polisi

  1. Just Pray

    Tazama video hii polisi wakimpiga virungu muumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Askari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro. Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka...
  2. Just Pray

    Muumini wa kanisa la Askofu Gwajima awaombea polisi, asema 'nawafuta kazi'

    Waumini wa Kanisa la ufufo na uzima waonekana wakivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro. Inaelezwa Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka kutawanyika.
  3. incognitoTz

    Aliyepigwa risasi ya kichwa na polisi wakati wa maandamano ya juni 17, Kenya Ubongo umekufa

    Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
  4. The Palm Beach

    Mgogoro kati ya serikali na kanisa la GCTC chini ya Askofu Gwajima: Polisi wazuia waumini kuabudu, wawapiga mabomu na kuwajeruhi wengi leo

    https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa... Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
  5. DuaZaMama

    Polisi yatumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Askofu Gwajima

    Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church waliokuwa wakisali pembeni ya barabara Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam
  6. Mkalukungone Mwamba

    Askofu Bagonza: Hiki ni kitu gani? CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa CCM; wanaojibu ni Polisi

    HIKI NI KITU GANI? CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa TUME; wanaojibu ni CCM. CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa CCM; wanaojibu ni Polisi. CHADEMA wakihoji matendo au Mwenendo wa Mahakama zetu; anajibu msemaji wa serikali au wa CCM. Kwa kuwa imekuwa kawaida kwa watendaji...
  7. Just Pray

    Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

    Basi la Channel one na Costa Mwami yamegongana na kuwaka moto. Cheki Point wilayani Same, umbali wa kilomita tatu kutoka Same Mjini. Ajali hiyo ambayo imethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ua Same,Kaslida Mgeni,imetokea saa 12 jioni. Aidha,inadaiwa watu kadhaa wamefariki dunia kwa kuungua na moto...
  8. Carlos The Jackal

    Wakati Spika Tulia akisema Hamna Utekaji Wala Upoteaji watu bila Kushuhudia, Rais Samia analiagiza Jeshi la Polisi kuzuia Upoteaji watu !!

    Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!. Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
  9. chiembe

    Sakata la Sheikh Nkokoo kujiteka: Taasisi ya The Islamic Foundation nayo yathibitisha alikuwa anakwepa madeni, yalipongeza jeshi la polisi

    Sasa ni dhahiri kila jambo tulifikirie kabla ya kulaumu Polisi. Hata Kenya wakati mchungaji Makenzi akiua waumini, watu waliaminishwa kwamba Polisi walikuwa wanawateka. Haya sasa, taasisi ya dini yenye heshima kabisa, imeungana na Jeshi la Polisi kwamba sheikh alijiteka.
  10. Dominik Dominik

    Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    Hello wazee,ni kitambo kama maajabu kutowaona katika pilika pilika za polisi hawa makamanda maana kama wengekuwa ma RPC basi tungesikia tu au kama wanapewa au kuhamishwa vitengo maana kiutaratibu inapotokea kiongozi anahamishwa au kupewa kijiti tunataarifiwa wazi. 1.Kamanda AHMED MSANGI,jembe...
  11. Just Pray

    Maandamano ya Gen Z: Jaji Mkuu Mstaafu David Maranga na waandamanaji watawanywa kwa mabomu, raia wasiopungua 16 wauawa

    Hatimaye imewadia Jumatano iliyosubiriwa kwa hamu tarehe 25 Juni 2025, ambapo Gen Z wa Kenya wanatarajiwa kufanya maandamano, Swali niJe, waandamanaji watakuwa salama dhidi ya polisi? HALI ILIVYO KABLA YA MAANDAMANO KUANZA Polisi wametumia waya wenye miba kuzuia lango la kuingia Bungeni kabla...
  12. ufalmedigital

    Kijue chuo cha polisi Moshi

    chuo cha siku: Chuo cha Polisi Moshi M By monahyohana June 25, 2025 Chuo cha Polisi Moshi ni taasisi rasmi ya mafunzo ya Jeshi la Polisi Tanzania kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro. Kimeanzishwa rasmi mwaka 1954 na kinaandaa maafisa na askari kwa ngazi mbalimbali kupitia taaluma za kijeshi...
  13. Genius Man

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ?

    Polisi wa Kenya wachezea kipigo na kuzidiwa na wananchi nchini Kenya je matukio haya yanaweza kuwa na matokeo chanya ya mabadiliko ? Je, matukio haya yanaweza kukomesha uonevu wa mamlaka kwa wananchi ? je, matukio haya yanaweza kukomesha mauwaji ya raia yanayofanywa na polisi ? je, matukio...
  14. Kusini pride

    Mtwara: Askari wawili wahukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara

    Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewahukumu kunyongwa hadi kufa askari wawili kati ya saba waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamisi Hamisi, yaliyodaiwa kufanyika mwaka 2022 mkoani Mtwara. Soma pia: Leo ni hukumu ya Polisi 7 wanaotuhumiwa kumuua...
  15. JanguKamaJangu

    Jeshi la Polisi lazuia mkusanyiko wa Waumini wa Kanisa la Gwajima maeneo ya Ubungo

    Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo. Video: Jambo TV
  16. R

    Waumini wa Gwajima waendelea na ibada pembezoni mwa barabara huku kukiwa na ulinzi mkali wa Polisi katika eneo hilo

    Wafuasi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Wafanya Ibada Licha ya Uwepo Mkubwa wa Polisi Licha ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi katika maeneo ya karibu na Kanisa la Ufufuo na Uzima, lililopo Ubungo Kibo, jijini Dar es Salaam, waumini wa kanisa hilo wamejitokeza kwa wingi leo Jumapili kwa ajili ya...
  17. MamaSamia2025

    Baada ya kupitia posts zao ninalipongeza jeshi la polisi kwa kuwakamata WACHOKONOZI

    Hawa watu ni wapotoshaji hatari sana kwa taifa. Kwa mfano kwanini mtu anayesapoti ukeketaji kwa mabinti aendelee kuwa uraiani? Wanazo post nyingi za kipumbavu ila hii ya UKEKETAJI inatosha kabisa wao kukamatwa na kufafanua vizuri mahakamani...
  18. R

    Eneo walilosalia Waumini wa Gwajima Jumapili hapakaliki, Polisi waweka kambi

    Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari...
  19. Samia atosha tukutane2030

    Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
  20. Idugunde

    Huyu mwanasiasa aliyesema rais amechanganyiwa na kuhamasisha tuwavamie polisi angekuwa CHADEMA asingekuwa amekamatwa?

    Amesikika akisema rais amechanganyikiwa kwa kusema Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani Pia akaongeza kuwa amefanya utafiti kuwa idadi ya askari wa jeshi la polisi ni laki moja hivyo Watanzania mil 65 tukilianzisha tunawamudu. Je, angekuwa ni kada wa CHADEMA angesalimika?
Back
Top Bottom