polisi

  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Haya magari mapya ya polisi ni ya kivita kabisa. Yote haya ya nini?

    Leo nimeona Magari Magari kweli kweli ya jeshi la Polisi ni magari imara sana kukabiliana na Uhalifu. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nyimbo wanazoimba Polisi wetu ni huzuni kwa kipindi hiki

    Ewe mwananchi ukapige ukishamaliza ukale ugali nyumbani.....
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muda mzuri wa Polisi kupiga hela; Tafteni chambo hata Copro atoe tamko la kuunga mkono maandamano ili wakuu waje mezani watoe mpunga

    Haya mambo ni kufa kufaana! Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa! Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe) Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau! Wote hawawezi...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Tushikamane kwenye hili

    Nalaani kitendo cha Polisi kumpiga Marungu mtoto wa Kike form three. Ni kweli Polisi Tanzania mpo je ya. Sheria. Kwenye hili mumejua kutuumiza. Polisi unapiga Marungu mtoto mdogo wa kike kama unapiga kibaka? Hivi kweli hili jeshi la Polisi la Tanzania ndo lile tunajua au kuna kitu kipo nyuma...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vituo vya kura ni vingi kuliko Polisi

    Usikubali kusogeza au kurudisha maandamano nyuma. Nchi nzima wakiandamana kwenye vituo vya kura uchaguzi hakuna. Polisi hawatoshi na wakipiga mabomu wanatawanya wapiga kura wao, nakuwajeruhi
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa ZEC, Awadh: Jeshi la Polisi lina jukumu la kulinda bila ubaguzi, kukengeuka wala kushabikia upande wowote kwenye Uchaguzi

    Zikiwa zimesalia siku 10 kufikia Oktoba 29, 2025 ili Watanzania wapige kura, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imelitaka Jeshi la Polisi kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia usawa bila kuonesha upendeleo. Imeeleza kuwa, lengo ni kuona jeshi hilo linatenda haki kwa kila mmoja na kuacha alama...
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  10. John Sin

    JamiiForums Tanzania Nashauri polisi watupe mafunzo ya muda vijana tuongeze nguvu Oktober 29

    Za usiku mnene Nimekuja na wazo kama itafaa makanda wa mikoa yote waendeshe zoezi hata la siku 5 kuwapa mafunzo vijana tulio tayari kulinda amani ya nchi yetu Hii itaongeza nguvu zaidi dhidi ya hawa manyumbu wanachochea fujo Virungu tu vinatosha kuwakalisha hawa vijana wasiojitambua Oktober...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ijue idadi ya Polisi Nchi nzima, na kwanini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kusimamia Uchaguzi

    Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja. Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Nasikia nchini Afghanstan Polisi na Jeshi wameongezewa mshahara kuelekea tukii kubwa la mwisho wa mwezi

    Kuna mtu kachungulia pay roll za mwezi huu huko jijini Kabul anasema kaona wazee wa kazi wameongezewa kitu. Je ukweli ni upi kwa mnaofuatilia siasa za Afghanstani?
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Watu 6 wanaodaiwa kukamatwa kwa njia ya kutatanisha, walikamatwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo mawili yanayosambazwa kupitia Vyombo vya Habari. Jambo la kwanza ni kuhusiana na majina ya watu saba ambao inapotoshwa walikamatwa katika mazingira ya kutatanisha na kwamba ni ukandamizaji. Ni kwamba miongoni mwa watu...
  14. PAYE

    JamiiForums Tanzania Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Polisi watoa neno

    Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Jeshi la Polisi laeleza kuendelea na uchunguzi.
  15. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wanaleta maigizo! Wameanzisha kampeni za kukataa maandamano Oktoba, 29

    Hizi post za Polisi kutoa elimu ya kukataa maandamano zinavichekesho sana, Yani naona hizi kampeni zao ni zakutunga sana! Embu icheki hii jamani
  16. K

    JamiiForums Tanzania Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyozubaa

    Watekaji kihalisia wamezidi nguvu jeshi na Polisi iliyo zubaa. Yaani kama huwezi kulinda watu na ndiyo kazi yako hata kama una ndege ya kivita kama ndugu yangu anatekwa na watekwaji ambao wanajulikana hawafanywi kitu maana yake majeshi yetu sasa hayana maana. Haki zetu zimebaki kwa nguvu zetu...
  17. sanalii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukatili wa Samia: Kama wanaosukumana tu kwenye kampeni anataka polisi wawashughulikie, wanaomkosoa je?

    Yani suala la kusema tu hapo mbele msisukumane, anaona suluhisho ni police. Yaani Samia ana kiburi kikali sana kilichochanganyika na unafiki, akiongea utadhani mwema, yaani anahisi kuwa yeye ni mtu special sana, and nothing come close to her. Si ajabu aliechoma picha yake haonekani. Mungu nipe...
  18. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulega: Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita msiogope, tokeni mkapige kura

    Mgombea ubunge wa Mkuranga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega "Serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kwamba watu watakwenda watapiga kura kwa salama na amani, ukishamaliza kupiga kura yako rejea nyumbani subiri mambo mengine. Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi na wanajeshi wapinga tizi zito Kinondoni

    Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Mkoa huo umefanya mazoezi ya pamoja Oktoba 3, 2025. Mazoezi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Jeshi la Wananchi Mwenge – Kikosi cha Bendi, yalihusisha matembezi mafupi (route match) pamoja na...
Back
Top Bottom