polisi

  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 "Jeshi la Polisi, hawa tukiwapoteza msiwatafute", Odemba ampelekea moto Faris kwa kauli yake Tata

    https://www.instagram.com/reel/DRXwUPxDA6x/?igsh=NzVlODN0Y3ZydDVq
  2. JamiiForums Tanzania Polisi: Padri Josephat Misigaro hakutekwa. Aliitwa kwa mahojiano baadaye akaachiwa huru

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa Padri Josephat Misigaro, Paroko wa Parokia ya Nguruka wilayani Uvinza, pamoja na wananchi wawili wanaofahamika kwa majina ya Vedasto na Selule, wametekwa na watu wasiojulikana. Polisi wamesema taarifa hizo ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi Mbeya lakiri kumshikilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za Uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi. Mtuhumiwa alikamatwa mnamo Novemba 21, 2025 saa 5:20 asubuhi maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya akitoa na kusambaza...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Utekaji na mauwaji ya polisi yatapelekea vita vya sisi kwa sisi machafuko makubwa na hatuvichukulii kama vitisho bali wehu na upumbavu

    Utekaji na mauwaji ya polisi yatapelekea vita vya sisi kwa sisi machafuko makubwa na hatuvichukulii kama vitisho bali wehu na upumbavu
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo polisi walioko doria mtandaoni WAKO NORMAL wanavyoona watu wanavyoumia kisa wao?

    Enyi polisi mlioko doria mtandaoni MKO NORMAL mnavyoona watu wanavyoumia kuomboleza KUULIWA ndugu zao? Lakini Yesu aliwaonya muwe watu wa haki.
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha. Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Polisi mlitoa onyo kutosambaza video za kuleta taharuki. Sasa CNN mtawafanyaje?

    Nailiza polisi wetu tunawafanyaje CNN
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN: Madaktari waliambiwa na polisi wasitibu waliojeruhiwa, bali wawapeleke Mochwari wafie huko!

    Wakuu, Ripoti ya CNN imetoka, watu wenggi wametuma shuhuda zao na kuthibitisha yaliyotokea. Katgi ya hayo ni madkatri waliosema polisi walikuwa wakiwakataza wasitibu wale waliojeruhiwa, badala yake wapelekwe mochwari wafie huko.
  11. JamiiForums Tanzania Sheikh aliyesema atakata watu watakaoandamana vichwa alitakiwa awe anahojiwa na Polisi

    Lissu alisema atakinukisha yuko gerezani, Shekhe kasema atakata vichwa waandamanaji imekuwa habari kwenye media ana trend yupo kijiweni anavuta fegi na kahawa. Karibu Tanzania. Polisi mnataka tuanze kuwafundisha kazi yenu, Au mnajua tu kuua na nyie ?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Polisi wawaache wanaotaka kuandama Desemba 9, Maana Watakuwa 2% Tu!

    Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18. Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi sio mahala salama tena

    Guys sasa hivi ukigombana na mtu au kwa namna yoyote ukapata jambo linalokulazimu kwenda kituo cha polisi kushitaki aisee kama ni mtu samehe tu na kama ni deni la pesa angalia namna nyingine ya kumdai Why nasema hivi, kuna taarifa imelenea huko Kinyerezi Daslam watu waliibiwa wakapiga simu...
  14. JamiiForums Tanzania Kifinyo cha Kimataifa kizidi hadi Wanajeshi na Polisi wakose Posho na Mishahara

    Watanganyika tumeamua. Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao. Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Polisi: Washtakiwa 93 wanaodaiwa kufanya vurugu na unyang'anyi wa kutumia silaha kuendelea kusota rumande

    Washtakiwa 93 wa kesi za uharibifu wa mali, kufanya Vurugu na unyang'anyi wa kutumia silaha leo wamefikishwa tena katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Mwanza, huku upande wa Jamhuri ukitakiwa kukamilisha ushahidi haraka katika kosa la kwanza la uharibifu wa mali Katika Shauri hilo la jinai...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kulikoni sioni tena vitisho vya polisi na wakuu wa mikoa juu ya D9

    Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona. Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji. Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania TUMETOKA KWENYE POLISI TANZANIA MPAKA HUKU?

    Hizi message wanazotuma mbona zina heading tatanishi
  18. JamiiForums Tanzania Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo. Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
  19. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi tunaomba msitumike kuonea wananchi

    Tunajua njama zote zinazofanywa na wenye mamlaka fake kuwatumia polisi. Na polisi walivyo wajinga wanaingia mkenge. Tuko kwenye point of no return. Mpende msipende tunakwenda kuikomboa nchi yetu. Mkiendelea kutumika wengi sana mtapoteza kazi zenu, mtafungwa, mtanyongwa na familia zenu zitaishi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Acheni propaganda za miaka ya 1900

    Polisi Tanzania, kwenye bomu la kurusha kitu muhimu kuliko vyote ni Fuse. CIA wakitaka kuleta mabomu kwa ajili ya kuanzisha vita hawawezi kuleti bomu iliyonganishwa lote, Wataanza kuleta components moja moja, mfano hizo fuse zitakuja kama vyuma chakavu. Wakileta fuse, vijana watamaliza kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…