, kuanzia Msemaji wa Serikali hadi akina...
Tunaomba kuwaondolea sifa ya kuajiliwa waandamaji wote waliobainika kuleta vurugu tarehe 29/10/2025.
Hivyo basi utumishi chukueni orodha za waandamanaji kutoka Polisi then zitunzeni kwenye data zenu ili wote walioshawishi/ KUSHIRIKI wizi na uharibifu wa miundombinu na Mali za watu binafsi na...
kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali.
Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
JF
Nieleweshwe, au katiba inawapa mamlaka polisi Kuua .? Hawa waliofanya haya mauaji sijasikia sehem yoyote kuwa wanatafutwa ( tena wengine hawakuwa hata na uniform za polisi ), Lakini Wambura, Mkunda, Mombo na vikosi vyao wako kimya kuhangaika na waandamaji na viongozi wa siasi.
Tuna jeshi...
Sitaeleza sana maana naamini kwa ufupi naweza kueleweka.
Hawa vijana wa Kitanzania wa kiume na kike zaidi ya 200 wanaoshitakiwa kwa UHAINI, nawashauri wote kwa umoja wao wakiri mashitaka yao yote.
Naamini Serikali imejipanga kuwaozesha jela kwa kesi ndeeefu halafu mambo yakipoa utasikia...
Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi.
Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao.
Je wewe una maoni gani?
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.
Wananchi walipanga kuvamia Ofisi na Studio za Wasafi maeneo ya Mbezi Beach, lakini walishindw sababu ya Ulinzi ambao Uliwekwa pale.
Wengi waliishia kanisa la Katoliki na Maeneo ya Shoppers...
Ndo maana Diamond hakiweza kusema chochote kuhusu Maandamano.. Alishindwa awe uoande gani. Upande wa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.
Hata hivyo nawapongeza kwa kuwaachia huru vijana mia 300...
Huu ni ushuhuda wa kweli na jinsi nilivyowaona Polisi wakiua raia hizo siku.
October 29 kuanzia saa moja usiku.
Polisi walikuwa wamejificha kwenye makutano ya barabara fulani juu ya ghorofa na hapo kila mpita njia aliyekuwa anapita kuanzia saa moja usiku alikuwa anakula shaba. Wengi hawakujua...
Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe?
Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025)
Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025.
Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
Polisi Tanzania wameonya wananchi kuepuka kusambaza picha mtandaoni ambazo “zinaweza kusababisha taharuki” kufuatia kurejeshwa kwa huduma ya intaneti baada ya maandamano yaliyoibuka kutokana na uchaguzi.
Baada ya internet kurudi, video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya Kijamii zinaonesha...
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa Taarifa kwa Umma likisema kuwa, Kufuatia maelekezo yaliyotolewa jaan tarehe 3.11.2025 na Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, Amri iliyokuwa imetolewa na Jeshi la Polisi kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam ya kuwa majumbani kuanzia saa 12 jioni...
Kama unaelekea Kigamboni au Posta Mkoani Dar es Salaam, Polisi waliovaa Kiraia na wengine Sare wanadai Vitambulisho. Wannapick rondomly. Wanasema kuna watu kutoka Nchi jirani wenye nia ovu kwamba wanaharibu taswira ya Tanzania.
Eti kufahamiana sio vibaya wanasema.
Wao hawaoni kama wanasumbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.